fedha

  1. Afisa Mteule Drj 2

    JamiiForums Tanzania Huduma za fedha za mitandao ya simu zinakwaza sana

    Hizi huduma ni za muhimu sana ila mara nyingine zinaweza kukusababishia usumbufu ambao unaweza kujutia kuzitumia Mara kwa mara nimekuwa nikituma hela kutoka Airtel kwenda TTCL. Kama mara 3 hivi kwa siku tofauti baada ya kutuma pesa unaletewa meseji na Airtel kwamba hela imeenda na unaona kabisa...
  2. goroko77

    JamiiForums Tanzania Mwambieni CAG, sisi tumeridhika kwa kuwa tumezoea kuibiwa

    Sasa najiuliza ikiwa ripoti ya CAG imeonesha madudu je, ni jinsi gani sasa kama taifa tumeingiaje uchumi wa Kati? Ikiwa tumeibiwa Sana namna hii. Kuna bandiko linatembea nazani ni kutoka timu Sukuma Gang kujibu tuhuma za Msoga gang. ===== MWAMBIENI CAG, SISI TUMERIDHIKA! 1. Mwambieni CAG...
  3. MPUNGA MMOJA

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: MSD haina mtaji wa kununua dawa na mtaji wa MSD ni bilioni 500, sawa na fedha ilionunua ndege moja

    Akichambua ripoti ya CAG, Zitto amesema taarifa ya CAG imeibaini MSD inaidai Serikali zaidi ya sh bilioni 300 na MSD ili ijiendeshe inahitaji sh bilioni 500 fedha ambayo inalingana na gharama ilotumika kununua ndege moja.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli hakupata muda wakukabidhi nchi, je hakuna watu wamekalia fedha na rasilimali zetu?

    Tumezoe kwenye familia tukiulizwa anayedaiwa na Marehemu ajitokeze, anamdai Marehemu ajitokeze. Kauli hii inaungwa mkono na kampeni yakuandika husia. Husia serikalini nikukabidhi Mali na dhamana uliyopewa kwa mrithi wako. Ni bahati mbaya kwamba Mzee wetu JPM alitwaliwa katika ulimwengu huu bila...
  5. Kasomi

    JamiiForums Tanzania CAG Acha kitete sema ukweli

    Wakuu habari zenu mimi ni mtoto wenu Emmanuel Kasomi leo hii nataka kuongea na CAG aache kitete, asiogope na Afunge. Ukifuatilia report za CAG anazo toa kuna sehemu anazilinda. Kwa wanao fuatia report za CAG amelaani sehemu nyingi kua zilijiendesha kwa Hasara. Swali kwa CAG Je, katika report...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Chini ya utawala wa Magufuli, Taifa limepata hasara ya mabilioni na pia upotevu mkubwa wa fedha uliozua utata

    Hasara na upotevu huu unaotokana na taarifa za CAG ambapo wanasiasa waliochambua report ya CAG aliepita,Prof. Assad, waliibua utata wa matumizi ya shilling ya shilling trilioni 1.5 na hii ya hivi karibuni inatueleza hasara ya billion 150 katika uendeshaji wa ATCL. Hasara na upotevu huu...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha na Waziri wa Ujenzi, msijisahaulishe kuweka ahadi ya barabara za jimbo la Kibamba aliyotoa JPM (RIP) wakati akizindua stand ya mbezi

    Kwa kuwa kila anayesimama anasema tutamuenzi kiongozi wetu Hayati JPM, basi waziri wa ujenzi na yule wa fedha msije kusahau kuwa kabla ya umauti kumkuta mzee wetu alikuwa ameagiza TANROAD kuanza kushughulika na barabara za jimbo la Kibamba kwa maana ni jimbo pekee ndani ya Dar ambalo lina chini...
  8. S

    JamiiForums Tanzania TCRA itupieni macho kampuni ya Vodacom kwa kukata fedha za wateja kwa madai mteja kajiunga na huduma fulani wakati si kweli

    TCRA, nawaomba muichunguze kampuni ya simu za mikononi ya Vodacom kwa kukata fedha unaponunua muda wa maongezi kwa hoja kuwa mteja uliomba/ulijiunga na huduma fulani ambayo hutakiwa kulipia kwa kukatwa fedha mara tu unaponunua muda wa maongezi. Mimi binafai ni mhanga wa hili jambo kwani...
  9. F

    JamiiForums Tanzania CAG asikague mahesabu tu, bali adhibiti mapato na matumizi ya fedha za serikali pia

    CAG ni mkaguzi na mdhibiti mkuu wa hesabu za serilali lakini mara nyingi inaonekane GAC anakagua mahesabu ya serikali, lakini hafanyi udhibiti wa matumizi ya fedha za serikali. Kazi ya CAG inapaswa pia kudhibiti jinsi fedha za serikali zinavyotumika, la sivyo naona hatutaondokana na haya...
  10. Informer

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG: Ubadhirifu wa Fedha wa Shilingi Bilioni 3.93 katika Mamlaka ya Bandari Tanzania

  11. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Rais Samia mteue Mwanamama Dr. Frannie Léautier kuwa mshauri wako au mpe nafasi yoyote kubwa

