Huyu fundi gari leo ilikuwa nifungwe kwa kuua kwa kukusudia

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,510
23,722
Nipo mkoa fulani gari yangu ilipata ajali nmeleta kwa fundi. Hapa niliambiwa ndio mtaalamu wa hizi gari ni Toyota Hilux D4 zenye speed 200. Ilipata rabsha kidogo ikabidi nilete kwa fundi akague kila kitu.

Gari imerekebishwa upande wa body mbele kidogo na chassis ilipinda hivyo ilibidi kushushwa engine inyooshwe. Imenyooshwa leo wanarudisha engine. Mimi nipo nafuatilia kwa ukaribu.

Fundi amefunga kila kitu namwona kwenye kopo kuna Bolts kama 8-10 hivi. Namuuliza umemaliza kila kitu kurudishia. Ananambia ndiyo. Basi nikainuka nikachukua lile kopo lenye bolts na kumuuliza "hizi bolts kwa nini zimebaki?"

Ananijibu "Hizo zilizidi Boss" hapa pembeni yangu kuna spana sijui nani alinishikisha mkononi nikakuta nmemrushia na yeye sijui nani alimkwepesha akaepa na kukimbia akipiga kelele.

Hapo akaja fundi mkuu nikamweleza situation ilivyo akaniomba radhi sana. Sasa ameamua engine ishushwe aipandishe aifunge yeye mwenyewe upya. Hataki tena kuwaachia madogo wake. Sasa nami nipo nao bega kwa bega maana huwa nikija garage nakuja nmevaa overall kabisa.

Nimewaza huyu fundi bwana mdogo ana akili kweli? Yaani bolts zote zilikuwa zimefungwa. Leo karudisha engine anasema zilikuwa zimezidi, bolts zimezidije, alizikuta pembeni ya engine?

Sasa imagine haupo. Unakuja unakabidhiwa gari bolts 8 hazijafungwa. Huu si wendawazimu, wehu, ukichaa, ubaradhuli, ubazazi, ufala, usengie wa mafundi? Wallah ile spana ingempata ningekuwa kwenye hard time sana.
 
Nipo mkoa flani gari yangu ilipata ajali nmeleta kwa fundi. Hapa nliambiwa ndo mtaalamu wa hizi gari ni Toyota Hilux D4 zenye speed 200. Ilipata rabsha kidogo ikabidi nilete kwa fundi akague kila kitu.

Gari imerekebishwa upande wa body mbele kidogo na chassis ilipinda hivyo ilibidi kushushwa engine inyooshwe.imenyooshwa leo wanarudisha engine.mimi nipo nafuatilia kwa ukaribu.

Fundi amefunga kila kitu namwona kwenye kopo kuna Bolts kama 5 hivi.namuuliza umemaliza kila kitu kurudishia. Ananambia ndiyo. Basi nikainuka nikachukua lile kopo lenye bolts na kumuuliza "hizi bolts kwa nini zimebaki?"

Ananijibu "Hizo zilizidi Boss" hapa pembeni yangu kuna spana sijui nani alinishikisha mkononi nikakuta nmemrushia na yeye sijui nani alimkwepesha aka epa na kukimbia akipiga kelele.

Hapo akaja fundi mkuu nikamweleza situation ilivyo akaniomba radhi sana.sasa ameamua engine ishushwe aipandishe aifunge yeye mwenyewe upya. Hataki tena kuwaachia madogo wake. Sasa nami nipo nao bega kwa bega maana huwa nikija garage nakuja nmevaa overall kabisa.

Nimewaza huyu fundi bwana mdogo ana akili kweli? Yaani bolts zote zilikuwa zimefungwa. Leo karudisha engine anasema zilikuwa zimezidi...bolts zimezidi je alizikuta pembeni ya engine?

Sasa imagine haupo. Unakuja unakabidhiwa gari bolts 8 hazijafungwa. Huu si wendawazimu,wehu,ukichaa,ubaradhuli,ubazazi,ufala,usengie wa mafundi? Wallah ile spana ingempata ningekuwa kwenye hard time sana.
Kama stori yako ni kweli, ebu cheki "masega" (catalytic converter) kama yapo. Garage nyingi wanaiba hizo zipo kwenye muffler ya exhaust wanaikata, na kutoa hayo "masega" kwenda kuyauza, na kuchomelea tena. Masega hayo kwa kisasi yana madini ya thamani. Wenye magari wachache sana wanajua huu mchezo na wengi hawana time ya kukagua uvunguni kama muffler imechomelewa, ikiwa ni dalili kuwa "masega" yameibwa. Kama umewahi kupeleka gari garage na ikakaa si chini ya siku moja, ebu cheki kama muffler yako imechomelewa au hapana. Kama imechomelewa, jua 95% umeliwa.
 
Hili swali ata Mimi nilishaulizaga inakuaje bolt huwa zinabaki. Mafundi wanapenda short cut.
Sometimes mafundi wanaharibiana kazi wenyewe kwa wenyewe. Unakuta wakati anaendelea na kazi anakuja mwingine anaongeza bolts au nuts katika container analowekea bolt au nuts.
Sasa ukiwekewa hata uwe fundi vipi lazima uchanganyikiwe kwanza.
 
Dah, sera ya kumwachia fundi gari na kwenda saloon kufanya scrabbling, ama kukaa juu ya kiti kirefu na kupata moja baridiii, mafundi wengi wakisha ona haupo hapo huwachukua vijana wadogo na kuwapa kazi

mie nilisimamia, badae nkaoona wanaenda fungua vifaa gari zingine zilizokuwepo na kuhamisha hamisha, kisha wanakuja kukwambia wamenunua vipyaaa kumbe used, unapigwa changa la machoo
 
Mie huwa sitoki hapo hadi gari ipone ka yupo bize namwambia akiwa free anicheki niende ili shuhuli iishe siku hyo hyo huwa hawanipendi hao jamaa
 
Nmecheka Sana mimi niliwahi kujidai fundi simu wakat naifunga vifaa vikazid mbele ya mwenye simu
ila tuachane na hayo tumeshajua una gari yenye speed 200 lipia tangazo sasa
 
Nipo mkoa fulani gari yangu ilipata ajali nmeleta kwa fundi. Hapa niliambiwa ndio mtaalamu wa hizi gari ni Toyota Hilux D4 zenye speed 200. Ilipata rabsha kidogo ikabidi nilete kwa fundi akague kila kitu.

Gari imerekebishwa upande wa body mbele kidogo na chassis ilipinda hivyo ilibidi kushushwa engine inyooshwe. Imenyooshwa leo wanarudisha engine. Mimi nipo nafuatilia kwa ukaribu.

Fundi amefunga kila kitu namwona kwenye kopo kuna Bolts kama 8-10 hivi. Namuuliza umemaliza kila kitu kurudishia. Ananambia ndiyo. Basi nikainuka nikachukua lile kopo lenye bolts na kumuuliza "hizi bolts kwa nini zimebaki?"

Ananijibu "Hizo zilizidi Boss" hapa pembeni yangu kuna spana sijui nani alinishikisha mkononi nikakuta nmemrushia na yeye sijui nani alimkwepesha akaepa na kukimbia akipiga kelele.

Hapo akaja fundi mkuu nikamweleza situation ilivyo akaniomba radhi sana. Sasa ameamua engine ishushwe aipandishe aifunge yeye mwenyewe upya. Hataki tena kuwaachia madogo wake. Sasa nami nipo nao bega kwa bega maana huwa nikija garage nakuja nmevaa overall kabisa.

Nimewaza huyu fundi bwana mdogo ana akili kweli? Yaani bolts zote zilikuwa zimefungwa. Leo karudisha engine anasema zilikuwa zimezidi, bolts zimezidije, alizikuta pembeni ya engine?

