fundi

  1. S

    JamiiForums Tanzania Fundi Kushona anahitajika

    Fundi Nguo anahitajika haraka, awe Ana uwezo wakushona mitindo ya kisasa hasa ya wanawake, mchapakazi mbunifu na mwenyekujituma. Awe na ujuzi wa miaka 3 na ziadi, Mkazi wa Dar..Piga namba hii 0737610682
  2. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta fundi wa madirisha ya grill

    Naitaji Fundi wakunitengenezea madirisha.
  3. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Msaada: kuna fundi anadai nilipe 70k kwa ajili ya Oxygen sensor ya 1JZ engine, eti ndio bei yake hiyo?

    Nikadude kanacho fanana kama plug ya piki piki tu, kanafungwa kwenye manifold ya exhaust, eti ndio 70k, ni kweli eti?
  4. Mlolongo

    JamiiForums Tanzania Bodaboda kapita na Side Mirror ya gari yangu. Nipo kwa fundi hapa narekebisha!

    Sijamaliza hata miezi mitatu tangu nimiliki funguo ile watu wanaichomekaga kwenye ruksi za suruali inaonekana kwa nje hivi, nishaanza kuona 'joto ya jiwe' ya kumiliki usafiri! Juzi Jumatano nilikua natoka kwa Aziz Ally kumpeleka 'rafiki yangu wa kike'. Wakati narudi ishakua usiku mishale ya...
  5. JituMirabaMinne

    JamiiForums Tanzania Kwanini ni muhimu kwenda na fundi akague unaponunua gari? (mambo ya muhimu ambayo watu hawayafanyi wanaponunua magari yao)

    Ukiachana na mambo ambayo watu wengi wanaangalia wanaponunua magari used ambapo mengine ni madogo. Kuna mambo ambayo huwa ni ya kiufundi zaidi ambayo huwa ni vizuri pia yakaangaliwa. Kwa watu ambao wameshawahi kununua magari na yakawasumbua sana wanaweza kuelewa vizuri zaidi ni kitu gani ambacho...
  6. Madish Installers

    JamiiForums Tanzania Kwanini dish (king'amuzi) chako kinasumbua signal mara kwa mara!?

    1.Ufungwaji wa Dish - Uimara wa sehemu ilipofungwa - Fundi amefungaje je kama huyu - Fundi alitumia signal finder? (kifaa cha kutafuta signal) - kwenye dish (lnb) tundu inayofungwa cable inayopeleka signal kwenye king'amuzi imefunikwa ili maji yasiingie n.k? 2.Cable kama imeungwa (ilikuwa...
  7. JOH CARLOS

    JamiiForums Tanzania fundi wa kupauwa nyumba na kufunga gypusm

    mzoefu na anafanya kazi kwa ubora wa hali ya juu sana . yupo dar es salaam lakin anakufata popote naambatanisha na picha chache ya baadhi ya kazi zake
  8. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi kwa (fundi) Welder

    Salaam Wakuu, Nahitaji Welder mwenye ujuzi wa kutumia Mig na Tig Welding Machines. Mig Welding Machine Tig Welding Machine - Malipo ya kazi hii yanategemea makubaliano kati yako (fundi) na Muajiri (Mmiliki wa mashine tajwa hapo juu). Kigezo cha msingi ni uzoefu na uwezo wa kufanya kazi...
  9. Ziggler

    JamiiForums Tanzania Fundi/Maintenance Officer Anahitajika Haraka

    Fursa ya Kazi Jengo la makazi la urefu wa ghorofa zaidi ya 10 linatafuta fundi mwenye sifa zifuatazo 1. Awe fundi umeme mwenye ujuzi, ufundi na ujuzi kwenye maswala ya mifumo ya maji safi na maji taka pia inaweza kuwa added advantage muhimu sana 2. Umri 25 hadi 50 3. Awe na uzoefu na magorofa...
  10. Fundi mahiri wa Ujenzi

    JamiiForums Tanzania Je, unataka kujenga? Kwa ushauri na huduma ya ufundi kutana na fundi mahiri wa ujenzi

