Nashauri wizara ya fedha, wizara ya teknokojia ya habari na mawasiliano zijikite katika kupenyeza na kueneza masuala ya uchumi ya kijiditali(digital economy).
Waitwe wataalamu kutoka nyanja zote wafanye presentation na michakato ya jinsi watanzania wanaweza kufaidika na kuutumia uchumi wa...
Makamba anakwenda kuuza Tanesco yetu na watakao inunua ndio hao wanaolipwa mabilioni ya dowans, kwa kifupi, wanachukuwa hela zetu Serikalini tunawalipa halafu wanatumia fedha hiyo hiyo kuinunua Tanesco na kuimiliki, is a zero sum game, …
MAHITAJI YA SHIRIKISHO LA VYAMA VYA WAFANYAKAZI TANZANIA NI MZIGO WETU SOTE NA SIYO SERIKALI PEKE YAKE.
Kutokana na ukweli kuwa hakuna jipya chini ya jua. Leo baada ya kufuatilia maadhimisho ya siku ya kimataifa ya wafanyakazi Duniani nililazimika kukaa katika maktaba yangu nyumbani na kutafuta...
Dkt. Faraji Kasidi Mnyepe Katibu Mkuu Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa na Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi akimkaribisha Waziri wa Ulinzi na JKT, Dkt. Stergomena Lawrence Tax ili afungue Kikao cha Baraza la Wafanyakazi kwa njia ya Mtandao (Video Conferencing).
Waziri wa Ulinzi na...
Nadhani TLS Ina wanachama wasio na akili na mawazo yakujitegemea;wanachama wengi wana mawazo kama yalivyo maono ya Watumishi wa Umma kwamba serikali ikupe posho,salary,nyumba,matibabu nk lakini pamoja na vyote hivyo mtumishi huyu anashindwa kujenga japo nyumba huku asiye na kazi aliyepo Kijijini...
Huu ndio ushauri wangu, vinginevyo ubadhirifu huu wa kila mwaka hautaishi kwani wanajua hata wakituhumiwa, hakuna kitachofanyika, na kama ni kuchukua hatua basi, itategemea na utashi wa Raisi.
Binafsi siku hizi sina hata hamu tena ya kufuatilia ripoti za CAG kwasababu naona ni kama kutufanya...
Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana amewata wajumbe wa Mkutano Mkuu Mkoa wa Kilimanjaro kuchagua watu sahihi wanaokubalika na wananchi.
Aidha, amewataka kuepukana na kasumba ya kupigana fitna na tabia ya watu wenye uwezo ndani ya chama kupigwa vita ili kuwarudisha nyuma...
BASHE AENDELEA KUHAMASISHA TAASISI ZA FEDHA KUTOA MIKOPO YA RIBA NA MASHARTI NAFUU KWA WAKULIMA; UJENZI WA MAGHALA NA MIUNDOMBINU YA UMWAGILIAJI BAADA YA KUKUTANA NA MENEJIMENTI YA BENKI YA EQUITY
Dodoma, Tanzania.
Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe amekutana na kufanya mazungumzo na...
Mh Rais Mama Samia nakusalimu kwa jina la JMT.
Naomba kukupongeza na kukushukuru namna unavyopigania kuinua UTALII kupitia ROYAL TOUR.Ni wazi tena pasipo shaka kwamba ROYAL TOUR inakwenda kusaidia kuongeza idadi ya watalii Tanzania.Hili ni jambo jema linastahili pongezi za dhadi kwakuwa idadi...
Mkuu wa Mkoa wa Mara amezuia takriban Tshs.5 billioni zinazotolewa na mgodi wa North Mara kwa ajili ya miradi ya kijamii na hii imetokana na matumizi mabaya ya fedha zinazotolewa na mgodi wa North Mara. Binafsi nakubaliana na uamuzi wa Mkuu wa Mkoa.
Kama fedha zinatolewa na vifaa vya ujenzi...
Tangu hii kampeni ianze, hakuna hata siku moja tuneambiwa makusanyo ni shilingi ngapi.
Hela zinakusanywa kwenye mifuko ya rambo, anayezihesabu hajulikani ni nani, ni rahisi watu kujichotea tu na kuweka mifukoni mwao, hakuna risiti. Hakuna ufafanuzi nani anaongoza nini, na gharama za operesheni...
Rais wetu anakubalika sana kimataifa na ameweza kutufungua kimataifa. Ni rais pekee, executive president, mwanamke barani Afrika na wengi wako tayari kumsaidia ili kuonesha ulimwengu hasa wa Afrika kwamba wanawake wanaweza, tena sana tu kuliko wanaume wengi.
Wengi wanapenda kuona rais wetu...
Sri Lanka imeomba Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) kwa usaidizi wa haraka wa kifedha na mkopeshaji wa kimataifa anaweza kuzingatia hilo baada ya kusita kwa awali, msaidizi wa waziri wa fedha wa nchi hiyo alisema.
Maandamano yamezuka katika taifa hilo huku likipambana na mzozo mbaya wa...
Kwa namna siasa zetu zilivyo tutarajie kwamba .
Kama Samia atapita 2025 basi mambo yatabakia hivi hivi nikimaanisha kwamba ripoti ya fedha kwa mwaka 2025/2026 ya CAG itakua safi sana.
Ila kama mambo yakiwa tofauti basi isikilizie kwani lazima itaukandia mno awamu ya sita.
Lakini kwa uhakika...
Nimemwona Mhe. Rais USA anatembea na gari Moja TU bila walinzi na mitutu. Naamini hii inatoa picha kwamba experience aliyopata itasaidia kupunguza msafara wake nakubana matumizi.
Lakini pia akipunguza silaha itafanya Dunia iamini Tanzania ni kisiwa Cha amani na watalii pamoja na wawekezaji...
Huyu ndiye Rais wa wanyonge, aliyejipambanua kupambana na ufisadi, alidanganya wananchi wa kawaida wakamwamini, mlango wa nyuma alikuwa anafanya kweli. Kazi ya Tanroad ni barabara, lakini Mfugale alikuwa Kila mahali, uwanja wa ndege chato, yupo,standard gauge railway yupo.
====
➡️"TANROAD...
Wakuu habari ya Jioni.
.
Kuna pahala nimesoma na kuona picha mbalimbali kwamba Stendi ya dala² Mafiga Morogoro Imebadilishwa Matumizi na Kuwa Mnada utakaokuwa unachomwa mbuzi na Watu Kupata Kinywaji.
.
Nimesoma na Kuona Dc Msando akiwakaribisha Kesho wananchi wa Moro kufika Kwa Ajili ya...
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amefanya mahojiano na Wasafi TV na hii ni sehemu ya nukuu zake kuhusu filamu ya Royal Tour ambayo inatarajiwa kuzinduliwa Aprili 18, 2022 Nchini Marekani:
Sababu za Wamarekani kupewa tenda
"Ile filamu uzinduzi wake ni Tarehe Aprili 18 na utafanyika mara...
"PLATA O PLOMO"
13/04/2022
Pablo Escobar, mlanguzi nguli wa madawa ya kulevya mwenye asili ya Colombia alikuwa akitumia maneno hayo mawili kuelezea njia anayoitumia katika kufanikisha biashara haramu za madawa ya kulevya. Neno Plata likiwa na maana ya "Fedha" na Neno Plomo likiwa na maana ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.