scolastika
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,779
- 5,550
Leo naomba kueleweshwa tafadhali, huu utaratibu wa kuchangia elfu mbili (2000)kila unapoenda kupata huduma ofisi ya mtendaji wa kata, ama mtaa ni utaratibu ulowekwa na mamlaka ama ni utaratubu binafsi.
Je, hicho ni chanzo cha mapato ya serikali au ni mapato ya mtu binafsi?
Na kama iko kisheria inajulikana vipi kwamba kwa siku wamehudumiwa watu 60 au 10?
Je, kuna utaratibu wowote wa kujua idadi ya hela ilokusanywa kwa siku?
Nasikia watendaji wa kata na mitaa wanalipwa na halmashauri zao sasa wanalipwa kwa kazi ipi ikiwa huduma zao mpaka malipo?
Hapa nazungumzia manispaa na jiji ndo hasa hayo mambo yapo, huku kwetu Kilando haya mambo hayapo.
Karibu watendaji mnijibu tafadhali