    Kwa wote wanaohitaji ushauri juu ya ujenzi wa nyumba za: Makazi Biashara Sherehe na Ibada karibuni sana. Najenga kwa Bei rafiki kulingana na mazingira ya mtanzania. Pia natengeneza mfumo mpya wa majitaka ambapo mashimo hayajai milele. Bei ya chini Ni TSH 2.5m. Bei inaongezeka kutokana na...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri kwenye Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais kupitia CHADEMA Tundu Lissu katika viwanja vya Zakheim Mbagala, TBC Wafukuzwa

    Salaam Mkuu, leo Ijumaa tarehe 28 Agosti 2020 Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, kinafanya uzinduzi wa kampeni za urais wa Tanzania zinazofanyika, Uwanja wa Zakhiem, Mbagala jijini Dar es Salaam. Tundu Lissu ndiye anayepeperusha bendera ya Chadema kwenye nafasi ya urais na Salumu...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Carlinhos, Kiungo fundi na bora kabisa kutoka Angola atua nchini kujiunga na Yanga

    Carlos Stenio Fernandes Guimares"Carlinhos", amewasili nchini Tanzania mchana wa Leo tayari kabisa kwa kuanza kuitumikia timu yake mpya ya Yanga Carlinhos ambaye anacheza nafasi ya Kiungo mshambuliaji, anasemekana atakuwa ni kiungo bora kabisa ambaye amewahi kucheza kwenye ardhi hii ya Tanzania...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Fundi wa kawaida VS Mkandarasi yupi ni bora?

    Jana nilimwona Mkuu wa mkoa wa Shinyanga akimfokea kiongozi mmoja wa wilaya mmojawapo wa Mkoa wa Shinyanga akimuuliza kuwa ni yupi aliyeamuru Mkandarasi kujenga jengo husika badala ya Local Fundi. Binafsi nilisikitika sana na kujiuliza kati ya Local Fundi na Mkandarasi yupi ni bora. Katika...
  14. blakafro

    JamiiForums Tanzania Fundi wa Refrigirated Truck

    Wakuu kwema? Anahitajika fundi wa refrigirated truck gari ipo Mabibo Dar es salaam. Kama kuna fundi humu anicheki PM au la kama kuna member anajuana na fundi yoyote mzuri kwa kazi hizo naomba anisaidie namba yake. Ahsanteni.
  15. D

    JamiiForums Tanzania Fundi mzuri wa kupiga plasta nyumba ya gorofa

    Wadau, natafuta fundi mzuri sana wa kiwango kwa ajili ya kupiga plasta. Site iko Kigamboni, Dar es Salaam. Please, weka namba hapa Asanteni.
  16. Blessed Keinerugaba

    JamiiForums Tanzania UHITAJI WA FUNDI WA COMPUTER DODOMA MJINI

    Ninawasalimka ndugu wajumbe. Ninatafuta mtaalamu wa Kompyuta kwa Dodoma. Komyuta yangu imekuwa na changamoto inapowashwa hai-display chochote. Kama yuko fundi humu kwa upande wa Dodoma tunaweza kuwasiliana PM, ikiwa kuna mtu anamfahamu fundi mikini nitashukuru kupata mwongozo tafadhali!
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Huyu Mteja alipokuwa akimpa Maelekezo haya Fundi wake wa Mlango alikuwa akimaanisha nini labda?

    Naukuu..." Fundi tafadhali sana nataka Mlango wangu unaonitengenezea Urefu usiwe Steve Nyerere na Upana Zamaradi Mketema, "
  18. chris emex

    JamiiForums Tanzania Fundi Computer za Windows na Mac

    Tunatengeneza Computer za aina zote na kurudishia katika ubora Wake,, Pia tunazo Software / Program Za Computer Tupo DAR ES SALAAM WASILIANA NASI 0628 880 380
  19. L

    JamiiForums Tanzania Fundi wa I.T

    Nafanya ufundi wa vitu vifuatavyo:- 1. Nafanya LAN ya uhakika na kufunga access point( wireless) 2. Nafanya installation ya cctv cameras kuanzia maofisini, dukani na hata majumbani nnazo cctv za bulb ambazo hazijulikani hvo husaidia kuonesha yanayoendelea nyumbani kipindi wazazi hawapo ili...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Anatafutwa fundi wa Inverter

    Anatakiwa fundi wa Inverter anaye weza kurekebisha Inverter yenye ukubwa wa 5KVA/48VDC. Aliyepo hapa Dar es Salaam awasiliane nami inbox.
Back
Top Bottom