Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro Ampongeza Simbu Kwa Medali ya Fedha.

Melubo Letema

JF-Expert Member
Apr 1, 2020
310
288
View attachment 0K3A1644.jpeg
Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Dkt Asha-Rose Migiro, Ampongeza mwanariadha Alphonce Felix Simbu kwa kunyakua
Medali ya fedha baada ya kuibuka mshindi wa pili, nyuma ya Mganda Victor Kiplagat katika mchuano wa Marathon Kwa wanaume katika Michezo ya Jumuiya ya Madola yaliyofanyika leo jijini Birmingham, Uingereza.
 
Back
Top Bottom