fedha

  1. D

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wateja wa benki ya CRDB walalamikia fedha kutolewa kwenye akaunti zao bila taarifa ya kueleweka

    Benki ya CRDB jibuni hizi tuhuma haraka kabla hamjachafua hadhi yenu
  2. proff g

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Bunda tafakarini hili la fedha zinazoletwa kwa ajili ya maendeleo ya shule.

    Katika mwaka huu wa masomo 2020 serikali imejitahidi kuleta fedha kwa ajili ya maendeleo hasa maboresho katika miundombinu ya shule pamoja na kujenga miundo mbinu mipya ya shule hizi hasa za Halmashauri ya wilaya ya Bunda. changamoto iliyopo, pamoja nakuletwa fedha hizi bado halmashauri...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Suala la kutekeleza miradi mikubwa nchini kwa fedha yetu ya ndani limetupa maumivu sana katika awamu hii, sio la kujivunia wala kujisifia hata kidogo!

    Watanzania wengi hawaelewi kwamba suala la kutekeleza miradi mikubwa nchini kwa kutumia fedha yetu ya ndani sio suala la kujivunia wala kujisifia hata kidogo. limetuletea maumivu makali katika karibu kila sehemu ya uchumi. Miradi hii ni kutia ndani ununuzi ndege, Reli ya SGR, Umeme wa Stiegler...
  4. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Afrika inapoteza fedha nyingi kwa uhujumu uchumi kuliko inazopokea kama misaada

    Utafiti uliondeshwa na Umoja wa Mataifa, umeonyesha bara la Afrika linapoteza karibu dola billioni 89 kila mwaka katika mtiririko haramu fedha kama vile ukwepaji kodi na wizi. Ripoti hiyo yenye kurasa 248, iliyotolewa Jumatatu, imetolewa na bodi ya Umoja wa Mataifa ya biashara na maendeleo...
  5. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Charles "Chuck" Feeney ni bilionea ambaye alikuwa na ndoto za kumaliza mali yake yote akiwa hai, kwa kutoa fedha zake zote kwa mashirika ya hisani

    Mfanyabiashara huyo wa Marekani mwenye umri wa miaka 89 , hatimaye amefikia lengo lake siku chache ziliopita alipotoa dola ,milioni 8,000 kusimamia miradi ya hisani duniani. Hivi sasa hana nyumba wala gari na ni maarufu kwa kuvalia saa ilionunuliwa kwa dola 15 pekee. ''Nilikuwa na wazo ambalo...
  6. C

    JamiiForums Tanzania GE2020 Magufuli(Mlowa): Ubunge sio 'madigrii' ni kipaji kutoka kwa Mungu; mkichagua Wapinzani nitashindwa kuwatumbua wasipofanya kazi

    Katika kipindi cha miaka 5 tumefanya mengi, hata kuhamishia Makao Makuu Dodoma halikuwa jambo dogo. Miaka 47 haijawezekana ila miaka 5 tumeweza. Makao Makuu yanamaanisha ustawi wa eneo hili unakuja kwa nguvu. Tunajenga Uwanja wa Ndege mkubwa huko Msalato ili ndege za kimataifa zije. Tumeleta...
  7. SheriaE

    JamiiForums Tanzania Hoja ipi kati ya zifuatazo ina ukweli ndani yake

    Habari za uzima ndugu zangu. Naomba mkipata muda mtaniambia ni hoja ipi kati ya zifuatazo inaukweli ndani yake : 1.Inasemekana wanawake wengi wamepewa uwezo mkubwa na Mungu wa kutunza fedha kuliko wanaume , 2.Hali ngumu za kimaisha zimewafanya watu wengi wasiabudu 3.Inasemekana kwamba...
  8. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Halima Mdee, fedha za mfuko wa jimbo umepeleka wapi?

    HALIMA MDEE, FEDHA ZA MFUKO WA JIMBO UMEPELEKA WAPI? Bunge la JMT limetunga Sheria iliyoanzisha na kusimamia fedha za mfuko wa Jimbo kwa lengo la kurahisisha na kumsaidia Mbunge wa kuchaguliwa Jimboni kupata fedha hizo kwa lengo la kurahisisha kutatua changamoto mbali mbali za Maendeleo...
  9. kavulata

    JamiiForums Tanzania Daladala ziruhusiwe kupita Barabara za Mwendokasi Dar es Salaam

    Ukiangalia idadi ya magari yaliyotarajiwa kwenda kwa haraka yanayopita kwenye barabara hizi za haraka utagundua kuwa ujenzi wa barabara hizi una harufu ya ufisadi. Ujiangalia idadi ya magari na abiria wanaotumia hizi barabara ni kidogo sana kulinganisha na thamani ya ujenzi wa mradi. Barabara...
  10. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kuna mradi wa kukarabati Shule Kongwe nchi nzima. Je, fedha za kukarabati shule ya Ihungo na Nyakato zilizoathiriwa na tetemeko Kagera zinatoka huko?

    Nasikia kuna mradi mkubwa unaofadhiliwa na mataifa ya nje ili kukarabati Shule Kongwe hapa nchini. Mradi huu hutoa pesa kwa ajili ya shughuli hii. Shule ya Sekondari Nyakato pamoja na Ihungo ni moja ya shule kongwe na hivi karibuni zimezua mjadala. Shule hizi zilipigwa na tetemeko lililoikumba...
  11. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania GE2020 Prof. Lipumba: Katika kipindi cha miaka mitano, mzunguko wa fedha umekuwa mdogo, tunahitaji kubadilisha hali hiyo

    "Katika kipindi Cha miaka mitano, mzunguko wa fedha umekuwa mdogo, biashara haitoki, hakuna mzunguko wa fedha unaokidhi mahitaji, tunahitaji kuibadilisha hali hiyo".Prof. Lipumba-Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania RAIS MAKINI SERIKALI MAKINI
  12. Informer

    JamiiForums Tanzania Saed Kubenea atiwa mbaroni. Afikishwa Mahakamani kwa kuingia nchini kinyume na Sheria, utakatishaji fedha na kupelekwa rumande

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI YAH: KUFIKISHWA MAHAKAMANI KWA SAED AHMED KUBENEA Mnamo tarehe 5/9/2020, Jeshi la Polisi Tanzania lilimkamata SAED AHMED KUBENEA akiwa katika gari la abiria lenye namba ya usajili T. 645 DKR akitokea kwenye mpaka wa Tanzania na Kenya, eneo la Namanga akielekea...
  13. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Je, NEC imeokoa kiasi gani cha fedha baada ya baadhi ya wagombea ubunge na udiwani kupitishwa bila kupinga?

    Inaeleweka wazi kwamba Tume ya uchaguzi imepewa fedha za kutosheleza uchaguzi kwa majimbo yote na kata zote Tanzania bara na visiwani. Ni vema walipa kodi wakajulishwa kiasi cha fedha kilichookolewa baada ya baadhi ya wagombea kukosa sifa na hivyo majimbo yao kutoingia katika Uchaguzi...
  14. chinchilla coat

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwanini CHADEMA wamesimamisha wagombea majimbo ambayo nafasi ya kushinda ni ndogo, yet hawana fedha za kutosha?

    CHADEMA Urais Zanzibar ambako kule vyama vikuu ni CCM na ACT-Wazalendo Lakini pia CHADEMA wameonyesha kutokuwa na fedha za kutosha hadi kufikia kupitisha bakuli kwenye mikutano yao Sasa kulikuwa na umuhimu gani kusimamisha wagombea wengi, tena kwenye sehemu ambazo chance ya kushinda ni ndogo...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Maboresho ya Elimu ni mradi chini ya Benki ya Dunia, fedha zilizuiliwa kwa pingamizi la Zitto

    Napenda kuweka wazi juu ya huu mpango wa maboresho ya Elimu, huu mradi ulianza enzi ya utawala wa Mkapa kwa ufadhili wa Benki ya Dunia (World Bank) mradi huu ni matokeo ya mpango wa serikali kusamehewa madeni chini ya HIPC na unaenda hatua kwa hatua kulingana na mahitaji ya wakati na ufanisi wa...
  16. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania GE2020 CUF - Chama cha Wananchi: Uzinduzi mkubwa wa kuchangia CUF, kuchangia ushindi kufanyika kesho Jumamosi ofisi kuu ya chama Buguruni

    Hakiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Cuf-chama cha wananchi Usilalamike, chukua hatua. Changia CUF, changia ushindi Uzinduzi wa michango ya wananchi kwa chama chao utafanyika jumamosi ya tarehe 29/08/2020 ofisi kuu buguruni kuanzia saa 4.00 asubuhi Mgeni rasmi: mgombea urais wa tanzania Prof...
  17. luangalila

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wabunge wa Kenya EAC wamedai posho ya siku ilhali wanafanyia kazi kwao

    Wabunge wa bunge la EAC toka kenya wameonyesha ulafi wao wa fedhaa ktk bunge la EAC wakidai walipwe daily subsistance allowance ili hali wana fanyia kazi nchini kwao ..AIBU gani hii kwa wabunge walafi
  18. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli azindua Kanisa la Parokia ya Bikira Maria Emmakulata Chamwino, Dodoma. Achangisha fedha kanisani kuchangia ujenzi wa Msikiti

    Rais Magufuli amehudhuria misa takatifu ya uzinduzi wa Kanisa la parokia ya Bikira Maria Emmakulata Chamwino jijini Dodoma. Misa hii inarushwa mubashara TBC na Channel ten. Maendeleo hayana vyama! ========= Baba askofu mkuu amewataka waumini kuzusha macho kuuona uzuri wa kanisa na kuwaasa...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli awakabidhi waislamu mchango wa fedha za ujenzi wa msikiti, Shekhe wa Wilaya amshukuru

    Rais Magufuli leo amekabidhi mchango wa fedha za ujenzi wa msikiti zilizochangishwa jana katika Kanisa Katoliki Parokia ya Bikira Maria Immakulata. Fedha hizo zimekabidhiwa kwa Shekhe wa Wilaya Suleiman Matitu na Katibu wa Rais ndugu Ngusa. Chanzo: East Africa Radio
  20. IAfrika

    JamiiForums Tanzania Benki Kuu ya Sudan Kusini yasema Akiba ya Fedha za Kigeni imekwisha

    Sudan Kusini imeishiwa na akiba ya fedha za kigeni na haiwezi tena kumaliza kushuka kwa thamani ya Pauni ya Sudan Kusini, afisa mkuu wa benki kuu alisema Jumatano. Daniel Kech Pouch, gavana wa pili wa benki hiyo, aliambia mkutano wa habari kwamba mapato ya mafuta ya nchi yamepungua, ikigonga...
Back
Top Bottom