2018 - 2020 World Happiness report: Burundi ina furaha kuliko Tanzania

Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
39,900
95,400
Nchi zilizopo kwenye kumi bora kwa kuwa na furaha duniani kwa mwaka 2018 - 2020👇
E6Qu-.jpg

Nchi zilizopo kwenye kumi bora kwa kukosa furaha duniani kwa mwaka 2021👇
IRgyD.jpg

Sources:Happiness, trust, and deaths under COVID-19
 
Namna ya upimaji wa furaha.
Kupima furaha ni rahisi sana mkuu.Nchi ambayo wananchi wake hawana chakula,hawana nyumba za kuishi,hawana nguo za kuvaa,hawana huduma za maji,afya,elimu,barabara,haki za binadamu haziheshimiwi na unaweza kuuawa muda wowote ule kama Kuku kama ilivyo Rwanda na kadhalika hawawezi kuwa na furaha.
 
Na hizi stori za chanjo ya kovid eti itakuwa lazima, mara eti ina sumaku, mara oooh ndio kiama, mara corona kwenye mask ndio zinazidi kutuongezea majonzi... furaha tutaiona kwenye movie
 
Nchi zilizopo kwenye kumi bora kwa kuwa na furaha duniani kwa mwaka 2021👇
View attachment 1860885
Nchi zilizopo kumi bora kwa kukosa furaha duniani kwa mwaka 2021👇
View attachment 1860884
Sources:Happiness, trust, and deaths under COVID-19
Waandaaji WA hizi wengi Wana agenda zao

Lakini pia if you take wafuasi wa chama Fulani as indicators (because ndio majority wa online Republic ) lazima tuonekane hovyo because wao wanalalamikia kila kitu

Bado kuomba biblia na misahafu mipya Tu na kutaka mungu abadilishwe
 
Waandaaji WA hizi wengi Wana agenda zao

Lakini pia if you take wafuasi wa chama Fulani as indicators (because ndio majority wa online Republic ) lazima tuonekane hovyo because wao wanalalamikia kila kitu

Bado kuomba biblia na misahafu mipya Tu na kutaka mungu abadilishwe
Sasa unataka kulazimisha kuwa nchi kama hii ina furaha?
7nbv654311.jpg


Badala ya kuficha ujinga wako kwa kukwepa kuchangia mada unajitokeza waziwazi kujitangaza kuwa wewe ni mjinga?Ujinga ni sifa hadi ujitokeze hadharani kujitangaza kuwa wewe ni mjinga?WTF!!!

Nakushauri siku nyingine bakia huko huko mafichoni ili kuficha ujinga wako.
 
Back
Top Bottom