fundi

  1. Mtwara Smart

    JamiiForums Tanzania Darasa Huru Part 4: Umuhimu Wa IT Rescue Bag Kwa Fundi Computer/Simu

    Habari zenu wakuu na poleni na majukumu, Leo ningependa tujue umuhimu wa I RESCUE BAG Kwa Fundi Computer Na Simu, Vitu Hivi Ni Muhimu Sana Kwa Fundi Yoyote Anayetaka Kutoa Huduma Express, Delivery Na Outreach. IT RESCUE BAG Ni Mfuko Au Kitu Chochote Kinachoweza Kuhifadhi Vitu Muhimu Ambavyo...
  2. Fundi George

    JamiiForums Tanzania Fundi Umeme

    Zoezi la kufunga Submita hizi za PREPAY Hizi ni Mita Binafsi Ambazo ni maalumu kabisa kwa wale Watu wanaotumia mita moja ya LUKU zaidi ya mtuu mmoja limekamilika Faida za hii Mita nikwamba owapo mtumiaji mmoja kati ya wale wanaotumia umeme Luku moja zaidi ya wawili akiishiwa umeme hatapata tena...
  3. Fundi George

    JamiiForums Tanzania Kama unahitaji fundi umeme wa nyumba ya ndoto yako

    Tv showcase iliyofanyiwa design ya umeme kwa kazi nzuri kama hizi wasiliana na Fundi George 0622313163 0622313163 tunapatikana Dar es salaam.
  4. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Miziki isiyo ya maombolezo yapigwa marufuku Mwenge, Dar es Salaam

    Inasambaa sana na kwa kasi mitandaoni. Inasemekana imeandikwa na M/kiti wa mtaa wa Mwenge, Halmashauri ya wilaya ya Kinondoni DSM. Uandishi wenyewe ni wa kibabe na usio na weledi hata chembe. Eti "...HII NI AMRI SIYO OMBI..." Hawa MATAGA hawataki kujifunza kwa hiari nadhani... Hawa ni wazi...
  5. Slowly

    JamiiForums Tanzania Mbosso Khan, fundi mpya Mjini

    Aiseee nimesikiliza goma jipya la Mboso Khan linaitwa "Yalaah" nimehitimisha Kwa kusema kuwa Mbosso ni fundi mpya wa mashairi hapa mjini...... Director Hanscana ni legend Kitu kingine nilichogundua ni kuwa Diamond anapomsajili msanii anaangalia Sana uwezo wa kutunga mashairi mana ndo njia...
  6. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Maji aagiza fundi wa mradi awekwe ndani

    Huyu ni naibu waziri wa maji, Meryprisca Mahundi. Baada ya kuchukizwa na kitendo alichokifanya fundi Imani Mussa, ambaye ni fundi wa mradi wa maji huko Kyenda, wilaya ya Ngara, mkoani Kagera. Inadaiwa fundi alitaka kuupeleka msafara wa Bi. Naibu waziri kwenye sehemu tofauti na sehemu iliyo na...
  7. Penguin-1

    JamiiForums Tanzania Huduma za Kutengeneza Magari

    Tupigie 0743 916 262 kwa huduma za Services za Engine pamoja na vilainishi vyake Services za Gearbox pamoja na vilainishi vyake Diagnosis Kunyoosha Body na Kupaka Rangi Tunapatikana Madale 6 pub njia ya kwenda Atlas Schools
  8. davetz28

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu gharama za fundi kujenga nyumba ya vyumba vitatu kuanzia msingi hadi kwenye beam

    Nawasalimu wanajamvi wote,hongereni kwa majukumu ya kujenga taifa. Leo nimekuja kwenu kuomba ushauri ni kipino gani kinatumika kupata bei ya ujenzi wa nyumba? Nimempata fundi aniinulie boma kuanzia msingi hadi kwenye hatua ya lenta,mahesabu yake aliyopiga ni shs 500 KWA tofari moja gharama...
  9. Mwanga Lutila

    JamiiForums Tanzania Tuliopitia maisha ya "Saidia Fundi" tukutane hapa

    Hii mikazi sidhani kama kuna mtu anapenda kuifanya ila kuna stage ilitubidi wengine tufanye ili tusukume siku. Wapo ambao zimewatoa, na tupo ambao hazikututoa. Niliacha hii mikazi kipindi hicho napambana life baada ya braza mmoja aliyekuwa ameshika kazi, akishachukua mpunga kwa bosi basi...
  10. V

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nimesoma Bachelor of Finance na uzoefu mwingi

    Hello wanaforum naitwa richard nimegraduate degree ya finance university of dsm natafuta nafasi ya kazi ya kujitolea kwenye kampuni yoyote nipate uzoefu Napatikana Dar Es Salaam Tanzania namba zangu 0657710078
  11. Mlendamboga

    JamiiForums Tanzania Natafuta fundi wa funguo za gari na programming kwenye immobilizer

    Ninahitaji mtaalamu wa kunifanyia marekebisho, nilinunua gari mnada wa TRA likiwa halina ufunguo(ulipotelea mezani kwao) katika mazingira hayo nililazimika kulibeba kwenye crane hadi garage, na kwakuwa gari lina immobilizer nahitaji mtaalamu wa kunifanyia mambo mawili 1. Kunitengenezea...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Gharama za fundi Kupaua nyumba hii ya flat roof(picha)

    Nawasalimu wanajamvi. Nimejenga nyumba yangu mitaa ya Goba Dar es salaam, yenye ukubwa wa sqm 340, Pesa zenyewe nimeungaunga kweli ujenzi ulianza tangu 2015 mpaka sasa ndio nataka kupaua. Nimefika hatua ya kupaua ila napata kigugumizi kila fundi ananipa mahesabu tofauti na gharama tofauti...
  13. kimbendengu

    JamiiForums Tanzania Fundi amechafua masink ya choo kwa cement

    Wakuu nimemwita fundi wa kuweka sink kwenye vyoo viwili lakini amechafua kwa kuweka cement na hivyo sink zote zimepoteza ule weupe wake sasa mwenye uelewa wa kuondoa huu uchafu kwenye haya masink anisaidie. Asante.
  14. steve_shemej

    JamiiForums Tanzania Fundi welding natafuta kazi

    Habarini wanandugu. Nimekuja kwenu naomba ajira mim ni fundi welding nina cheti. Nina uzoefu kwenye arc pia nina uzoefu wa wastani kwenye MIG welding Namba yangu hii 0763329715
  15. G

    JamiiForums Tanzania Fundi Computer Dar es Salaam

    Nahitaji Fundi Computer wa Kushirikiana nae kazi,, kama wewe ni fundi computer na upo dar tafadhani njoo P.M tuyajenge.
  16. wirewizard

    JamiiForums Tanzania Fundi umeme wa nyumba na mashine za umeme (electrical techinician) naomba kazi

    Habari ndg zangu wana JF, NAMSHUKURU MUNGU kwa kunipa wazo hili la kuleta ombi la kazi hapa jukwaani,,,mimi ni fundi wa umeme mwenye uzoefu mkubwa. Nimejiajiri mimi mwenyewe, kutokana na hali ilivyo kwa kwa sasa, kwa kifupi sina kazi! Au by the way kazi ni...
  17. I_manyota

    JamiiForums Tanzania Producer scott storch - the iconic -na story kuhusu ngoma yake aliyotoboa nayo still-dre ft snoop dogg

    Unazikumbuka hizi Learn Back, Make It Rain- Fat Joe, vipi kuhusu the iconic song kutoka westcost Still ya Dr Dre, Just A Lil Bit 50 Cent, Poppin Them Thangs - G unit, Gimme That-Run It za Chris Brown mzee list ni ndefu sanaaaaaaaaa kwa wakati wako google it. Huyo si mwengine basi ni Scott Scotch...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta fundi wa kuweka fog lights kwa gari

    Habari if! Naomba mwenye kumjua fundi makini wa kuniwekea fog lights kwenye gari yangu Toyota axio kwa Dar au Arusha , mkinifahamisha pia gharama nitashukuru , fog lights za round ( HID bulbs)
  19. B

    JamiiForums Tanzania Fundi Mbobezi wa Mashine viwandani Anahitajika

    Habari za Jioni ndugu wadau. Nahitaji fundi mtaalamu wa mashine kubwa kubwa za viwandani. Naomba msaada wa kuonganishwa kama kuna mdau yoyote anayemfahamu. Ahsante
  20. Mwamba1961

    JamiiForums Tanzania Fundi umeme anaitajika Moshi - Tanzania

    Cube Operator (Electrical) Job Description : Reports To: Production Manager Serengeti Breweries Limited (SBL) is a fully integrated beverage business in Diageo Africa (supply and demand for beer and spirits). It is a subsidiary of East Africa Breweries Limited (EABL), the largest business unit...
Back
Top Bottom