Sasa imagine haupo. Unakuja unakabidhiwa gari bolts 8 hazijafungwa. Huu si wendawazimu, wehu, ukichaa, ubaradhuli, ubazazi, ufala, usengie wa mafundi? Wallah ile spana ingempata ningekuwa kwenye hard time sana.
Mkuu hongera kwa kumiliki gari
 
Tupate wadhamini kidogo
IMG-20200926-WA0021.jpg
 
Bugatti Chiron yangu used niliyonunua kwa 2.5 million US dollars (ikiwa mpya 8.2 M) nipeleke kwa gerej uchwara za kimatumbi? Never!
 
Kuna magari ukimiliki,likiharibika unapigia simu company husika kama ni ford unawapigia agent wa ford Tz wanakuja kulifuata,we unatafutiwa usafiri wa kukupeleka home.Si kupeleka gereji za vichochoroni,ukiona unaenda vichochoroni ujue hiyo gari si level yako
 
Nipo mkoa fulani gari yangu ilipata ajali nmeleta kwa fundi. Hapa niliambiwa ndio mtaalamu wa hizi gari ni Toyota Hilux D4 zenye speed 200. Ilipata rabsha kidogo ikabidi nilete kwa fundi akague kila kitu.

Gari imerekebishwa upande wa body mbele kidogo na chassis ilipinda hivyo ilibidi kushushwa engine inyooshwe. Imenyooshwa leo wanarudisha engine. Mimi nipo nafuatilia kwa ukaribu.

Fundi amefunga kila kitu namwona kwenye kopo kuna Bolts kama 8-10 hivi. Namuuliza umemaliza kila kitu kurudishia. Ananambia ndiyo. Basi nikainuka nikachukua lile kopo lenye bolts na kumuuliza "hizi bolts kwa nini zimebaki?"

Ananijibu "Hizo zilizidi Boss" hapa pembeni yangu kuna spana sijui nani alinishikisha mkononi nikakuta nmemrushia na yeye sijui nani alimkwepesha akaepa na kukimbia akipiga kelele.

Hapo akaja fundi mkuu nikamweleza situation ilivyo akaniomba radhi sana. Sasa ameamua engine ishushwe aipandishe aifunge yeye mwenyewe upya. Hataki tena kuwaachia madogo wake. Sasa nami nipo nao bega kwa bega maana huwa nikija garage nakuja nmevaa overall kabisa.

Nimewaza huyu fundi bwana mdogo ana akili kweli? Yaani bolts zote zilikuwa zimefungwa. Leo karudisha engine anasema zilikuwa zimezidi, bolts zimezidije, alizikuta pembeni ya engine?

Sasa imagine haupo. Unakuja unakabidhiwa gari bolts 8 hazijafungwa. Huu si wendawazimu, wehu, ukichaa, ubaradhuli, ubazazi, ufala, usengie wa mafundi? Wallah ile spana ingempata ningekuwa kwenye hard time sana.

Kajifundishia ufundi chini ya mwembe. Hajaenda shule ya ufundi huyo.
 
Huyo boss mkuu asipomfukuza huyo fundi kijana mdogo basi atajifukuzishia wateja wake wote. Customer Caring ndogo sana hapo kwa biashara za uswahilini.
 
Hii sijawahi ifahamu.....kumbe nayo ipo?😂😂😂😂😂😂😂

Sometimes mafundi wanaharibiana kazi wenyewe kwa wenyewe. Unakuta wakati anaendelea na kazi anakuja mwingine anaongeza bolts au nuts katika container analowekea bolt au nuts.
Sasa ukiwekewa hata uwe fundi vipi lazima uchanganyikiwe kwanza.
 
Shule n nzur sana aisee,Kuna vijana hawana shule n mafundi ukimuulza ktu anakujbu ksenge yaan mpaka unawaza huyu mjinga ana akil kwel,mfano unaweza muulza Fundi kuwa hik ktu ulichofunga mbona knapga kelele,yeye anaweza kukujbu kuwa hakjazoea kkizoea ktatulia na uktafakar kwa akil ya kawaida unaona sio kwel
 
Back
Top Bottom