Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) linapanga kununua magari 106 kwa ajili ya uboreshaji wa utoaji wa huduma kwa wateja ikiwamo kitengo cha dharura kwa ajili ya kuwahudumia wateja baada ya kupata kibali cha ununuzi.
Aidha, shirika hilo limesema uboreshaji wa mfumo wa umeme katika kituo cha...
MKUU wa Mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri, aliagiza Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Igunga kuwachukulia hatua za haraka wakulima wote wa pamba ambao wamekataa kung’oa miti ya pamba ya msimu uliopita.
Wakulima hao wamekaidi kufanya hivyo kwa madai ya kutaka kulipwa fedha zao za mauzo...
Baraza la Sanaa la Taifa “BASATA” limempunguzia adhabu rapa wa kike nchini, Rosa Ree kutokana na kumfungia miezi sita, na badala yakekuruhusiwa kuendelea na shughuli zake za kisanaa.
Barua hiyo imemtaka msanii huyo kulipa faini ya shilingi Milioni 2 ndani ya muda wa mwezi mmoja,
“Baraza la...
Kiswahili cha CryptoCurrency kitatupa shida.
Hivi karibuni benki kuu ya Tanzania kupitia website yake imetoa katazo la Cryptocurrency ambazo zimetafsiriwa kama PESA ZA MTANDAO. Taarifa ya BoT kuhusu Cryptocurrency ambayo imetafsiriwa kama fedha za kimtandao kitatupa shida kwenye uelewa...
Benki Kuu Nchini imeonya kuacha mara moja kujihusisha na shughuli za fedha za Kimtandao (cryptocurrencies) kunakofanywa na baadhi ya watu wanaojihusisha na bishara hiyo haramu.
Imeeleza kuwa watu hao wanaoleta usumbufu ndani na nje ya Nchi, wamekuwa wakidai kuwa shughuli zao zinaungwa mkono na...
Nimefuatilia na kupata kufahamu kuwa baadhi ya taasisi kwa elimu ya juu bado wanafanya michezo mibaya kwa fedha ya kujikimu ya wanafunzi.
Wako watumishi wa hizo taasisi sio waaminifu na wanachelewesha kwa makusudi kabisa kutoa hizi fedha kwa wanafunzi kwa sababu wanazojua wenyewe.
Hizi fedha...
Sitaki kuamini kuwa tunaenda kwa mwendo huu, mwendo wa fedha yetu kukosa thamani na kuzidi kudidimia chini.
Ni ajabu wana uchumi kashindwa kuikomboa fedha yetu, wazee wetu wanatuambia hapo kabla fedha ilikuwa imara lakini hivi sasa inakuwa mdebwedo.
Dola moja ni sawa na Tshs elfu 2000 na kitu...
Nimesoma gazeti moja linauliza hivi pesa hutokaje serikalini kwenda kwa wananchi? na nikadhani tunaweza kujadili sote
Binafsi kwa uelewa wangu pesa huwa inazunguka na kuzunguka kwa pesa maana yake ni kutoka sehemu moja ikapita kule na kule na kurudi sehemu hiyo hiyo ilipoanzia huo ndio mzunguko...
Mada hapo juu yaeleweka vizuri sana. Mnafahamu kiendeleacho nchini hivi sasa. Katavi, Njombe, Mtwara na Tanga hakuna uchaguzi. Hela nyingi zimenusirika kulipa posho za wasimamizi, karatasi, wino, visanduku, usafirishaji nk.
Hata mitaa na vijiji vingi kwingineko hakuna uchaguzi wa serikali y...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi Kabudi amesema ndege ya Tanzania Bombardier Q400 iliyokuwa iwasili nchini hivi karibuni imekamatwa nchini Canada na kesi ipo Mahakamani
NDEGE NYINGINE YA TANZANIA YAKAMATWA CANADA
- Waziri wa Mambo ya Nje na...
