"Nimeongea nae leo"Furaha anafurahia njaa kupata raha

Ntanatz

Member
Aug 5, 2019
69
77
Asaalam alaykum eko tu kama mumeshinda biyee,
Mie kwangu ni afuheni bwana yesu na asifiwe..

Nikaona nipitie kwa babu
Nikapate kikombe,
Mana ligi bado kubwa mpinzani anahitaji kombe..
Kinachofata dua niombe,
Huko ushindi ligi ya mbuzi mganga kaagiza ng'ombe
Achana na hayoo comrade!!

MIMI: Ehe umesikia nini mwenzangu namimi
Naona mambo nayo mengi
Ila yanaenda chini chini??

BABU: Nipo kusini mwa kisiwa cha utukufu
wambie ule ugonjwa upo Na
Unazidi kuua kuku..
Mdudu manyoya kalewa kaingia huku,
Japo bado hatuna hakika
Acha tuendelee kushuku..

Mimi: ila ng'ombe mbona wanaenda sana babu?
Au kisa umaarufu wao kwetu ndo unatupa tabu??
Kwani
R.I.P ni nini naisikia sana mjini hivi ina maanisha nini??

Babu: waulize wanaogoma wanagoma nini?
sura zao zimefura kwani kuna shida gani??
MIMI: DAAAH nieleweshe basi mtani au unataka na me niseme R.I.P fulani????

Babu: Koma tena kaaa kimya
Wameshajikabidhi kila kitu chao..
Usije baki jina nkapata shida
Ya kulea wanao, kuna kiza

Mimi: mbalamwezi ipo nayo inafaa
BABU: Kuna kiza
Mimi: simu ipo nitawasha taa
Babu:hicho ni kiza chenye mwiba na karaha, me nakukataa kaa ukijua kuna balaa

Mimi:babuu
(Kimyaa)
Mimi: babuu
(Kimyaaaa)
Mzee kanikatia na simu
Akipokea nitarudi tena
Nakupenda tanzania🔊
 
Kaka upo..babu katokea?? Kama ume mpata mwambie...vipi kikombe?? Maana nimekimisi.. na vipi mbona ule ubani maka na kungunanga..na iliki..nilituma hakuupata?? Pia jogo la kuwika si kifaranga..nywele na nta asli ya nyuki. ..hakuzipata..maana tambiki langu si la kitoto.
 
Namtunzia babu!! Hakika nitafikishaaa
Ukimpata Babu yako mwambie..Maji male maji si ya pondo..ila huku kwetu wakwezi wamegoma...maana nazi zimekuwa koroma..usiache kumwambiia pia kuwa huku kwetu majanga yanatufika kama mabomu Iraq..sasa mia kwetu ni laki..vipi tutanusurika??
 
Kaka upo..babu katokea?? Kama ume mpata mwambie...vipi kikombe?? Maana nimekimisi.. na vipi mbona ule ubani maka na kungunanga..na iliki..nilituma hakuupata?? Pia jogo la kuwika si kifaranga..nywele na nta asli ya nyuki. ..hakuzipata..maana tambiki langu si la kitoto.
Babu hataki pokea simu🤭🤭🤭🤭🤭
 
Umetumia maarifa mengi Sana lakini Bado umo kwenye kundi la wafurahia uovu!
Kaka futa kauli yakos idiriki na sinto dhubutu kufurahia maovu. Narudia kauli yangu..."USIMSHUHUDIE JIRANI YAKO UWONGO" More over...( Sometimes the best blessings come out of the worst situations)..Zingatia
 
Baada ya taharuki ya kigogo kubumba amekuwa mpole kama nini? Yaani unaweza kumsonkora machoni asikufanye kitu! Kapooza sana!! Anarusha vipost mpaka unamhurumia!
 
Kaka futa kauli yakos idiriki na sinto dhubutu kufurahia maovu. Narudia kauli yangu..."USIMSHUHUDIE JIRANI YAKO UWONGO" More over...( Sometimes the best blessings come out of the worst situations)..Zingatia
Nyie mnahitaji kufanyiwa drill ili akili zianze kuwaza kilimo badala ya kusambaziana upuuzi!

You spend your time in gossiping, you are men with two balls yet you act as if you place some pads after every 27 days!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom