Mafundi nguo acheni ujinga huu...

Ed Kawiche

JF-Expert Member
May 28, 2020
2,587
4,611
Hii ni mara ya pili sasa mafundi nguo wananiharibia nguo zangu!

Namwambia vizuri tu kwa lugha inayoeleweka "...punguza urefu na upana." tunakubaliana... nampa pesa yake nasepa.

Leo nimekuja kuchukua nguo zangu kubabake zimemodolewa zote! Hapa nilipo nimechukia kinoma!
Nahisi sinaga bahati na mafundi nguo, alafu inaonekana hawa mafundi nguo wanatabia za kufafana, maana fundi wa mara ya kwanza alinifanyia ujinga kama huu... anachukua vipimo then haandiki pembeni... kuja kuchukua nguo amefanya asichoambiwa!

Ulishawahi kukumbwa na mkasa kama huu? Tueleze ilikuaje na ulichukua uamuzi gani.
Maana hapa napanga bajeti ya kununua suruali zingine.
 
Wewe limekupata kama lililonipata mimi, kuna kipindi nilipungua sana, nikampelekea fundi anipunguzie suruali nane, nikamwelekeza fresh akanipima nikamlipa, nilipokuja chukua zile suruali aiseee zilikuwa model zile tight za vijana wa kisasa na mimi sivaagi style hizo. Ikabidi nigawe tu maana kulikuwa hakuna namna, mambo ya kutaka kuvua suruali mpaka uombe msaada siwezi
 
tatizo la hawa mafundi wanadhani kila raia anapendelea kuvaa modo
 
Tatizo mnawalipa kabla ya wao kuifanya kazi mliowatuma,hapo hata akiboronga huna cha kumfanya,jaribuni kua mnawalipa baada ya wao kumeet customer requirement.
 
Nunua tu mashine ya kushonea hata vile vidogo vya umeme. Mi nshaachana nao siku nyingi sana hadi nguo najishonea mwenyewe.
Mambo ya kujibishana na watu wazima mwisho wa siku waseme nina wadharau nimeshindwa ✌
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom