furaha

  1. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Furaha yatoweka CCM, ushindi kama msiba, wapinzani washangilia. Rais ageuka kauli zake za awali kanisani Dodoma

    Katika hali ya kindumilakuwili, RAISI akiwa kanisani Dodoma, kanisa katoliki lile linalomwimbia nyimbo za sifa na kuabudu, baada ya kusali alikabidhiwa kipaza sauti aseme neno, alizungumza siasa japo huwa yeye anasema siasa na dini zisichanganywe tena huenda mabili zaidi na kukutanisha wanasiasa...
  2. Makirita Amani

    JamiiForums Tanzania Sababu nne (4) kwanini huwezi kuwa na furaha ya kudumu na kwanini hilo ni jambo jema kwako

    Rafiki yangu mpendwa, Unazikumbuka zile hadithi za utotoni, zile hadithi ambazo zinaanza na mtu akiwa kwenye mazingira fulani magumu, anayashinda na hadithi inamalizia kwa kusema; wakaishi kwa raha mustarehe maisha yao yote! Rafiki, leo nina habari za kusikitisha kidogo kwako, hicho kitu...
  3. Apollo

    JamiiForums Tanzania Uhalisia wa Furaha na Mateso katika Maisha

    Maisha ni fumbo kwa kila mmoja wetu, na kila mwanadamu anaishi kwenye ulimwengu wake katika maisha yake. Fumbo la maisha ni kubwa na haijawahi kutokea mwanadamu ambaye ameweza kutoa mwanga kuhusiana na fumbo la maisha na jinsi ambavyo falsafa mbalimbali zimekuwa zikielezea. Ni fumbo ambalo tangu...
  4. Ack

    JamiiForums Tanzania Hii inanigusa sana kutoka moyoni, sijui wewe ni ipi

    Kwa kawaida wimbo mzuri ni ule ambao huburudisha nafsi yako, na sio fulani akiupenda lazima na mimi niupende, mfano kuna mtu anapenda nyimbo ya U.S kwa sababu fulani anaipenda au anaona kupenda nyimbo za ulaya ndo ujanja, Kila binadamu na hata wanyama kuna vitu hupenda kulidhisha nafsi yao...
  5. Ack

  6. Ack

  7. GAZETI

    JamiiForums Tanzania Nchi Zinazoongoza Kwa Amani na Furaha Duniani

    Niliamua kutafuta orodha hii kwenye mitandao mbalimbali duniani baada ya kile nilichoamini kuwa Tanzania ni nchi ambayo inaongoza katika orodha hiyo au kuwemo kwenye 10 bora. Niliamini hivyo kutokana na ngonjera za viongozi wetu kuwa Miongoni mwa vitu ambavyo Tumejaliwa ni amani ambayo...
Back
Top Bottom