    Kuna akina mama watanzania ambao ni vichwa na wanafanya maajabu kusaidia watanzania.MMojawapo ni huyu mama Dr. Frannie Léautier mwenyeji wa Lushoto na Karibuni alikuwa Makamu wa Raisi wa Benki ya Maendeleo ya Africaambako aliteuliwa tarehe 9 may 2016 Pia mekuwa MWENYEKITI wa Mkoba Private...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba atimba Bungeni na familia yake ya mke na watoto watano

    Waziri wa fedha Dkt. Mwigulu Nchemba amefika bungeni na mke wake pamoja na watoto wake watano. Mwigullu leo anawasilisha Mpango wa maendeleo wa taifa. Spika Ndugai amesema hao watoto watano ndio wale wanaojulikana kisheria kwani kimsingi idadi ya watoto wanaijua akina mama. Chanzo: TBC...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Endapo hatutokusanya kodi kwa wingi, tutapata wapi fedha za kuendeshea nchi?

    Endapo hatutokusanya kodi kwa wingi Je tutapata wapi fedha za kuendeshea nchi? Mfano naomba mnisaidie maswali haya: 1. Tutapata wapi fedha za kuwalipa wafanyakazi mishahara kila mwezi? 2. Tutapata wapi fedha za kuwakopesha wanafunzi wa vyuo vikuu mikopo ya elimu? 3. Tutapata wapi fedha za...
  14. J

    JamiiForums Tanzania TPA madudu matupu, PSSSF imefilisika, NSSF haina fedha, TASAC ubadhirifu mtupu sasa hawa CHADEMA wanapigana na Ufisadi gani?

    Chadema wamekuwa wakijinasibu kwamba wao ni wapambanaji wa ufisadi na rushwa na hawatakaa kimya hadi rushwa itokomezwe. Sasa jana nilishangaa kila DG mteule wa taasisi aliyesimamishwa na Rais Samia aliambiwa akamalize vitendo vya rushwa na wizi katika taasisi aliyoteuliwa kuiongoza. Yaani kote...
  15. Wernery G Kapinga

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya fedha inayokopesha wafanyakazi wa sekta binafsi

    Heri kwenu wadau. Napenda kujua kama kuna taasisi inayotoa mkopo kwa wafanyakazi wa sekta binafsi (Mf. Shule za private n.k), masharti yake na makorombwezo mengine. Naona sekta nyingi zinakopesha wafanyakazi walioserikalini tu, wakati hata sisi wa private maisha yetu yanahitaji mkopo pia...
  16. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Kwako Rais na mama yetu Samia Suluhu, usiwasahau vijana wa mafuta na gesi waliosomeshwa kwa fedha nyingi kupitia Wizara ya nishati

    Kwako Rais wetu na mama yetu, Hongera kwa kuendelea na majukumu yako ya kila siku ili kulisongesha taifa letu mbele. Mama yetu kuna hawa vijana waliosomea mafuta na gesi, waliosomeshwa katika chuo kikuu cha Dar es Salaam kupitia wizara ya nishati kwa fedha za serikali ili wasaidie taifa letu...
  17. comte

    JamiiForums Tanzania Kwenu nyie watoza kodi ; Rais Samia kawambia kilichosemwa mwaka 1776. Mnakwama wapi nyie TRA na wizara ya Fedha na Mipango?

    In The Wealth of Nations (1776), Adam Smith argued that taxation should follow the four principles of:- fairness-that taxation should be compatible with taxpayers' conditions, including their ability to pay in line with personal and family needs; certainty-meaning that taxpayers should be...
  18. W

    JamiiForums Tanzania Mswada/sheria ya tra kutoshikilia fedha za wafanyabiashara benki

    Nashauri kupelekwe mswada bungeni kuhusu hii sintofahamu ili wafanyabiashara wawe na imani na serikali yao. NGOJA NITOE SCENARIO: TRA imefanya uchunguzi wa mahesabu yangu na kugundua nililipa kodi pungufu miaka minne iliyopita, wananitoza faini na riba na kunipa notice ya mwezi mmoja...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Mwigulu hatodumu Wizara ya fedha, hana traits za kuimudu kazi yake

    Mataifa makubwa ikiwemo S. Africa kauli ya Waziri wa Fedha inaweza kuchangia positively or negatively kwenye uchumi. Waziri wa Fedha akizungumza Jambo watu hupima mapokeo kwa kuhojiana na Wafanyabiashara, wachumi na pia kuangalia trend ya soko la hisa la nchi husika. Nikimwangalia nakumsikiliza...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Combination ya Dr Kimei Waziri wa Fedha na Tarimba Abbas Waziri wa Viwanda na Biashara naikubali sana!

    Unajua dunia ya sasa inakwenda kasi sana ndio maana Tanzania japo tuna Bandari lakini wafanyabiashara wetu wanaenda kununua mzigo Uganda ambao unapita hapa hapa Dar es salaam. Unapokuwa na viongozi wenye elimu ya kutosha ya vitabuni lakini wanaoijua dunia katika uhalisia wake linakuwa jambo...
Back
Top Bottom