FUNDI GARI

Jun 21, 2021
29
23
IMG_20230929_162126.jpg
Engine ni 5VZ Ilichanganya oil na maji nipo hapa kwaajili ya marekebisho ya gari. Mimi ni fundi Nipo bunju b dar es Salaam karibu kwa marekebisho ya Gari yako. Pia nafukia popote ulipo
0788887129
0755539092
 
Attachments

  • IMG_20230929_174411.jpg
    IMG_20230929_174411.jpg
    833.7 KB · Views: 5
Kuna dogo mmoja yuko vizuri Arusha, mifumo hiyo anacheza nayo sana; kama uko maeneo hayo nikupe namba umcheki
 
hujaeleza vizuri kwamda imekuwaje Hadi ikachanganya maji
je umecheki oilí kula ipo vizuri?
je gari ilichemsha ikapilekea kuchanganya maji na oil?

hapo kama imechemsha nakurusha maji fungua hedi hizo angali gasketi zipoje kagua hedi na slivu kamaimechemsha mudamlefu hadikujizima yenyewe inaweza Kuwa ishaharibu slivu au napistoni kwaujumla ikiwanihivyo lazima injini uipige chini

tatizo lagari kuchemaha ndio tatizo baya zaidi mana inatakiwa ukague vituvingi sana ilikubaini chanzo chagari kuchemsha

ukishindwa kukagua chanzo chagari kuchemsha utafungua hizo hedi utarudishia vizuri lakini ugonjwa utakuwa palepale

angalia Hali ya rejeta,wota pampa,kagua hozi zamaji kagua water jacket Zote kwaumakini oil kula icheki nayo vizuri
 
Sawa
 
Gereji yako ndio hiyo BM auto gereji mkuu hapo Bunju sokoni au ile mbele ya sheli nimekuta kuna G Wagon first generation mmeiweka pembeni. Mchana huu nilikuwa mitaa hiyo
 
Back
Top Bottom