Oct 19, 2020
75
232
Hii ni kwa wafanyabiashara au watu wanaotangaza biashara zao kwa platform za Meta (Facebook na instagram).

Kumekuwa na huduma nyingi sana haswa instagram, Kuna vijana wanatangaza huduma ya kufuta madeni ya Facebook na instagram, na wengine kucharge hadi sh. 50,000 kwa account moja. Nataka niwataarifu ndugu zangu, Hii ni scam! hakuna kitu kama hicho.

Kwanza inabidi uelewe structure ya malipo ya Facebook. - Account yoyote ile (hata yako) ikijaribu kutangaza au ku-boost post, Facebook automatically inakutengenezea account ya matangazo inayoitwa "Ad account" Lakini account hii inakuwa sio special kwaajili ya biashara, Hii ni "Personal ad account" kwahiyo unapotangaza au ku-boost post, malipo yako na matangazo yatahifadiwa katika account hii.

Wanafanya nini Kukuaminisha?

Mara zote wanapoanza process ya kukufutia deni (which is not true), huwa wanakutengezea account ya biashara ya facebook (Facebook business manager) Kitu ambacho ni sahihi kabisa, Then wanakutenegenezea "ad account" lakini hii sio personal tena, Kila unapotengeneza ad account huwa inakuwa ni brand new - haina spending (deni) lolote lile, na baada ya hapo wana-connect pages zako za facebook na Instagram na ad account hii mpya. Hivyo kukufanya uendelee na kutangaza au ku-boost post zako. Lakini hii sio sahihi maana ina madhara makubwa zaidi!

Madhara ya Kufanya hii process, kama mfanyabiashara!

Kama wewe ni mfanyabiashara na unategemea mtandao wa facebook kutangaza biashara y(z)ako, ni vyema kutofanya hii cheating, maana unajiumiza wewe mwenyewe. Kwanza Facebook ad payment system ni machine, haitosahau account yako kuwa haidaiwi.

Malipo ya facebook huwa yanafanyika manually (pale unapoamua kulipa mwenyewe) au automatically (Kila baada ya tarehe fulani au unapofikia kiasi fulani cha deni, hii inaitwa threshold) So, facebook inapojaribu kuku-charge lakini haicomplete, huwa inasubiri siku nyingine kama bado inashindwa kukucharge. mambo yafuatayo yanaweza kukuta.
  • Kufungiwa ad account (account ya matangazo) yako permanently au temporarily
  • Kufungiwa account yako ya facebook (Hii itakufanya usiweze kutangaza kabisa wala ku-boost post zako) hata kwa account yako ya biashara (business manager)
  • Kufungiwa pages (facebook au instagram) zako za biashara
  • Kufungiwa account yako ya biashara (Facebook business manager)

Nini cha kufanya unapodaiwa!

Kama mfanyabiashara unapotegemea mtandao kufikia wateja, ni wajibu wako kuufanya mtandao kama assest ya biashara yako kama unavyoichukulia kodi ya pango lako, frem au duka lako. Hivyo kulipa deni ni muhimu na lazima hata kama hujapata faida katika hilo (hayo) matangazo.
__________________________________________________________________

Kama una swali lolote kuhusiana na huu uzi, uliza kwenye comments tafadhari, pia ukihitaji kuona ninavyofanya hii process, check hii video. Thanks and take care!
 
Vip ukijaribu ku kwepa deni Kwa kufungua account nyingine Kwa kutumia information za mtu mwingine mfano namba ya simu,na master card nyingine tofauti na Ile uliyesajili mwazo huwezi kukwepa deni
 
As long as utatumia page yako kutangaza biashara, Fb itaku-track tu.

Kama utabadilisha pages na information zote, basi tumia computer au device nyingine kabisa. Maana ip address yako, iko tracked kwa previous devices ulizotumia
 
Hii ni kwa wafanyabiashara au watu wanaotangaza biashara zao kwa platform za Meta (Facebook na instagram).

Kumekuwa na huduma nyingi sana haswa instagram, Kuna vijana wanatangaza huduma ya kufuta madeni ya Facebook na instagram, na wengine kucharge hadi sh. 50,000 kwa account moja. Nataka niwataarifu ndugu zangu, Hii ni scam! hakuna kitu kama hicho.

Kwanza inabidi uelewe structure ya malipo ya Facebook. - Account yoyote ile (hata yako) ikijaribu kutangaza au ku-boost post, Facebook automatically inakutengenezea account ya matangazo inayoitwa "Ad account" Lakini account hii inakuwa sio special kwaajili ya biashara, Hii ni "Personal ad account" kwahiyo unapotangaza au ku-boost post, malipo yako na matangazo yatahifadiwa katika account hii.

Wanafanya nini Kukuaminisha?

Mara zote wanapoanza process ya kukufutia deni (which is not true), huwa wanakutengezea account ya biashara ya facebook (Facebook business manager) Kitu ambacho ni sahihi kabisa, Then wanakutenegenezea "ad account" lakini hii sio personal tena, Kila unapotengeneza ad account huwa inakuwa ni brand new - haina spending (deni) lolote lile, na baada ya hapo wana-connect pages zako za facebook na Instagram na ad account hii mpya. Hivyo kukufanya uendelee na kutangaza au ku-boost post zako. Lakini hii sio sahihi maana ina madhara makubwa zaidi!

Madhara ya Kufanya hii process, kama mfanyabiashara!

Kama wewe ni mfanyabiashara na unategemea mtandao wa facebook kutangaza biashara y(z)ako, ni vyema kutofanya hii cheating, maana unajiumiza wewe mwenyewe. Kwanza Facebook ad payment system ni machine, haitosahau account yako kuwa haidaiwi.

Malipo ya facebook huwa yanafanyika manually (pale unapoamua kulipa mwenyewe) au automatically (Kila baada ya tarehe fulani au unapofikia kiasi fulani cha deni, hii inaitwa threshold) So, facebook inapojaribu kuku-charge lakini haicomplete, huwa inasubiri siku nyingine kama bado inashindwa kukucharge. mambo yafuatayo yanaweza kukuta.
  • Kufungiwa ad account (account ya matangazo) yako permanently au temporarily
  • Kufungiwa account yako ya facebook (Hii itakufanya usiweze kutangaza kabisa wala ku-boost post zako) hata kwa account yako ya biashara (business manager)
  • Kufungiwa pages (facebook au instagram) zako za biashara
  • Kufungiwa account yako ya biashara (Facebook business manager)

Nini cha kufanya unapodaiwa!

Kama mfanyabiashara unapotegemea mtandao kufikia wateja, ni wajibu wako kuufanya mtandao kama assest ya biashara yako kama unavyoichukulia kodi ya pango lako, frem au duka lako. Hivyo kulipa deni ni muhimu na lazima hata kama hujapata faida katika hilo (hayo) matangazo.
__________________________________________________________________

Kama una swali lolote kuhusiana na huu uzi, uliza kwenye comments tafadhari, pia ukihitaji kuona ninavyofanya hii process, check hii video. Thanks and take care!
Ukitaka kurudisha acc yenye deni ili ulipe baada ya kukwepa unafanyaje
 
Back
Top Bottom