Furaha Ya Maiti

Sep 20, 2019
15
35
Naita furaha ya maiti kwakua sasa jamii iliyoumia na kukaa kiunyonge kwa miaka mingi inafurahia namna mpya ya maisha yasiyo ya vitisho lakini ukweli ukibaki palepale kuwa bado jeneza na kaburi ni lilelie ila sanda pekee ndiyo imebadilishwa.
Ndiyo tunafuraha lakini umejiuliza maswali yafuatayo?

=> Kwanini makato ya miamala yaongezeke
=> Kwanini Mafuta yapande bei
=> Kwanini tatizo la ajira halijatatuliwa hata kiduchu

Najua utasema ni mabadiliko katika uchumi wa dunia, swali ni je, umeshirikishwa katika maamuzi na mchakato katika mabadiliko hayo?

Unadhani kwanini watoto wa mama mkubwa hawataki katiba mpya?

Ndiyo maana nikasema hii ni furaha ya maiti.
 
Dawa pekee ni kuiondoa tu ccm madarakani! Iwe kwa njia ya amani, au hata kwa kutumia nguvu. Ccm ndiyo chanzo kikuu cha matatizo ya watanzania walio wengi.
Umeapa,unaiondoaje CCM yenye dola?
Mpaka ufikirie kuiondoa wao watakuwa wapi?
Muombe Mungu akupe afya na chakula.
 
Naita furaha ya maiti kwakua sasa jamii iliyoumia na kukaa kiunyonge kwa miaka mingi inafurahia namna mpya ya maisha yasiyo ya vitisho lakini ukweli ukibaki palepale kuwa bado jeneza na kaburi ni lilelie ila sanda pekee ndiyo imebadilishwa.

=> Kwanini makato ya miamala yaongezeke
=> Kwanini Mafuta yapande bei
=> Kwanini tatizo la ajira halijatatuliwa hata kiduchu

Najua utasema ni mabadiliko katika uchumi wa dunia, swali ni je, umeshirikishwa katika maamuzi na mchakato katika mabadiliko hayo?

Ndiyo maana nikasema hii ni furaha ya maiti.
Hii aliacha mwendazake . Yoote yaliopitishwa bungeni ilikuwa mipango yake miovu. Aende salama. Nashua nami nitafuata lakini bora ametangulia .
 
Naita furaha ya maiti kwakua sasa jamii iliyoumia na kukaa kiunyonge kwa miaka mingi inafurahia namna mpya ya maisha yasiyo ya vitisho lakini ukweli ukibaki palepale kuwa bado jeneza na kaburi ni lilelie ila sanda pekee ndiyo imebadilishwa.

=> Kwanini makato ya miamala yaongezeke
=> Kwanini Mafuta yapande bei
=> Kwanini tatizo la ajira halijatatuliwa hata kiduchu

Najua utasema ni mabadiliko katika uchumi wa dunia, swali ni je, umeshirikishwa katika maamuzi na mchakato katika mabadiliko hayo?

Ndiyo maana nikasema hii ni furaha ya maiti.
Usiongee mambo bila kujua... bajeti ilikamilika tangu February huyo maiti alikuwa hai....
Acheni kutapatapa.
 
Umeapa,unaiondoaje CCM yenye dola?
Mpaka ufikirie kuiondoa wao watakuwa wapi?
Muombe Mungu akupe afya na chakula.
Kuna sehemu umeona nimeapa? Mimi nimesema dawa pekee ni kuiondoa ccm! Sasa huku ni kuapa, au ni kutoa suluhu ya tatizo?

By the way, ccm itakuja kufa tu siku moja! Hata kama wadhibiti hivyo vyombo vya dola. Ni suala tu la muda. Nisipo shuhudia mimi, watakuja kushuhudia watoto wangu.
 
Back
Top Bottom