furaha

  1. Equation x

    JamiiForums Tanzania Ulijisikiaje siku ile mkeo alipokuambia ana ujauzito wako?

    Nakumbuka siku hiyo sikukaa nyumbani, ilibidi nitoke mimi mwenyewe nikaenda mafichoni nakujitafakari, kweli mimi nitaitwa baba? Na majukumu yangu yatakuwa wapi? Nikakumbuka msemo wa wahenga, unaosema, 'mwanamke akikuzalia ina maana amekupenda' vinginevyo anaweza akatoa ujauzito wako au...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Orodha ya wilaya 10 zinazoongoza Kwa kuwa na watu wenye furaha Tanzania

    Herehoa Wakuu! Baada ya kusoma orodha ya mataifa ishirini yanayoongoza Kwa furaha Duniani. Nikaona nami nilete orodha ya wilaya za watu wenye furaha hapa TANZANIA. Ni Kama ifuatavyo; 1. Wilaya ya Morogoro Mjini. Kama ulikuwa haujui Morogoro ndio sehemu pekee ambapo watu wake wanaishi Kwa...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Swali kwa wanaume: Hivi ukimwona au kusikia mkeo au girlfriend uliyempenda ana mtu mwingine na furaha unajisikiaje?

    Kanye West tangia ameachwa amechanganganyikiwa kabisa na juzi mahakama imempa ushindi kim kwa mama officially yupo single . Kanye anatishia kumuua huyo boyfriend wa Kim . Je. wewe unaweza tishia?
  4. D

    JamiiForums Tanzania Ni kama namuona Erythrocyte na furaha yake

    Mmoja wa chawa mtiifu wa Mwenyekiti Leo atamwaga radhi kabisa, walioka karibu nae ni vizuri zaidi wasikae mbali nae. johnthebaptist
  5. Naipendatz

    JamiiForums Tanzania Picha: Kamanda Mbowe baada ya kuachiwa akionesha furaha kuu

    Picha ni Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu baada ya kufutiwa mashtaka ya ugaidi na Mkurugenzi wa Mashtaka nchini Tanzania (DPP) leo Ijumaa Machi 4, 2022.
  6. T

    JamiiForums Tanzania Wakamaria (gamblers) ni miongoni mwa watu wasio na furaha hapa duniani.

    Ahlan wa sahlan Wakamaria aka (gamblers) ,ni miongoni mwa watu wasio na furaha hapa ulimwenguni. Mwanadam ameumbwa akiwa na sifa ya kupenda umiliki na anachukia sana kitu ambacho amekimiliki kikimtoka. Uchezaji wa kamari ni jambo ambalo limeharibu maisha ya watu wengi sana hapa duniani.Kamari...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Rais Samia aamue kubaki na picha au kubakiza furaha Kwa Wananchi

    Tundu Lissu kwenye maria space ameulizwa anaamini Mhe. Rais atafanyia Kazi Yale waliyojadiliana? Kwa majibu yake ni kwamba, kipimo kinaanza na kesi ya Mbowe. Asipomtoa tarehe 18/02/2022 ni shauri yake. Picha amepata ila furaha iliyotokana na hiyo picha itaondoka Kwa zaidi ya 50%. Wakimnyima...
  8. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Watanzania tubadilishe mitazamo yetu ya kunyanyapaa wanyama, nao wana haki ya kuthaminiwa

    Ni kawaida sana kwa hapa nchini wanyama kuteswa, kunyanyaswa, kupigwa, n.k na hii iaonekana kawaida sana, hata kesi yake faini ni laki moja ama kifungo cha mwezi. Hawa wanyama nao ni viumbe kama sisi licha ya tofauti tulizonazo lakini nao wana hisia, nao wanasikia maumivu, hawapendi...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Ninaishi kwangu (nimejenga) ila sina furaha

    Wakuu Nimejenga nyumba ya ghorofa 1 Bunju B kuanzia 2017 Ila sifurahii kukaa kwangu. Tatizo Ni nini?
  10. safuher

    JamiiForums Tanzania Siri ya Furaha ya ndoa ni kuishi wanandoa kama marafiki (washkaji) wawili

    Umeshawahi kujiuliza kwa nini kuna jamaa mke wake unamuona wa kawaida sana lakini wanaishi kwa amani kabisa na wanapendana? Ni kwa sababu wamekuwa marafiki ndani ya ndoa, siri ya rafiki hata awe mbaya kiasi gani hauwezi kuchagua sura yake akiwa mshkaji ndio mshkaji huyo. Kuna watu wana...
  11. aka2030

    JamiiForums Tanzania Kwanini rais Mwinyi hakuwa na furaha wakati anawakabidhi zawadi simba?

