Ma-celebrities wengi wana maisha magumu sana, pamoja na kwamba wana umaarufu na fedha nyingi

AlphaMale

JF-Expert Member
Oct 26, 2019
613
1,400
Hii ina include waigizaji filamu wakubwa maarufu na wanamuziki wenye utajiri na umaarufu mkubwa

Nasikia Wanapewa masharti magumu ya kichawi, ili waweze kupata na ku-maintain utajiri na umaarufu wao, na hii ni kwasababu fedha na umaarufu wao vinatoka kwa shetani, wengi wanapewa masharti kila baada ya mda flani watoe kafara flani, wanamziki wengine wa kiume wanashikishwa ukuta ili nyimbo za kwenye album zao zi-hit, ili wapate fedha na umaarufu.

Leo utakuta wanapewa sharti hili kesho wanapewa sharti lile, na ukikosea masharti cha moto utakiona, wengine wanapewa sharti la kula mavi ya watu na kula vitu vingine vibaya, kutoa kafara mashabiki zao, kunyimwa kula chakula ukipendacho etc, ukikosea masharti bhas adhabu Kali au kifo ndo kinachokusubiri. Nasikia huwez ukaimba nyimbo ya kidunia ika-hit hivi hivi hata kama una kipaji cha utunzi na sauti nzuri, lazma kafara ya damu ihusike.

Waswahili walisema lisemwalo lipo kama halipo laja, sijawahi kuyashuhudia kwa macho hayo nliosema hapo juu ila nlisikia watu wengi wakisema

Mwenye details nyingine aje aongezee nyama humu
 
kama ni hivyo tungetake over masuala ya burudani Afrika na hata dunia kiujumla..
think twice,be smart next time...simply
 
Jamaa akili ndogo sana huyu!!
Yaani hii yote ni mtu maskini kujaribu kuuhalalisha umaskini wake kwa kuwaponda watu waliofanikiwa!!!!
 
Hii ina include waigizaji filamu wakubwa maarufu na wanamuziki wenye utajiri na umaarufu mkubwa

Nasikia Wanapewa masharti magumu ya kichawi, ili waweze kupata na ku-maintain utajiri na umaarufu wao, na hii ni kwasababu fedha na umaarufu wao vinatoka kwa shetani, wengi wanapewa masharti kila baada ya mda flani watoe kafara flani, wanamziki wengine wa kiume wanashikishwa ukuta ili nyimbo za kwenye album zao zi-hit, ili wapate fedha na umaarufu.

Leo utakuta wanapewa sharti hili kesho wanapewa sharti lile, na ukikosea masharti cha moto utakiona, wengine wanapewa sharti la kula mavi ya watu na kula vitu vingine vibaya, kutoa kafara mashabiki zao, kunyimwa kula chakula ukipendacho etc, ukikosea masharti bhas adhabu Kali au kifo ndo kinachokusubiri. Nasikia huwez ukaimba nyimbo ya kidunia ika-hit hivi hivi hata kama una kipaji cha utunzi na sauti nzuri, lazma kafara ya damu ihusike.

Waswahili walisema lisemwalo lipo kama halipo laja, sijawahi kuyashuhudia kwa macho hayo nliosema hapo juu ila nlisikia watu wengi wakisema

Mwenye details nyingine aje aongezee nyama humu
Endelea kusikia....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiwa na mawazo ya kimaskini utawachukuia wenye utajiri na kuwazushia kila lililo baya ili uwachafue, lakini bado umaskini wako hautaondoka.
kinachotakiwa ni kujifunza kutoka kwao kisha uongeze bidii ya kazi na kuwa na nidhamu ya fedha na muda.

Kumbuka kuwa UJINGA HAUONDOKI KWA KUMCHUKIA MWENYE ELIMU NA UMASKINI HAUONDOKI KWA KUMCHUKIA TAJIRI.
 
Somo zuri Sana uliompa nenda hapo kwa mangi kanunue Pepsi max nitakuja kulipa
 
Naona wengi wamemwandama sana mtoa mada kwamba ana vinasaba vya umaskini , daah wabongo mna maneno...
Ukweli ni kuwa juhudi , bidii, malengo na maarifa zina sehemu yake katika mafanikio , ila kuna level flani ya maisha na mafanikio ni ngumu kuifikia na kuimantain bila extra power ( either God or Satan) no neutral ,

Wala asikudanganye mtu yeyte , achana na wanavyuo waliojaa humu walio blind minded na motivation speaker ,pamoja na waajiriwa ambao hawajui hustling za mtaa, almost they know nothing ,......ila waajiri wao ndo wanacheza hii sindimba , jiulize why JPM frequently anaenda Chato , kaulizie kule Chato huwa anaenda wap midnight watakueleza , but walioajiriwa na serikali hawajui jamaa anayoyapitia ili kuhakikisha anawalipa mshahara ...nouma sana

Mtoa mada maswali yako pitia huu uzi hapa chini , utapata majibu , no secret under the sun

Wazee wa ndago tukutane hapa!
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom