Mkurugenzi wa Fedha wa kampuni ya Huawei sasa kushitakiwa Marekani

The Evil Genius

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
5,421
17,018
Mwaka 2018 Marekani kwa kushirikiana na Canada walimkamata mkurugenzi wa fedha wa Huawei alipokua anabadilisha ndege kwenda nchi moja wapo ya Marekani ya kusini.

Tokea kipindi hicho mkurugenzi huyo yuko chini ya ulinzi nchini Canada akipigania haki yake ya kutokuhamishiwa marekani akashitakiwe kule

Marekani inamtuhumu kushiriki udanganyifu, ughushi wa nyaraka, kukiuka vikwazo vya Marekani na kudanganya kuhusu kampuni tanzu za Huawei ambazo zilishiriki kuvunja au kukiuka vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran na akashiriki kuzidanganya baadhi ya taasisi ya kifedha za Marekani kupitia kampuni yake tanzu ya Skycom ambayo Huawei walidai ni independent business partner na sio subsidiary company wakati kiukweli ilikua ni subsidiary company na Meng alikua board member

Mkurugenzi huyo wa fedha ni binti wa muanzilishi na mmiliki wa Huawei. Mmiliki wa Huawei pia anataftwa Marekani ashitakiwe.

Marekani inasema baada ya kugundua anachunguzwa kuhusu udanganyifu wake alisitisha safari zake zote na Marekani na akawa hakanyagi Marekani.

Sasa Marekani imeshinda kei ya kumhamishia New York kutoka Canada. Huko akipatikana na hatia anaweza kwenda jela miaka isiyopungua 30 au zaidi maana ana mashitaka 25 na kuna mengine kila moja miaka 20.

======

A Canadian court ruled on Wednesday extradition proceedings against Meng Wanzhou, a senior Huawei executive, can proceed.

According to Justice Heather Holmes of the British Columbia Supreme Court, the fraud charges against Meng satisfied the extradition requirement of "double criminality," meaning Meng is accused of the considered crime in Canada as well.

Meng's lawyers have said they will continue to fight the extradition application.

The second phase of the hearing will start in June to examine whether Canadian officials broke the law while arresting Meng. Closing arguments are scheduled in late September or early October.

The U.S. is accusing Meng of fraud linked to the alleged violation of U.S. sanctions against Iran and want her to face trial in New York.

Both Meng, 48, and Huawei have repeatedly denied any wrongdoing
Huawei said in a statement that it was disappointed by the ruling.

"We have always believed that Ms. Meng is innocent, and we will continue to support Ms. Meng in seeking a fair judgment and freedom," the statement said. "We expect that Canada's judicial system will ultimately prove Ms. Meng's innocence."

Meng Wanzhou, Huawei's chief financial officer and the daughter of the company's founder Ren Zhengfei, was arrested by Canadian police on December 1, 2018, at Vancouver International Airport.

On December 11, 2018, she was released on bail by a British Columbian court. Since then, she has worn a GPS ankle bracelet and has been subject to 24-hour supervision by a private security firm at her Vancouver home with her husband.

Her arrest has caused tension between China and Canada, with China slamming the arrest as a political case.

The spokesperson of the Chinese Embassy in Canada published remarks on Twitter expressing China's firm opposition to the decision, saying the whole case is "entirely a grave political incident."

The tweet said the U.S. and Canada had abused their bilateral extradition treaty and their actions had gravely violated the lawful rights of Meng.

"The purpose of the United States is to bring down Huawei and other Chinese high-tech companies, and Canada has been acting in the process as an accomplice of the United States," the spokesperson commented.

The Chinese government is firmly resolved to protect the legitimate and lawful rights and interests of Chinese citizens and companies, the spokesperson wrote, while again urging Canada to take China's solemn position and concerns seriously, and immediately release Meng to allow her safe return to China. Canada should not "go further down the wrong path," the statement ended.

Huawei's Meng Wanzhou loses Canadian court battle
 
Marekani ajue kuwa sasaivi dunia imebadilika sana, anachofanya chochote kinajibiwa haraka sana
Nani wa kumjibu Marekani?

Acheni hadith za kitoto.

Marekani anayo nguvu ya kumuwekea mtu yoyote au taifa lolote vikwazo hapa Duniani. Hakuna taifa linafanya hivyo hapa Duniani nje ya Marekani.

Hizi maneno sijui marekani anaenda kuanguka haijaanza kusemwa leo. Na yanasemaa na watu wenye upeo mdogo wa kufikiri.
 
Sasa Canada wanajipalia makaa,,mpaka Sasa China inashikilia raia watatu wa Canada na wale hawaachiwi mpaka huyo mateka arudi China,
Wachina hawana presha,,watawashikilia hata kwa miaka 30 ikibidi
Canada alisha calculate akaona madhara ya kuwashikilia hao raia na madhara ya kumshikiria huyo mama wapi anapoteza na wapi anapata.

Tayari huyo mama ameshaonekana alitenda kosa hilo kwa nchi ya canada pia(double criminality).

Hapo loser ni huawei na china na sio Canada wala Marekani.
 
Labda Nchi yako ndio haiwezi kumjibu, vipi zile meli 5 za mafuta za Iran amezikamata kama alivyoahidi? Vipi kuhusu kujibu shambulizi la kambi zake zilipogeuzwa kifusi je aliwajibu tena kama alivyoahidi, hio inaonyesha jinsi gani now anaogopa kujibiwa coz wajibuji wapo, anachofanya nowadays anapata jibu kali
Nani wa kumjibu Marekani?

Acheni hadith za kitoto.

Marekani anayo nguvu ya kumuwekea mtu yoyote au taifa lolote vikwazo hapa Duniani. Hakuna taifa linafanya hivyo hapa Duniani nje ya Marekani.

Hizi maneno sijui marekani anaenda kuanguka haijaanza kusemwa leo. Na yanasemaa na watu wenye upeo mdogo wa kufikiri.
 
Canada alisha calculate akaona madhara ya kuwashikilia hao raia na madhara ya kumshikiria huyo mama wapi anapoteza na wapi anapata.

Tayari huyo mama ameshaonekana alitenda kosa hilo kwa nchi ya canada pia(double criminality).

Hapo loser ni huawei na china na sio Canada wala Marekani.
Ukiangalia wazungu wanavyojali raia zao,Sasa fikilia wale wcommunist wawashikilie wacanada kwa miaka 30,itakuaje,,
Kwa mchina,yule mama Ni number tu,Tena washasahau
 
Ukiangalia wazungu wanavyojali raia zao,Sasa fikilia wale wcommunist wawashikilie wacanada kwa miaka 30,itakuaje,,
Kwa mchina,yule mama Ni number tu,Tena washasahau
Hapo nimekusoma mkuu ni kwamba ni nani ataumia zaidi, sipati picha huko kwenye u-communist
 
Hapo nimekusoma mkuu ni kwamba ni nani ataumia zaidi, sipati picha huko kwenye u-communist
Yaani Ni shida, wacanada watapata shida,kesi za kuundiwa nazo Sasa,Mara umepatikana na simcard tatu,,,Mara umesafirisha magendo,hujakaa sawa unaambiwa umekula rushwa,,,yaani Ni tabu...
 
Sasa Canada wanajipalia makaa,,mpaka Sasa China inashikilia raia watatu wa Canada na wale hawaachiwi mpaka huyo mateka arudi China,
Wachina hawana presha,,watawashikilia hata kwa miaka 30 ikibidi
Hao Raia 3 China inaowashikilia wana hadhi kubwa zaidi kuliko huyo Mwanamama?
 
Hao Raia 3 China inaowashikilia wana hadhi kubwa zaidi kuliko huyo Mwanamama?
Screenshot_20200528-140904.png
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom