fedha

  1. J

    JamiiForums Tanzania Nimeipitia katiba ya CHADEMA hakuna namna Mwenyekiti anavyoweza kugusa fedha ya chama bila baraka za kamati kuu

    Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Nimeichambua taratibu katiba ya Chadema ibara kwa ibara na nimejiridhisha hakuna pahala panapotoa fursa Mwenyekiti wa chama kujihusisha directly na fedha za chama. Katiba inatoa fursa ya Mwenyekiti kuongoza vikao vitakavyoamua fedha za chama zitumikeje...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Fedha wa kampuni ya Huawei sasa kushitakiwa Marekani

    Mwaka 2018 Marekani kwa kushirikiana na Canada walimkamata mkurugenzi wa fedha wa Huawei alipokua anabadilisha ndege kwenda nchi moja wapo ya Marekani ya kusini. Tokea kipindi hicho mkurugenzi huyo yuko chini ya ulinzi nchini Canada akipigania haki yake ya kutokuhamishiwa marekani akashitakiwe...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Fatuma Karume: Matumizi ya fedha mabaya ni rushwa?

    fatuma Karume ameuliza je Matumizi ya mabaya ya fedha ni RUSHWA? Au ni kazi ya CAG? Waseme kuna KESI YA RUSHWA. Wasituambie matumizi MABAYA maana hata Serikalini, CAG kabaini kuna MATUMIZI MABAYA ya fedha, lakini haina maana ni RUSHWA chini ya SHERIA ya RUSHWA!!! Mamlaka ya PCCB ni kwa makosa...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Bunge lataka Serikali imchukulie hatua Dkt. Kigwangalla kwa matumizi mabaya ya fedha alizowagawia wasanii

    Wabunge wameitaka Serikali kutofumbia macho ubadhirifu wa fedha uliofanywa na Wizara ya Maliasili na Utalii ukiwatumia baadhi ya wasanii wa hapa nchini. Wakijadili ripoti ya CAG wabunge hao wakiongozwa na mbunge wa Nachingwea wamesema ifike wakati Serikali iwathibitishie wananchi kuwa ni kweli...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Msaada mwenye kujua fedha zilizoisha muda zinapatikana wapi

    Nimekuwa nikipita maeneo kadhaa ya Dar na kuona fedha za Tanzania ambazo kwa sasa hazitumiki zikiuzwa. Na nimejaribu kuwauliza wanakozipata hawanipe majibu stahiki. Sasa nimekuja kwenu wana jf mnipe taarifa wapi zinakopatikana
  6. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yawataka wanaosema kuna matumizi mabaya ya fedha kwenye chama waweke ushahidi hadharani

     CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimewataka wabunge wenye ushahidi juu ya tuhuma za matumizi mabaya ya fedha, kuuweka hadharani. Kauli hiyo ya Chadema imetolewa jana Jumamosi tarehe 23 Mei 2020, na Benson Kigaila, Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho Bara, kufuatia wimbi la wabunge...
  7. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Hivi hawa Azam TV, Startimes, Zuku na DSTV huwa wanalipa kiasi gani cha fedha kwa filamu moja ya kibongo?

    Yoyote anayefahamu Azam TV, Startimes, Zuku na DSTV huwa wanalipa kiasi gani cha fedha kwa filamu moja ya kibongo anifahamishe..
  8. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Wanaosema fedha isikupe kiburi hawajui nini maana ya kutafuta fedha

    Wanaosema fedha isikupe kiburi hawajui ni nini maana ya kutafuta fedha , mtu umesota kwa jua na mvua alafu linatokea jitu linakuletea pua yake kutaka kitonga linakwambia braza au sista nipige tafu ya msimbazi wakati kipindi unazisaka walikuwa hawakutambui. Unamwambia hapo hapo hamna kumpepesea...
  9. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Marekani kuanza kusitisha ufadhili wa fedha kwa WHO ndani ya siku 30 zijazo

    Rais wa Marekani Donald Trump ambaye anakabiliwa na uchaguzi mkuu mwaka huu ambaye amekosolewa jinsi anavyotatua ugonjwa huo nchini Marekani , amelaumu China kwa kujaribu kuziba mlipuko huo na kuilaumu WHO kwa kushindwa kuiwajibisha China. Rais wa Marekani, Donald Trump ametangaza kwamba...
  10. CalvinKimaro

    JamiiForums Tanzania Aina ya wabunge ambao si vyema wakapoteza fedha kugombea tena

    1. Uliishi nje ya jimbo haswa Dar. Aidha huna makazi ya kueleweka jimboni au hutumii ofisi ya mbunge jimboni. Unakuja "ziara" jimboni kama mtalii. 2. Uliongelea zao lisilolimwa jimboni mwako. Mfano jimboni wanalima michikichi wewe ukaongelea Korosho. Nchi yetu kilimo ndio mwajiri mkuu...
  11. Guus

    JamiiForums Tanzania Fedha "za ndani" zinazojenga miradi ni hizi hizi Bil. 700?

    Wakuu habarini, Nipo najiuliza maswali mawili matatu, lakini sioni kama halmashauri ya ubongo inanipa majibu ya kueleweka. Naona ni heri niweke hapa jukwaani naweza kupata machache ya kuniongoza kupata majibu. Ni kuwa: nilikuwa nafuatilia ripoti ya kamati ya wizara ya fedha bungeni. Katika...
  12. Influenza

    JamiiForums Tanzania Baada ya TAKUKURU kusema itawahoji TFF kuhusu Bilioni 1 ya AFCON ya vijana iliyotolewa na Rais Magufuli, TFF yasema haijawahi kupokea fedha hizo

    Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetolea ufafanuzi kuhus Tsh. Bilioni 1 zilizotolewa na Rais Magufuli kwa ajili ya fainali za AFCON kwa Vijana chini ya umri wa miaka 17 zilizofanyika mwaka 2019 Katibu Mkuu wa TFF, Kidai Wilfred amesema fedha hizo hazikuingia kwenye akaunti za fedha...
  13. Influenza

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Athari za CoronaVirus: Wachungaji katika Kaunti ya Taita Taveta walia kukosa fedha za Waumini

    Baadhi ya Wachungaji wa Makanisa kutoka katika Kaunti ya Taita Taveta wamelalamika maisha yao kuzorota baada ya kukosa sadaka na fungu la 10 kutoka kwa Waumuni kufuatia kufungwa kwa Makanisa ikiwa ni njia ya kuzuia kuenea kwa ugonjwa huo Mmoja wa Wachungaji hao amsema, “Hili janga la #Corona...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Uhaba wa sukari: Zitto akituhumu chama fulani kuwa kinafaidika na uhaba huo kwa kupata fedha za kampeni

    Akiandika kupitia mtandao, Zitto amedai uhaba wa sukari hutokea kila mwaka wa uchaguzi huku uhaba huo ukiwa ni wa kutengeneza ili kuwawezesha wafanyabiashara,wafanyabiashara ambao hawakuwataja, wapewe vibali vya kuagiza sukari na sehemu ya mabilioni yatakayopatikana kupitia uagizaji huo hupewa...
  15. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Huu ndio wakati wa kupata fedha na kuinuka kiuchumi kwa baadhi ya watu

    Wakati huu fedha inapotea, mahitaji(vitu) mengi yanaadimika na yatazidi kuadimika. Ukijua kuzichezesha vizuri karata zako wakati huu unatoka fasta kimsisha. Huu wakati ni wa kutoka kimaisha ingawa huu ndio wakati ambao wengi wataumia sana.
  16. w0rM

    JamiiForums Tanzania Wanachuo wa St. Joseph (Boko) walalamikia kufelishwa wakidai Chuo kilichukua Wanafunzi wengi kuliko inavyotakiwa ili kujipatia fedha

    Wanafunzi wa Chuo cha St. Joseph Tawi la Boko linalotoa elimu ya Afya, wamedai kufelishwa na Uongozi wa Chuo hicho na kuambiwa hawawezi kurudi Chuoni hapo na kama wanataka kurudi basi warudie mwaka Wanadai walifanya mtihani wa UE wakiwa takriban Wanafunzi 200 lakini Wanafunzi waliopitishwa ni...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Baraza la Wawakilishi Zanzibar latoa fedha zote zilizobakia kabla halijavunjwa kutengeneza Barakoa na kuwagawia wananchi

    Baraza la wawakilishi Zanzibar ambalo liko kwenye mkutano wao wa mwisho kabla halijavunjwa rasmi limeamua fedha zote zilizobaki kwenye akaunti zitumike kutengeneza Barakoa ambazo zitagawiwa bure kwa wananchi. Fedha hizo atakabidhiwa makamu wa Rais balozi Seif ili azikabidhi kwa vikosi vya...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Siasa za Corona naziogopa lakini fedha nazitaka

    Kwangu hata kama nipo CCM lakini naona bado Mbowe na wale wabunge wenye msimamo wa CHADEMA wana hoja. Tena wana hoja yenye maana kubwa tu - kumbuka hata baadhi ya viongozi wa dini wanawapiga nyundo. Kwa waliosoma Kitabu cha "An Enemy of the People" najua wanajua naeleza nini. Kwenye conclusion...
  19. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Tatizo sio mwanamke kupenda pesa, tatizo ni kukuomba hela huku huna hizo hela.

    Oh! Mara yule mwanamke anapenda sana Pesa, mara anatamaa sana. Mara anazingua nampiga chini! Tatizo sio kukuomba fedha, tatizo ni kwamba anakuomba fedha huku wewe huna? Nje ya mada : Dada poa mmoja Alisikika akisema " tarehe za mshahara biashara inakuwa nzuri sana.
  20. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kwanini IMF na Benki ya Dunia wameitenga Tanzania katika mgao wa fedha za Corona? Au ule utani kwamba sisi matajiri, wao wametuibia, uliwachukiza?

    Nashangaa,nchi zote zinazopakana na sisi zimepewa msaada wa haraka na benki ya dunia,IMF,na kuweka kidonda chumvi. Trump kaongea na marais wa nchi tunazopakana nazo na kuahidi misaada kedekede. Je ule utani wa kuwaita mabeberu wao walijua tunawachukia?sisi watanzania ni watu wa utani...
Back
Top Bottom