Habari za wakati huu kwenu.
Kwanza nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa ukuu wake na rehema tele atupazo katika maisha haya.
Nimekuja hapa, nikiamini nitapata msaada na ushauri wa kimawazo juu ya suala tajwa hapo juu.
Ipo hivi, mnamo mwaka 2020 bodi ya mikopo elimu ya juu (HESLB) ilifanya...
Kwa mara nyingine tena TANESCO inajiingiza katika gharama zisizo za lazima kwa kutaka kutekeleza mpango wa kubadilisha luku kuwa za kidigitali. Kama ilivyokuwa kwa kubadilisha nguzo za miti na kuweka nguzo za zege.
TANESCO itaondoa LUKU ambazo hazina matatizo yoyote kwa mteja auTANESCO na...
Ndugu za wanaJamiiForums, nimepata taarifa leo hii kwamba kumbe CWT ambacho kimekuwa chama cha walimu kwa muda mrefu sasa kimepata chama mwenza ambacho ni chama cha CHAKUHAWATA. Taarifa hii nimeambiwa na mwalimu mmoja leo hii.
Mwalimu huyo amesikitika kuona kwamba pamoja na yeye kujiungana na...
Nauliza je, ni wananchi wanaweka alama za mitaa kwa fedha zao au mfuko wa halmashauri? Maana nimeona sehemu raia wanalalama.
Huko kwenu jamani nani anaweka hizi alama?
Katibu Tawala Wilaya ya Mbarali, Michael J. Semindu ameviandikia barua Vyama Vya ACT Wazalendo, CUF na CHADEMA barua kuvitaka kuwasilisha taarifa zao katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya hiyo.
Barua hiyo ambayo nakala imeenda kwa Mkuu wa Wilaya inavitaka vyama hivyo kuwasilisha;
Muundo wa Uongozi wa...
Tunakumbushana tu kwamba hayati Magufuli alisitisha ongexeko la mishahara kwa sababu fedha zilielekezwa kwenye ujenzi wa Bwawa la umeme la Stiglers gorge au Nyerere.
Kwa sasa mradi uko mwishoni na fedha zinaelekezwa maeneo mengine.
CCM ni sikivu, hongera Rais Samia.
Wakuu!
Tumechelewa Sana kupata maendeleo ya kweli nchini tangu tupate uhuru kwa kuwekeza fedha nyingi kwenye siasa kuliko miradi ya uzalishaji.
Nchi yetu iliamua kuwa kupiga domo kwenye siasa NDIO kulipe Sana kuliko utafiti wa mbegu Mpya za kilimo na ufugaji pale SUA.
Miradi ya uzalishaji...
Kama mbwai na iwe mbwai, Nashauri spika azuie fedha hizo zisichukuliwe na Chadema kwa kuwa wameonyesha kwamba Mdee na wenzake hawakuwa wabunge.
Huwezi kula usichopanda.
Maana hiki chama kikiona fedha huwa kinasisimuka
Nimekutana na ujumbe wa Waziri wa Fedha wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, aliouchapisha kwenye akaunti zake za mitandao ya kijamii nikaona niulete hapa kama taarifa.
Ameandika:
"Nikiwa safarini kuelekea Mombasa kwenye Mkutano wa Mawaziri wa Fedha kutoka nchi za...
Taasisi ya Bloomberg Media Initiative Africa (BMIA) imetangaza kuanza kwa awamu ya pili ya programu ya mafunzo ya uandishi wa habari za fedha (FJT) kwa waandishi wa Tanzania. Mafunzo hayo yamelenga kuwawezesha waandishi wa habari wa fedha na biashara kuandika habari za kina zinazohusu sekta...
Robert Kisena (wa kwanza kulia) akiwa na washtakiwa wenzake
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Mradi wa Mabasi yaendayo kasi (UDART) Robert Kisena na wenzake watatu wamesomewa mashtaka 33 katika kesi mbili tofauti kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ikiwemo Utakatishaji wa fedha na kuongoza genge la...
Magufuli: Sisi ni matajiri, tunaweza kuwasaidia hata Ulaya, misaada/mikopo yao masharti magumu
Samia Suluhu: Nimeenda Ulaya, pesa za miradi zilikwama tumezikwamua.
Nipo nazitafuta za kaka Jakaya..
KATIBU Mkuu wa Kamati ya Olimpiki Tanzania, Filbert Bayi anadaiwa kuhusika na ufisadi wa fedha zinazotolewa na Kamati ya Olimpiki ya Kimataifa (IOC) kwa ajili ya maendeleo ya mchezo wa riadha hapa nchini.
Taarifa zilizoifikia Tanzania PANORAMA Blog kutoka kwa wadau wa mchezo wa riadha walio...
Habari Watanzania,
Hivi kweli nchi ya Tanzania, Mwigulu aliyeibuliwa na JK, baada ya sakata la Escrow, kijana wa kazi chafu kabisa kutokea huko UVCCM wkt huo...mkaona ndie awe mtunga sera namba moja za Fedha, na mshauri mkuu wa Uchumi wa Rais ktk Taifa hili?
Mlikuwa mnajaribu? Au kuna kazi...
Ukraine received over $12bn in weapons, financial aid since start of war
Ukraine has received over $12bn in weapons and financial aid since the start of Russia’s full-scale invasion on February 24, Ukraine’s Prime Minister Denys Shmyhal has said.
Speaking at a high-level donors’ conference in...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Phillip Mpango amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi anayekwenda kuiwakilisha Tanzania Nchini Malawi Mheshimiwa Balozi Humphrey Polepole. Mazungumzo hayo yamefanyika Ofisini kwa Makamu wa Rais mkoani Dodoma.
Makamu wa Rais amempongeza...
Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Eliamani Sedoyeka amesema katika bajeti ya mwaka 2022/23 Wizara imetenga fedha Shilingi bilioni 5.5 kwa ajili ya kuweka mazingira wezeshi ya kubuni, kuendeleza ubunifu pamoja na kujengea uwezo Taasisi na mbunifu mmoja mmoja.
Prof...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.