Spika wa bunge mh Ndugai amesema anakerwa sana na kitendo cha Serikali kuchukua fedha za halmashauri bila taarifa na kwenda kuzitumia huku miradi ikidorora.
Ndugai amesema haoni mantiki ya Serikali kuchukua fedha ambazo hazijatumika kila ifikapo June 10 bila kujali kwamba kuna miradi inakuwa...
Dk. Ayub Chacha Rioba, Mkrugenzi Mtendaji wa TBC
Kwa kuzingatia matakwa ya katiba ya Tanzania, swali hapo juu linatokana na bonde la ufa lililopo kati ya yale ninayoyaona, na yale ninayoyatarajia kuhusiana na uendeshaji wa TBC. Kwa hiyo, kwa kuzingatia mfumo wa hoja yenye muundo wa OPHETAR...
Afande sina cha kueleza, taarifa zinajitosheleza hapa chini!
Tukio la kusikitisha limetokea leo mchana maeneo ya Juliana Mbezi beach ambapo Jimson Kibiki amefariki baada ya kupigwa risasi.
Kutokana na vyanzo vya mashuhuda Jimson alivamiwa alipokuwa ametoka bank na kuporwa na majambazi kiasi...
Uongo mbaya, shuleni mtu unaweza fika Form Six au chuo lakini kupambana na maisha mtaani mtu wa darasa la saba akakuacha mbali kabisa.
Kama elimu haimfundishi mtu kupambana na maisha yake ina faida gani? Haiingii akilini mtu asome hadi form six miaka 13/14au hadi chuo miaka 16/17 halafu...
Serikali ya CCM kupitia Waziri wa Habari, Mhe. Bashungwa imewataka TFF kuwarudishia Wananchi fedha walizolipa kama kiingilio cha kushuhudia mechi ya Simba na Yanga.
ANASA ZIMERUDI?
Bashir Yakub.
Ukumbi wa Mlimani City ukitengwa kwa watu 900 gharama ni Tshs 36,000,000/= bila chakula na vinywaji.
Gharama ya dawati moja zuri ni Tshs 80,000/=. Kwa Tshs. 36,000,000/= tunapata dawati 450,000.
Kwa dawati linalokaliwa na wanafunzi wawili jumla ya wanafunzi...
Amemtuhumu RC wa Geita kwa kutafuta milioni 600.
Amelaani mamlaka aliyopewa RC kuamua matumizi ya fedha za Halmashauri.
Msikilizeni Musukuma kuanzia dakika ya 3:36 ktk video hapo chini.
https://www.ippmedia.com/sw/habari/mbunge-adai-rc-geita-kutafuna-mil-600
Kama title nilivyoiweka hapo juu sina muda wa kupoteza.
Serikali wekeni list ya watumishi watakaopanda madaraja mwaka wa fedha 2021/22.
Wekeni hata kwa check number tu ili kulinda falagha maana kuna watu wana roho za kichawi, wakiona jina langu kuwa liko kwenye list wataanza kunichawia.
Kama...
Dar es Salaam. Rais wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete amesema gavana wa zamani wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Profesa Benno Ndulu ndiye aliyetoa fursa kwa mitandao ya simu kuanza kutoa huduma za kifedha hapa nchini.
Kikwete aliyasema hayo Aprili 22 nchini Marekani wakati wa majadiliano maalumu...
Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai leo amehoji kwanini Fedha zinakwama Wizara ya Fedha akimtaka Waziri kujiandaa akisema, "Siku ya Wizara yake nitakamata Shilingi mimi mwenyewe"
Ndugai ametoa kauli hiyo Bungeni Dodoma wakati Bunge likijadili Hotuba ya Wizara ya Nchi - Ofisi ya Makamu wa...
Dodoma!
Akizungumza Leo katika kongamano la Muungano jijini Dodoma, Makamu wa Raisi Dr . Philip Mpango amesema Raisi Samia Suluhu Hassan ameelekeza Fedha zilizotakiwa kutumika katika shughuli za maadhimisho ya miaka 57 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zigawanywe pande hizo mbili...
Huu ndio ukweli mchungu, ni kwamba aidha viongozi wetu(watawala) wanatuona sisi wananchi hatuna upeo wa kufikiri au viongozi wetu wana upeo mdogo wa kufikiri.
Wao ndio hupitisha bajeti za sherehe hizo kisha baadaye haohao hutengua bajeti na kuzipeleka fedha kwenye miradi ya maendeleo.
Hii...
Naibu Gavana wa benki kuu Dr Kibese amesema wananchi wasiwe na wasiwasi wiwote kwani benki ina akiba ya fedha za kigeni za kutosha.
Dr Kibese amesema hata kama uzalishaji utasimama kwa miezi 6 benki kuu ina akiba ya kutosha kuendesha nchi.
Dr Kibese amesema hayo katika mahafali ya shule ya...
Mbunge wa jimbo la Igalula, Venant Protas ameomba kutengwa fedha kaajili ya ujenzi wa daraja katika kata ya Loya ambalo watu zaidi ya ishirini wanapoteza maisha kwa kusombwa na maji hasa akinamama wajawazito wanaofuata huduma kata jirani na wanafunzi.
Venant amesema Daraja hilo limekuwa...
Anguko kubwa la thamani ya sh ya tanzania lilishuhudiwa mwaka 2015 april, ambapo kwa muda wa mwezi mmoja thamani ya shilingi ya Tanzania ilipolomaka toka sh 1650 kwa dola moja hadi sh 2010 kwa dola moja, hili lilikuwa ni anguko la asilimia 21% ndani ya mwezi mmoja.
Hints:
Tukio hili lilitokea...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) afanye ukaguzi maalum wa Akaunti ya Pamoja ya Fedha za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni fungamano baina ya nchi mbili huru, Tanganyika na Zanzibar, zilizoungana na kuweka...
Serikali za mitaa zina wajibu wa kuandaa bajeti, kutunza fedha na kutoa taarifa katika vikao husika na kubandika katika mbao za matangazo kuhusu mapato na matumizi ya fedha kwa kila kipindi cha mwaka wa fedha kinapoisha.
Ni wajibu wa kila mwananchi kufuatilia taarifa hizo ili kulinda maendeleo...
Mbunge wa Viti Maalum, Esther Bulaya, amesema sio sawa kwa Mtumishi aliyeitumikia Tanzania kwa miaka mingi kumpangia matumizi ya fedha ya fedha yake kwa kumpa asilimia 25 huku asilimia 75 unasema utamlipa polepole.
Bulaya amesema Uongozi wa Hayati Dkt. Magufuli ulilazimisha kuweka mfumo mbovu...
Hizi huduma ni za muhimu sana ila mara nyingine zinaweza kukusababishia usumbufu ambao unaweza kujutia kuzitumia
Mara kwa mara nimekuwa nikituma hela kutoka Airtel kwenda TTCL. Kama mara 3 hivi kwa siku tofauti baada ya kutuma pesa unaletewa meseji na Airtel kwamba hela imeenda na unaona kabisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.