Biashara, Fedha na Uwekezaji vifundishwe Shuleni Kwa vitendo nadharia hatufikishi kwenye matokeo

Stepha2030

Member
Jun 6, 2022
5
1
1. Kidato cha kwanza mpaka cha nne Elimu ya biashara, uwekezaji na fedha itolewe kwa nadharia

2. Kidato cha tano na sita Elimu ya biashara na uwekezaji na fedha itolewe kwa vitendo walau asilimia 10 ya ada itumiwe na wanafunzi kubuni au kuwekeza kwe biashara kwa vitendo...

3. Chuo 20% ya Alama za mwanafunzi zitokane na namna alivyofaulu kuanzisha au kuwekeza katika biashara kwa kuonyesha namna alivyo chakata mpaka kufikia uamuzi huo. Mhitimu wa chuo anatakiwa ahitimu akiwa anatengeneza pesa.

4. Vipaji na talanta lazima vinolewe na viweze kutumika kutengeneza pesa

TUNAHITAJI MFUMO WA ELIMU UNAO SADIFU MAISHA YA JAMII YETU, CHUO IWE SEHEMU YA UZOEFU.
 
Back
Top Bottom