furaha

  1. Per Diem

    JamiiForums Tanzania Back in Norway: Nina furaha kwa nilichopata. Uliza swali lolote

    Moja ga jambo kubwa nililojifunza tokea nije huku ni kuwa na nidhamu ya kazi. Watu wengi wana nidhamu kubwa ya kazi. Mimi pia tokea nipo bongo nilikuwa nna same character kama za watu wa huku hivyo ndio maana inakuwa rahisi kwangu kuishi kwa raha. Tuachane na hayo, nimerudi Norway nikitokea...
  2. Ferruccio Lamborghini

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vitu 10 ambavyo Wanaume waliokomaa hawavifanyi

    Je mwanaume aliyekomaa ni yupi? Je ni mwenye miaka zaidi ya 18? Kwa kawaida kuna makundi makuu mawili ya wanaume, wanaume wachanga na wanaume waliokomaa. Kama kulivyo na tofauti kubwa kati ya mtoto mchanga na mtu mzima au aliyekomaa ndivyo ilivyo pia kwa makundi haya mawili ya wanaume...
  3. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa Mpango wa Tatu wa Maendeleo ya Taifa: Kutoka Hofu na Mashaka Hadi Furaha na Matumaini

    Waziri Mkuu wa Tanzania akionyesha nakala za Mpango wa tatu wa Maendeleo wa Taifa wa 2021/22 hadi 2025/26 leo wakati wa uzinduzi wake Mjini Dodoma Nimefurahi kuona luninga ya TBC1 leo asubuhi ikizindua Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Taifa kwa ajili ya kipindi cha 2021/22 hadi 2025/26. Wakati...
  4. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Abunuwasi na Wagagagigikoko

    mimi mutwa mukulu nawakilisha kizazi cha dot com. nikiwa shule ya msingi ilembula njombe kwa mzee nyimbo, nilibahatika kusoma baadhi ya vitabu vya zamani kwani kijiji kile watu walianza kusoma mwaa 1945. nilipata kusoma kitabu cha abunuwasi, kisiwa chenye hazina na jamaa hodari kisiwani...
  5. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume kamili wa kuongezeana furaha na siku za kuishi duniani anatafutwa

    Kama kichwa cha habari kisemavyo anatafutwa life partner Awe mwanaume matured na mtu mzima ki umri kama miaka 40 na kuendelea Awe stable financially, nikiwa namaanisha awe na uwezo wa kuamua, kupanga na kueteleza mipango ya maisha Awe mkristo kiimani Awe either single, mgane au mtalaka...
  6. Pisi kali

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilifiwa na mwanangu wa kwanza, namshukuru Mungu nimepata mtoto mwingine wa kiume

    Nianze kwa kumshukuru Mungu hadi kufika hapa. Kesho ni 40 ya kifo cha mwanangu my boy, tangu kufariki my first child my queen rest well my angel [emoji1431][emoji1431] lakini nimepata tena a health baby boy na kesho ndio 40 yake. Karibuni sanaaaaaaaa location Mwanza[emoji12][emoji12] Niko na...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Prof. Palamagamba Kabudi : Ni furaha yangu sasa kuna Mfumo wa Kisheria kiganjani

    Kwa mara ya kwanza sasa waTanzania wanaweza kujifunza wao wenyewe kupitia mfumo wa kisheria wa kidijitali unaopatikana simu janja za kiganjani. Hatua hii imefikiwa kupitia msaada mkubwa wa Mfuko wa Uwezeshaji wa Haki yaani LSF About LSF – Legal Services Facility kupitia app inayojulikana...
  8. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ukitaka Ndoa yako iwe na Furaha; lazima uzingatie hili

    UKITAKA NDOA YAKO IWE YA FURAHA, ZINGATIA KANUNI YA MFANANO Kwa Mkono wa Robert Heriel Andiko hili nimeliandika kuisaidia jamii hasa kuponya fikra za wale ambao bado hawajaoa/kuolewa. Bila shaka andiko hili litakusaidia kwa sehemu kubwa ikiwa utalizingatia. Moja ya makosa makubwa yanayofanywa...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Mazingira ya kisiasa kwa awamu hii ya sita yanaashiria furaha ya Watanzania kuongezeka zaidi

    Ninakumbuka kuwa huwa kuna Taasisi zinapima furaha ya wananchi kwa kila nchi. Kuna wakati yule Makamu Mkuu wa Chuo cha Dar-es-Salaam aliyepita Prof. Mukandara aliwahi kuongea kwenye Kongamano la Mwl. Nyerere kuwa furaha kwa wananchi wa Tanzania imepungua kwa kiasi Fulani. Sasa hizo Taasisi za...
  10. Agresive

    JamiiForums Tanzania Nahisi wanaokunywa pombe wana furaha zaidi kuliko wanywa soda, juisi na ukwaju

    Habari ya leo wakuu. Binafsi kwa bahati mbaya sijaanza kuunga juhudi za kunywa pombe. Lakini huwa napenda sana kwenda maeneo ya BAR, PUB NA HOTEL. Nikifika maeno haya huwa naagiza soda nyama choma na maji nikimaliza basi mdogo msogo najikunyata nasepa home. Lakini huwa naona ni tofauti na...
  11. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Shangwe na furaha yatanda Gaza baada ya pande mbili kukubaliana kutuliza mapigano

    Hakika ni shangwe iliyojaafuraha kwa upande wa Palestina huko Gaza, Kinachosherekewa hapa ni "Thanks to God, some of us are still alive" Wananchi wa Gaza waliishi kwa hofu sana maana kifo kilikuwa nje nje pale maisha yao yalipofanywa kuwa ngao, Hamas waligeuza mitaa na nyumba zenye raia wema...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Siku 60 za Rais Samia madarakani: Tunakushukuru sana kwa uongozi wako makini, hakika umerejesha tumaini na furaha

    Mheshimiwa Rais. Awali ya yote nakutakia Amani ya Mwenyezi Mungu BWANA wa Majeshi na Nakusalimia kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Nipende kuchukua fursa hii kukupongeza kwa uchapakazi makini, kwa uongozi thabiti na serikali inayosikia na kuzingatia maoni, matakwa na maslahi ya...
  13. boniuso

    JamiiForums Tanzania Nyakati ngumu huwa kwajiili ya kutufunza na nyakati za furaha ni kwaajili ya kumbukumbu nzuri za maana ya kuishi

    UKIBADILI NAMNA UNAVYO TAZAMA VITU NA VITU UNAVYOTAZAMA HUBADILIKA Kinachotokea sio tatizo ila tafsiri unayoweka juu yake ndio inaweza kuuwa tatizo Kikwazo chochote kinachotokea huwa kinakuja kuboresha sehemu ya maisha yetu Usitazame vikwazo kwa ubaya wake tazama vikwazo kwa mazuri yake...
  14. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Huyu mtoto ana vitu viwili ambavyo hela haiwezi kuvinunua. Furaha na Afya njema

  15. B

    JamiiForums Tanzania Maajabu: Furaha ya CCM ni kwa Nyalandu kuondoka CHADEMA na si kujiunga na CCM?

    Mabibi na mabwana kumekuwa na shamra shamra nyingi hasa kutokea kwa wale makada nguli wa chama mboga mboga kuwa bwana Nyalandu katoka Chadema. Ajabu ni kuwa furaha zimeelekezwa kwenye kuwa bwana huyu asiyekuwa na jina ndani ya Chadema, ametoka Chadema wala si kuwa kajiunga na CCM! Maajabu...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Leo ni Mei Mosi ya Kwanza Awamu ya Sita - Tutajawa na furaha au itakuwa kushika vichwa?

    Tayari hata kauli mbinu ya Mei Mosi ya Mwaka huu inaashiria kuowepo na nyongeza ya mshahara. Ukiacha wale ambao mishahara yao ilikuwa ikiongezeka hata wakati wa awmu ya tano - yaani kwa kupanda vyeo na kwa sifa za muda wa utumishi wao, matumaini makubwa ya Mei Mosi ya leo ni nyongeza ya mshahara...
  17. mcTobby

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, inawezekana kuyafurahia maisha pasipo sex?

    Nimejaribu kutafakari sana hili swala, je mfano mtu anaweza kufurahia haya maisha pasipo kufanya AINA YOYOTE YA MAPENZI Na akaishi peacefully life? Nimejikuta najiuliza hili swali sana mara kadha wa kadha Yaani mtu akafurahia maisha kwa kufanya starehe zingine ambazo hazikinzani na sheria za...
  18. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Abarikiwe mpishi ajawe na afya njema na furaha moyoni

  19. Ncha Kali

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume wekeza sana nguvu kwenye kuimarisha 'gegedo' lako, sehemu kubwa ya furaha ya utu-uzima hutegemea zaidi eneo hilo

    Asikwambie mtu kitu. Pamoja na mambo mengine, heshima yako na hata majukumu yako kama mtu mzima asilimia kubwa imejikita eneo hilo. Usichukulie POA. Ulikuwa mtoto ukawa kijana, umepambana na mishe nyingi kujijenga kimaisha. Unapofikia kuoa ujue maisha yako sasa kwa kiasi kikubwa yatahitaji...
  20. Ileje

    JamiiForums Tanzania Stephen Wassira: Watanzania wamemuelewa na kumuunga mkono Rais Samia; wanasema kiwango chao cha furaha kimeongezeka

    Mzee Wasira ambaye amekuwa waziri katika serikali tangu uhuru mpaka serikali ya awamu ya nne ya JK amesema Kiwango cha furaha kwa Watanzania kimeongezeka. Ameyasema hayo alipokuwa akihojiwa na Azam TV. Aidha amesema baada ya masikitiko ya muda mfupi kufuatia kifo cha Magufuli nchi imerudi...
Back
Top Bottom