WAZIRI wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango ameiomba Benki ya Maendeleo ya Afrika kuipatia Tanzania mkopo nafuu kwa ajii ya kujenga barabara ya njia Nne kuanzia Morogoro hadi Dodoma ili kuboresha usafiri na usafirishaji wa abiria na mizigo
Dkt. Mpango ametoa ombi hili Jijini Dodoma...
Jumuiya hiyo imesema hakuna nchi yoyote ya Jumuiya hiyo iliyo hatarini kuondolewa uanachama, kwa sababu ya kushindwa kutoa ada za mwaka, isipokuwa upo uwezekano wa kuwekewa vikwazo.
Kwa mujibu wa taarifa ya jumuiya hiyo, hadi kufikia Oktoba mwaka huu, Burundi ilikuwa ikidaiwa Dola za Marekani...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) inamshikilia Mweka Hazina wa Kikundi cha Ujasiriamali cha Imani kwa tuhuma za kula Tsh. Million 39 za Wanakikundi na kudai zimeyeyuka kishirikina
Wanakikundi 28 juzi walikesha wakilia nyumbami kwa muweka hazina huyo, Halima Mwidadi, Mkazi wa...
Waziri wa kilimo mh Hasunga amesema mabilioni ya fedha za korosho yameliwa na wajanja hivyo ameunda tume ya uchunguzi kufuatilia ubadhirifu huo.
Pia mh Hasunga amemtaka CAG kuikagua bodi ya korosho kwani kuna kiasi cha zaidi ya sh bilioni 55 hazijulikani ziliko.
Kadhalika Waziri amewataka...
Huwezi kukiondoa madarakani chama kikongwe kama CCM kwa kulalamika kwenye vyombo vya habari, au kusubiri kigawanyike, unaweza kusubiri isiwe na kulalamika tu hakutoshi.
Hadi sasa hatuoni movement yeyote serious kuonyesha kweli mna nia ya kuingia ikulu, pamoja na operation Chadema ni msingi, kwa...
Afrika ni nchi kubwa ambayo kwa uhalisia wake inawatu wanaotumiana sana kwa sababu ya housing "Afrika" lakini ni wagumu kuingiza siasa ya kuboresha maisha kwa sababu ya AIBU (hapa ndipo Pana Go and return ticket"
Hebu check wimbo huu unaweza sema alikuwa namwimbia mwanamke lakini kiuhalisia...
Changamoto kubwa ya watu wengi katika kuanzisha biashara ni mtaji. Kuanza biashara kuna mambo mengi sana, kuna kufanikiwa na kushindwa hivyo kuchukua mkopo banki wakati ndio unaanza biashara sio busara hii ni kwa sababu unashauriwa kuwa kabla haujaweka fedha zako kwenye biashara yeyote ile ni...
Waziri wa Tamisemi mh Jaffo amesema wagombea wote wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambao wameondolewa lakini wamekata rufaa malalamiko yao yatasikilizwa na haki kutendeka na kama wameonewa basi watarejeshwa uchaguzini.
Chanzo: ITV habari
Hizi ni habari njema kwa wapinzani ukizingatia ukweli...
Dodoma. Waziri wa Fedha na Mipango wa Tanzania, Dk Philip Mpango amesema katika kipindi cha mwaka 2016/17 hadi Septemba 2019, Serikali imelipa jumla ya Sh24.499 trilioni kwa ajili ya deni lililoiva la fedha zilizokopwa kugharamia miradi mbalimbali ya maendeleo.
Dk Mpango ameyasema hayo leo...
Kwanza nawashukuru wananchi na wasimamizi kwa namna moja au nyingine walioshiriki kuokoa fedha hizi. Nitakuwa mchoyo wa fadhira nisiposema asante
Halmashauri zilipokea fedha nyingi kwa ajiri ya uendeshaji wa uchaguzi, karibu halmashauri zote zimetumia nusu tu ya fedha zilizopelekwa, kwa sababu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.