furaha

  1. N

    JamiiForums Tanzania Leo ni Mei Mosi ya Kwanza Awamu ya Sita - Tutajawa na furaha au itakuwa kushika vichwa?

    Tayari hata kauli mbinu ya Mei Mosi ya Mwaka huu inaashiria kuowepo na nyongeza ya mshahara. Ukiacha wale ambao mishahara yao ilikuwa ikiongezeka hata wakati wa awmu ya tano - yaani kwa kupanda vyeo na kwa sifa za muda wa utumishi wao, matumaini makubwa ya Mei Mosi ya leo ni nyongeza ya mshahara...
  2. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Je, inawezekana kuyafurahia maisha pasipo sex?

    Nimejaribu kutafakari sana hili swala, je mfano mtu anaweza kufurahia haya maisha pasipo kufanya AINA YOYOTE YA MAPENZI Na akaishi peacefully life? Nimejikuta najiuliza hili swali sana mara kadha wa kadha Yaani mtu akafurahia maisha kwa kufanya starehe zingine ambazo hazikinzani na sheria za...
  3. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Abarikiwe mpishi ajawe na afya njema na furaha moyoni

  4. Ncha Kali

    JamiiForums Tanzania Mwanaume wekeza sana nguvu kwenye kuimarisha 'gegedo' lako, sehemu kubwa ya furaha ya utu-uzima hutegemea zaidi eneo hilo

    Asikwambie mtu kitu. Pamoja na mambo mengine, heshima yako na hata majukumu yako kama mtu mzima asilimia kubwa imejikita eneo hilo. Usichukulie POA. Ulikuwa mtoto ukawa kijana, umepambana na mishe nyingi kujijenga kimaisha. Unapofikia kuoa ujue maisha yako sasa kwa kiasi kikubwa yatahitaji...
  5. Ileje

    JamiiForums Tanzania Stephen Wassira: Watanzania wamemuelewa na kumuunga mkono Rais Samia; wanasema kiwango chao cha furaha kimeongezeka

    Mzee Wasira ambaye amekuwa waziri katika serikali tangu uhuru mpaka serikali ya awamu ya nne ya JK amesema Kiwango cha furaha kwa Watanzania kimeongezeka. Ameyasema hayo alipokuwa akihojiwa na Azam TV. Aidha amesema baada ya masikitiko ya muda mfupi kufuatia kifo cha Magufuli nchi imerudi...
  6. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Unajua kwanini nchi zinazoongoza kwa watu wake kuwa na furaha pia huongoza kwa watu wake kujiua?

    Inasemwa kuwa. Hizi nchi ambazo kiwango cha furaha kipo chini, huzuni ni kitu cha kawaida. Hata mtu akiwa na huzuni au msongo wa mawazo anaona karibu jirani zake wote wanahuzuni, hilo humfariji sana. Lakini zile nchi ambazo watu wengi wanafuraha ni tofauti. Watu wengi wanafuraha hivyo ikitokea...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Mei Mosi 2021 kurejesha furaha ya watumishi na wahitimu? Rais Samia ni tumaini jipya

    Furaha ya watumishi na wahitimu vyuo mbalimbali itarejea siku chache zijazo yaani Mei Mosi. Watumishi walio wengi wanaishi kwa ⅓ ya mshahara baada ya kuingia kwenye mikopo ili kuinua maisha yao. Tunatarajia kusikia mambo haya kutoka kwa Rais: Mishahara kupanda Kupanda madaraja Kupanda vyeo...
  8. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Ile taasisi ya kimataifa inayofanya utafiti kuhusu furaha za wananchi wa mataifa mbalimbali ije baada ya miezi sita

    Wapendwa Heri ya Mapumziko ya Pasaka. Poleni Watanzania wenzangu kwa kumpoteza kipenzi chetu, Wanawake hongereni kwa kutuongoza, napendekeza kuanzia Leo na nyinyi fanyeni mageuzi,anzeni kututongoza sisi wanaume,tupeni of mbalimbali na Mambo Kama hayo. Nauliza hivi ile taasisi ya Kimataifa...
  9. Regent

    JamiiForums Tanzania Dua: Mungu ifanye siku yangu ya leo iwe ya nzuri na furaha

    Ewe Mungu uliye Mkuu, Mungu wa mbingu na ardhi ifanye siku yangu ya leo iwe siku ya furaha, Mungu uliye mwingi wa rehema tunayekuabudu rehema zisizo na kifani na zisizo Kwisha.....Nineemeshe na kunibariki. Amin
  10. C

    JamiiForums Tanzania Kigoma yazizima kwa furaha baada ya kutoa kiongozi mkubwa nchini

    Toka kuumbwa ulimwengu,. Leo hii Mkoa wa Kigoma umekwenda kutoa Kiongozi Mkubwa, Msomi, makini nchini. Heko wana-Kigoma kwa kuaminiwa. FUNZO: Marufuku kukata tamaa maishani.
  11. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Chozi la furaha

    SIMULIZI FUPI - CHOZI LA FURAHA Nilishuka garini nikiwa na furaha,hii baada ya kutoka likizo baada ya miezi sita ya kukaa chuoni.Mtu wa kwanza kumuoana alikuwa ni mama yangu ambaye alikuwa amemshika mkono mdogo wangu ambaye alikuwa darasa la kwanza.Nilimkumbatia mamangu huku nikiwa siamini...
  12. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dah! Uganda waipita Kenya kwenye mataifa yenye furaha, huku Tanzania ikiendelea kushikilia nafasi ya wanunaji na wenye dhiki

    Uganda has overtaken Kenya to become the happiest country in East Africa in the 2020 World Happiness Report released in March 2021. The survey conducted in 2020 placed Uganda at position 83, followed by Kenya at 86 which is a drop from the previous year, and Tanzania ranking at position 94...
  13. Tormenter

    JamiiForums Tanzania "Nimeongea nae leo"Furaha anafurahia njaa kupata raha

    Asaalam alaykum eko tu kama mumeshinda biyee, Mie kwangu ni afuheni bwana yesu na asifiwe.. Nikaona nipitie kwa babu Nikapate kikombe, Mana ligi bado kubwa mpinzani anahitaji kombe.. Kinachofata dua niombe, Huko ushindi ligi ya mbuzi mganga kaagiza ng'ombe Achana na hayoo comrade!! MIMI...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Furaha ni nini? Nitaipataje furaha?

    Habari wanabodi Mimi ndugu yenu naishi maisha ya kawaida tu, ashukuriwe muumba nina kipato cha kuweza kubadili mboga na kadhalika, naamini nimependelewa kuliko wengi wanaonizunguka, sitaki kujikweza lakini si haba (ashukuriwe aliye juu). Naishi maisha ya kawiada (common man life), tatizo...
  15. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum kwa matukio ya furaha

    Habari Jf, Hapa unaruhusiwa kucomment matukio ya furaha ulio wahi shereke kipindi fulani either na mchumba, mke, wazazi, marafiki na jamii kwa ujumla. Tuambie ni tukio gani lililowahi kukufurahisha sana na hauta sahau. Twende kazi.
  16. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Mtumishi wa umma atakuwa na furaha pindi tu Serikali itakapoamua kumkopesha bila riba

    Binafsi ni mtumishi wa umma. Nimewahi kukopa mara 1 na kufanya top up mara 2. Kwa lugha nyepesi ni kwamba nimekopa mara 3. Kwakweli hali ni mbaya, topup ni wizi wa wazi kabisa. Hata hii mikopo ni unyonyaji ila tu watumishi hukopa kwa aidha shida ya haraka au kukosa maarifa. Muda mwingine...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Uhakika Tanzania tunaingia katika kumi bora za Nchi zenye wananchi wenye furaha duniani

    Kabisa kabisa hatupo mbali, kwa muelekeo na Gia tuliyoondoka nayo baada ya Uchaguzi uliolalamikiwa na Vyama vya Upinzani. Yaani kama mheshimiwa baba wa Taifa JPM utamfananisha na gari sijui awe gari gani kama ni ndege labda za kivita kama ni treni ni haipa lupu. Ila huyu ni binadamu mwenye...
  18. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Sikukuu ndio siku ya kurudisha furaha ya Mtanzania iliyotoweka

    Habari wadau..! Kiukweli waTanzania tunahitaji furaha sababu maisha yamekuwa magumu sana huku mtaani ,japo tunafikiri sana nje ya box mpaka mabichwa yanaongezeka upana lakini bila bila kama mithiani ya maisha wengi tunapata zero. Tuwakumbushe tu viongozi maamuzi wanayoyafanya yasiwe ambayo...
  19. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Haya ndio mambo yanayofanya Tanzania hiwe kinara nchi za wasio na furaha

    Habari wadau..! Kiukweli wa Tz tuna mzigo wa mambo mengi yanayotafanya tukose furaha mpk mda mwingine unatamani utoweke hapa duniani. Mfano siku kama ya leo au kipindi kama hiki unakuta kijana kamaliza chuo miaka inaenda hana mchongo ,kijana huyo huyo unakuta ni mshabiki wa mpira wa miguu...
  20. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Leo nina furaha sana, asante Mungu umenifuta machozi

    Mungu ni mkuu, hakika anastahili heshima, utukufu na adhama. Katikati ya miungu hakuna kama wewe BWANA nitakutukuza wewe, nitalifu jina lako siku zote, nitakuabudu wewe tu. Kamwe sito abudu wala kuyasifu matendo ya mikono ya watu iliyojaa udhalimu na damu zisizo na hatia. Pesa kwangu daima...
Back
Top Bottom