Fundi mahiri wa ujenzi wa nyumba nipo hapa

Fundi mahiri wa ujenzi

JF-Expert Member
Dec 10, 2012
3,954
2,439
Mimi ni fundi mahiri wa ujenzi. Nifundi mzoefu na mbobezi kwenye kujenga:-

Nyumba za makazi (single storey na double storey house)

Nyumba za biashara

Ujenzi wa mabwawa na

Mfumo wa kisasa wa maji taka ambao haujazi shimo uchafu

PIA

Nafanya renovation ya kubadili nyumba za kizamani kuwa za kisasa.

Napatikana Dar es salaam
Pia mikoani nafika kufanya kazi.

MABANDIKO YANGU MENGI YANAPATIKANA KTK JUKWAA LA MATANGAZO HAPA HAPA JAMIIFORUM

Pia Instagram napatikana kwa jina la "Fundi mahiri wa ujenzi"

Namba zangu ni 0655173113

Karibuni kwa ushauri na huduma.
 
Nataka kujenga kwenye flat landscape, nyumba ya chumba kimoja masta na sebule Kwa Ile style ya siku hizi ya kupaua Kwa kulaza bati, juu kunakua na flat surface. Inaweza nicoast bei gani? Materials only
 
Una mchoro wa hiyo nyumba? Je utaijenga mkoa gani?
 
Nataka nikupeleke kijijini Muleba ukanijengee ghorofa 4 kabla ya Krismasi 2020 Nina wageni wanatoka Norway nataka wafikie Hapo kwangu ghorofani.
 
Kma hyo
IMG_20201109_130706.jpg
 
Mimi ni fundi mahiri wa ujenzi. Nifundi mzoefu na mbobezi kwenye kujenga:-

Nyumba za makazi (single storey na double storey house)

Nyumba za biashara

Ujenzi wa mabwawa na

Mfumo wa kisasa wa maji taka ambao haujazi shimo uchafu

PIA

Nafanya renovation ya kubadili nyumba za kizamani kuwa za kisasa.

Napatikana Dar es salaam
Pia mikoani nafika kufanya kazi.

MABANDIKO YANGU MENGI YANAPATIKANA KTK JUKWAA LA MATANGAZO HAPA HAPA JAMIIFORUM

Pia Instagram napatikana kwa jina la "Fundi mahiri wa ujenzi"

Namba zangu ni 0655173113

Karibuni kwa ushauri na huduma.
whatsupp unapatikana?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom