Nje ya dhuluma na upendeleo, daima wana CCM wanakosa furaha ya chaguzi

KISHADA

JF-Expert Member
Oct 18, 2012
2,141
2,000
Mada inahusika.

Fanyeni survey kote nchini uone namna ya baadhi ya wana CCM walivyojengeka kiburi linapokuja suala la haki na chaguzi huru. Ndivyo walivyo mara zote na kote si Bara wala Zanzibar.

Kupitia kunufaika na Dola kwa njia mbali mbnali wanajiona wana haki zaidi ya watanzania wengine.

Mentality hii imejengeka kwenye maeneo yote.

Hebu tazama kwa mfano Kwenye zoezi la uandikishaji, uchukuaji fomu, urejeshaji na kupiga kura wao kwa kutumia UCCM wanahitaji wasiulizwe na wafanye vile wanavyoona ndivyo. Si Polisi wala Usalama hawawasumbui na wanakosa ujasiri wa kuwaelekeza taratibu kwa hofu.

Kupitia utamaduni huo na kudekezwa siku yoyote sheria na haki ikitumika wanakosa furaha na kuhisi kuhujumiwa na hapo huanza mizengwe ya kuwaandama maofisa, Polisi, wakurugenzi na wengine wanaosimamia taratibu.

Kama kuna Jambo ambalo CCM Taifa imewakosea Watanzania ni kutengeneza Vijana waliolelewa kwenye upendeleo na kujazwa kwenye ajira za Umma. Hawa katu hawawezi kutenda haki.

CCM imetengeneza New generation ya siasa za vyama vingi kwa upendeleo kiasi cha kuiona HAKI na Kufuata taratibu kama nakama kwao na nje ya upendeleo na dhulma hawawezi kuishi.

Hii ni hatari kwa mustkabali wa Taifa.

Kwa mfano fuatilieni hali ya furaha waliyokuwa nayo wana CCM wakati wakurugenzi walipowakimbia wapinzani kwenye ofisi za umma na kushindwa kupokea fomu zao kwenye uchaguzi wa mitaa mwaka 2019.

Waoneni wanapofurahi hata kwenye Zoezi la kurejesha fomu kwenye uchaguzi mkuu huu wa 2020 na kufurahia figisu zinazowapa wapinzani huko majimboni.

Waoneni wanavyodiriki kutumia nafasi zao kuwakosesha haki za msingi watanzania wenzao kwa kutumia vyeo vyao wazi wazi.

Ni jambo la kawaida CCM kutumia nyenzo zote za Dola na Umma kujinufaisha kisiasa na wala hakuna Mipaka kwenye chaguzi ingawa wanapinga.

Kwa mfano huko Zanzibar imezoeleka kutumiwa vikosi vya SMZ kwenye shughuli za CCM kuanzia mikutano, mapokezi, maandamano n.k.

Huku Bara nako siasa hizi zimeanza kuota mizizi.

CCM wanaogopa haki na usawa na kwao wao bila upendeleo na dhuluma wanakosa furaha za chaguzi.

Tumieni uchaguzi mkuu huu wa 2020 kuwapima na kujiridhisha.

Kishada
 
fazili

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
7,363

Ni kweli kizazi cha ccm wamejifunza kufanya na kila kitu kwa hila hii imeathiri nchi sana.
 
PTER

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
13,820

CCM imegeuza uhuni kuwa mfumo rasmi wa shughuli za kisiasa ndani ya chama chao na kwa nchi nzima.
 
Afande Tanzania

Senior Member
May 3, 2020
173
500

Bandiko bora la siku!
Huu ni ukweli ulio dhahiri 100%.

Huwa siwalazii damu hawa watu pale wanapoingia kwenye himaya yangu na kutaka kujikuta wamezoea vituo vya polisi na kuacha kufata utaratibu.

Protocol lazima ifuatwe, unamuacha corporal CRO uje moja kwa moja kwa OCS kwa ishu ambayo ipo ndani ya uwezo wa cpl.

Unakuja kwa mkuu wa kituo na kuanza kuongea utumbo wako wa kisiasa kana kwamba unayeongea naye unafikiri ni corrupt kama hao wengine.

Sasa hivi kumbukumbu ya sauti na video itawekwa, wanakera sana hawa watu, wanajikuta wao ni next class citizens.
 
Kila mahali ni hivyo hivyo. Mfumo wetu wote wameuharibu na hakuna anayekemea.
 
KISHADA

JF-Expert Member
Oct 18, 2012
2,141
2,000
CCM imegeuza uhuni kuwa mfumo rasmi wa shughuli za kisiasa ndani ya chama chao na kwa nchi nzima.
Tunatengeneza Curriculum za shule na vyuo vikuu, utekelezaji wake na athari za mitaala hiyo kijamii na kitaifa zote zinaharibiwa na Upendeleo wa kichama.

Nani wa kulitazama hili ili kui- shape Tanzania yetu.
 
KISHADA

JF-Expert Member
Oct 18, 2012
2,141
2,000
Mara ya mwisho kuona wanajitahidi jukwaani ni enzi za kinana na nape na Ile ya kina tambalizeni
Waulizeni Polisi huko Zanzibar wanavyopata tabu kutoka UVCCM. Siku hizi tokea aondoke kina SHAKA walau wamepunguza matamko na kulituhumu jeshi la Polisi na kulitumia ili kuwadhibiti wapinzani. Yani kila kitu wao wako juu ya sheria.

Mfumo wa upendeleo umezalisha ugoi goi kwenye baadhi ya taasisi.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom