fedha

  1. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Manyovu, Albert Obama akamatwa na TAKUKURU kwa kugawa Rushwa

    DG, Ninapenda kukujulisha kwamba katika ufuatiliaji wa vitendo vya rushwa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020, leo TAKUKURU(M) Kigoma katika jimbo la uchaguzi la Buhigwe tumekamata Tsh. 210,000/= zilizokuwa zimeshagawiwa Tsh. 10,000/= kwa kila mjumbe kwa wajumbe 21 kutoka kata ya Mnanila jimboni humo...
  2. dosama

    JamiiForums Tanzania Naona kuna shida ya ajira au kupata fedha. Jimbo moja watia nia zaidi ya 500. Au siasa imekuwa ya yeyote anayeweza?

    1. Magufuli alisema kazi ya urais ni kazi ngumu sana anatamani aondoke hata leo, lakini bado kachukua fomu ya kuomba kuongoza dola (sio fomu ya kuomba nafasi ya chama kuwa mgombea). Na tena fomu ilikuwa moja tu. 2. Naona wakuu wa mikoa, wilaya, DED na wateule karibia wote wanataka kuwa wabunge...
  3. mgt software

    JamiiForums Tanzania Kuchelewa kurudi kwa Tundu Lisu kunaweza kumponza, wenye Tamaa za fedha washaanza vikao vya Siri kumweka Membe

    Wana Jf, Kwa uhalisia wa sasa upepo unapoelekea mtia nia ya urais Membe ashaanza vikao vya siri tangu Jana alipoamua kujivua uanachama. Kuna fununu kuwa anakutana na viongozi wakuu kukubaliana nini kifanyike ili aweze kujiunga na chama ili atimize dhamila yake. Kiukweli membe ni mkamilifu...
  4. J

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU: CHADEMA badala ya kulalamika wanapaswa kusoma sheria, mwisho wa uchunguzi waweza kuwa mwanzo wa uchunguzi mwingine

    Mkurugenzi mkuu wa Takukuru amewajibu Chadema kwa kuwataka wakasome vizuri sheria ya kupambana na rushwa kabla ya kulalamika. Mkurugenzi amesema taasisi yake inafanya kazi zake kwa mujibu wa sheria na anaamini Chadema wakisoma sheria hawatalalamika tena kwani watajua utaratibu wa uchunguzi...
  5. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Vijana tutafute fedha kwa kila hali. Mtu mzima ukiwa maskini Jamii inakuona umerukwa na akili

    Fedha ndio habari ya mjini, vijana tutafute fedha kwa kila hali. Hata kuzamia machimbo, kufanya kazi kwa juhudi au hata kwa kujilipua kwenda ng'ambo. Imagine Diamond ile sura yake na kamwili kake kadogo lakini anaitwa baby. Aliwahi kusema kuwa kwa siku anatongozwa mara dufu. Kijana tafuta hela...
  6. mnyalilungulu

    JamiiForums Tanzania Shirika la Fedha Duniani (IMF) laahidi kuipatia Tanzania fedha itakayoihitaji

    Mkurugenzi Mkazi wa IMF Tanzania, Jens Reinke akiongea na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba Kabudi leo katika ofisi ndogo za wizara jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi Mkazi wa IMF nchini Tanzania, Jens Reinke ameyasema hayo wakati alipokutana na kufanya...
  7. Nyendo

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU yamrejeshea mstaafu mamilioni aliyodhulumiwa

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Dodoma imemrejeshea Bi. Frida Nahamani (62) mkazi wa Michese Jijini Dodoma kiasi cha shilingi milioni kumi (10,000,000) alizodhulumiwa na Bwana Maswe Wambura Mgaya ambaye ni mmiliki wa Taasisi ya SWAHILI TRUST MICROFINANCE ya Jijini...
  8. mkiluvya

    JamiiForums Tanzania Taasisi za fedha za kimataifa zaombwa kuzifutia Madeni nchi za Afrika kupambana na athari zilizotokana na janga la COVID19

    Serikali ya Tanzania imeendelea kuziomba taasisi za fedha za kimataifa pamoja na nchi za Jumuiya ya Madola kufikiria kufuta kabisa madeni yaliyokopeshwa kwa nchi zinazoendelea ili fedha hizo ziweze kutumika kupambana na athari zilizotokana na Covid - 19. Ombi hilo limetolewa na Waziri wa Mambo...
  9. Mindi

    JamiiForums Tanzania Magufuli aliahidi kuboresha mafao ya Wafanyakazi. Badala yake kavuruga maslahi yao, na ametumia fedha za mafao yao kujipaisha zaidi

    Moja ya simulizi za kusikitisha katika utawala wa awamu ya Tano, ni kisa cha wafanyakazi wa Tanzania. Zipo kada nyingi zilizoumizwa sana na utawala huu, mojawapo nyingine ni wakulima. Hawa wote wametumika kama nyenzo tu ya kufanikisha miradi ya awamu hii, huku wao wenyewe na familia zao...
  10. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania GE2020 Songwe: TAKUKURU inamshikilia Mjumbe wa Baraza la UWT Taifa kwa kugawa rushwa ili achaguliwe kuwa Mbunge wa Viti Maalum

    Takukuru Mkoa wa Songwe inamshikilia Mjumbe wa Baraza la UWT Taifa toka Mkoani Songwe Neema Ndabila kwa kukutwa akigawa Rushwa kwa wajumbe wa UWT wa Wilaya ya Songwe kwa lengo la kumuunga mkono ili aweze kuchaguliwa kuwa Mbunge wa Viti maalumu. Kamanda wa Takukuru Mkoa wa Songwe DAMAS SUTA...
  11. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Namba 6: Dokta Salhina Amour Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Zanzibar ajitupa ulingoni kuwania Urais

    Katibu Mkuu Wizara ya Fedha katika serikali ya Mapinduzi Zanzibar Dokta Salhina Amour amefika katika ofisi za chama cha Mapinduzi (CCM) Kisiwandui mjini unguja na kuchukua fomu kwa lengo la kuwania nafasi hiyo. Hii ni mara ya pili kwa Dokta.Salhina Amour ambaye pia amewahi kuwa katibu mkuu...
  12. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Hongera kwa Wabunge na Viongozi wa Upinzani waliogoma kuuza utu wao

    Najua mmepitia mengi magumu, mmenyanyaswa, mmefungwa, mmeumizwa lakini hatimae miaka mitano ya mateso ya kusimamia na kuitetea haki inafikia mwisho. Hongera sana sana. MUNGU atawalipa. Mnaingia kwenye kipindi kingine kigumu zaidi, this time watatumia Tume, Polisi na hata Green Guards, kuweni...
  13. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu aanza kusaka fedha za kuwezesha mchakato

    Ndugu na marafiki zangu mnaoniunga mkono kwenye safari hii ndefu na ngumu. Kazi hii inahitaji mikono na nguvu ya kila mmoja wenu. Hivyo nawaomba mnisaidie kwa kila mmoja kwa nafasi yake. Tafadhali tuma mchango wako kwenye namba zilizowekwa kwenye tangazo hili tu. Nawashukuru sana-Tundu Lissu on...
  14. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya marekebisho ya kodi, Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2020/2021

    Baadhi ya marekebisho ya kodi KODI YA KIPATO (PAYE) Wanaopata chini ya tsh 270,000 kwa mwezi kutokakatwa kodi ya mapato. Watu wa kipato cha Zaidi ya 270,000 kwa mwezi lakini ni chini ya 520,000 watalipa kodi 9% KODI YA ZUIO KWA HUDUMA ZA MTANDAO Bajeti imeweka kodi ya zuio ya 10% kwa mawakala...
  15. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Kwenye utawala bora, Ulinzi na Usalama Serikali haijaonyesha fedha zilizokusanya kwa waliosamehewa kwa makosa ya Uhujimu uchumi...

    Kwenye utawala bora, Ulinzi na Usalama Serikali haijaonyesha fedha zilizokusanya kwa waliosamehewa kwa makosa ya Uhujimu uchumi... Inawezekana pesa zile zimekuwa za mtu binadsi sio mali ya umma. Kwenye mapato ya serikali hazipo
  16. L

    JamiiForums Tanzania Msaada tunaomba Mhe. Paul Makonda atusaidie, Kampuni ya Jog imechukua fedha za wawekezaji

    Ndugu zangu, Naamini hapa jamvini watu wa aina mbalimbali na nyeti wanasoma jumbe hizi. Kampuni ya Jog Agri-Consult & Solutiions (T) Ltd chini ya wakurugenzi wake Grace Mzoo (Mkurugenzi Mtendaji) pamoja na Jackson Bwire pamoja na Mhasibu wao Cecilia Bukukura imechukua pesa za wawekezaji wa...
  17. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Fedha ya Serikali inavyopigwa na Halmashauri kupitia Waalimu

    Pamoja na fedha ya Serikali kuwekewa Ulinzi mzito kwenye awamu hii ya tano lakini bado wapo wajanja wanaendelea na upigaji tena kiulaini. Ipo hivi, huu mchezo unapigwa Halmashauri za Wilaya/Manispaa. Wakitaka kupiga hela wataanza kutoa Taarifa kwa wafanyakazi katika Wilaya husika kwamba...
  18. Mystery

    JamiiForums Tanzania Hivi Rais Magufuli kumuagiza Waziri wa Fedha atoe pesa shilingi bilioni mbili toka Hazina ni sahihi?

    Wananchi wote tumemsikia Rais Magufuli akimuagiza waziri wa Fedha, Dkt Philipo Mpango "achote" pesa kiasi cha shilingi bilioni mbili kwenye Hazina ya Taifa, ndani ya saa 24 na awaletee wakandarasi ili zikamilishe ujenzi wa Ikulu wa Chamwino na akaendelea kumpiga mkwara mzito waziri huyo kuwa ole...
  19. A

    JamiiForums Tanzania Ma-celebrities wengi wana maisha magumu sana, pamoja na kwamba wana umaarufu na fedha nyingi

    Hii ina include waigizaji filamu wakubwa maarufu na wanamuziki wenye utajiri na umaarufu mkubwa Nasikia Wanapewa masharti magumu ya kichawi, ili waweze kupata na ku-maintain utajiri na umaarufu wao, na hii ni kwasababu fedha na umaarufu wao vinatoka kwa shetani, wengi wanapewa masharti kila...
  20. AUGUSTINO CHIWINGA

    JamiiForums Tanzania Wanaojenga hoja kuhusu Matumizi ya ruzuku kwenye vyama vya siasa wasikilizwe, ni fedha za walipa kodi lazima wajue zinavyotumika

    Nimekua nafuatilia mijadala mbalimbali inayohusu matumizi ya fedha za ruzuku kwenye vyama vya siasa. Wapo wanaosema kwamba fedha hizo ni jukumu la chama husika kupanga bajeti ya matumizi na haipaswa mtu mwingine kuhoji wala kujua matumizi yake, na lipo kundi la pili linalosema kwamba...
Back
Top Bottom