    Tazama sura yake
  12. The Khoisan

    JamiiForums Tanzania Furaha Dominic: Askofu Gwajima ndiye kiongozi wa kundi linalomkwamisha Rais Samia

    Kwenye interview ya Furaha, amemchanachana Askofu Gwajima kwa kusema kuwa ni MNAFIKI na MUONGO. Kazungumzia vipi alivyowatapeli wananchi wa Kawe kwa kudai kuwa ndani ya siku 100 atawajengea wana Kawe Barabara na kuwapeleka Birmingham. Kwa kweli Gwajima amekuwa Muongo kwa siku nyingi sana...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Furaha Dominic: Rais Samia awe mwangalifu na hao waliomzunguka, wengi wao ni Wafitinishi (KUPE) walimdanganya Magufuli!

    Furaha Dominic ambaye ni mpwa wa hayati Magufuli aliyegombea ubunge jimbo la Kawe na kushika nafasi ya kwanza huku Pascal Mayalla akiwa wa 162 amesema siku atakayokutana na Rais Samia atampa orodha ya Wafitini wote waliomzunguka. Furaha anadai CCM kumejaa siasa chafu za kupakana matope...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wa Chadema hawana madaraka ila wana furaha na wana watu nyuma yao; CCM madaraka yanawatesa

    Wapo wanadani wapo na amani waishi maskini lakini wawe na uzima wa akili,mwili na nafsi. Lakini wapo wanadamu wanatamani waishi bila amani ila wawe na fedha. Wapo wanadamu wameridhika na kile wanachopata Cha haki, wapo wanadamu wanakwenda Kwa waganga wapate Cha ziada bila kujali masharti...
  15. vnn

    JamiiForums Tanzania Inawezekana Askofu Gwajima ndiye mtanzania anayeishi maisha ya furaha kuliko wote

    Huyu jamaa mimi nimeshindwa kumdefine, haeleweki hatabiriki kiufupi huyu huwezi kudeal nae anajua kicheza namba sita kila sehemu yupo Kazi iendelee
  16. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna Mechi ya Simba SC ninayoigopa kama ya leo dhidi ya Azam FC, ila tukishinda nitakuwa ni mwenye Furaha japo nina Hofu nayo

    Kiufundi nawaogopa zaidi Azam FC kuliko hata Yanga SC kwani Azam FC wana Wachezaji wenye Vipaji Asilia huku Yanga SC wakiwa na Wachezaji wenye Ushindani na Morali ya Juu. Hakuna Mechi ambayo inaniumiza Kichwa Kuiwazia mpaka kuwa na Hofu nayo kama hii ya leo kati ya Simba SC yangu dhidi ya Azam...
  17. mama D

    JamiiForums Tanzania Joyce Kiria aonekana mwenye furaha sana ndani ya penzi jipya baada ya ndoa zake mbili kuvunjika

    Joyce Kiria aonekana mwenye furaha sana ndani ya penzi jipya baada ya ndoa zake mbili kuvunjika Joyce anaonekana mwanamke anayejali sana pale anapopenda, ila huwa kile kinachotokea baadae huwa nje uwezo wake. Sababu ya uwazi wake Mahusiano yanapoanza kuyumba huwa hakuna siri. Na sio kwamba...
  18. mama D

    JamiiForums Tanzania Tanzania yetu ndio nchi ya furaha

    Nikiwa njiani najisomea na kusikiliza habari tofautitofauti za kijamii, kisiasa, kiuchumi toka mataifa tofauti; nimejikuta nikimshukuru Mungu kuwa mtanzania. Hakika Tanzania yetu ndio nchi ya furaha. Tumebarikiwa kuwa na waasisi bora wa taifa waliotuachia misingi imara isiyotikisika...
  19. Fbn

    JamiiForums Tanzania Epuka mambo haya matatu -- utanishukuru!

    Wanadamu tusipozibiti haya mambo matatu basi lazima utakuja kushangaa,kujilaumu na mengineyo. Mambo matatu yenyewe: ( 1) Unapokuwa na furaha usitoe "ahadi" ijalishi furahaa hupo sehemu gani kwenye mapenzi, urabuni, sherehe, starehe, mafanikio n.k. Hapa watu wengi hutoa ahadi wasizotegemea kwa...
  20. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Swali Fyatu: Furaha Kwishnei?

    Watu walishangilia na kugongeana bia.. Wapo waliocheka kwa sababu sasa wanaaenda kupumua kidogo... Wapo waliofurahia hela kurudi mitaani aka "mzunguko wa fedha kuongezeka"... Wapo waliosema "sasa hatufokewi foreign tena" ..na kuwa "nchi ina tabasamu". Furaha imerejea tena, kicheko kimerudi...
Back
Top Bottom