Ilikua vigumu sana kwa watu wengi kuelewa uamuzi uliochukuliwa na Rais Samia Suluhu juu ya fedha za mkopo zilizotolewa na IMF za mapambano dhidi ya Uviko-19 baada ya kuzipeleka kwenye ujenzi wa miradi mbalimbali nchini badala ya kununua vifaa vya kujikinga na janga hilo.
Fedha hizo shilingi...
Ni masikitiko makubwa kuona upendeleo wa dhahiri wa ugawaji wa viwanja katika Jiji la Mwanza. Wote tulitangaziwa kuomba viwanja hivyo kwa ada ya Tshs.20,000 kwa kila kiwanja lakini cha kusikitisha waliopata viwanja ni vigogo ambao hata hawakufika kuchukua fomu na kuzijaza.
Hivi ni kweli mtu...
Boris Johnson akiwa na Rishi Sunak na Sajid Javid Bungeni, Picha na PA.
Mawaziri wawili waandamizi wa serikali ya Uingereza jioni hii wamejuzulu nafasi zao.
Mawaziri hao ni waziri wa fedha Rishi Sunak na waziri wa afya Sajid Javid.
Katika barua zao za kujiuzulu mawaziri hao waandamizi...
January Makamba , Waziri wa Nishati. Tunakuomba usikie kilio cha wananchi na kauli ya Rais ya kazi iendelee.
Kuna fedha za kufanya miradi mipya ya umeme kwa kila mkoa ulizitenga na kuzipitisha kwenye bunge bajeti ya 2022/2023.
Tunakuomba tuko chini ya miguu yako tunasali ili fedha hizo zifike...
Kama mnavyojua aliekuwa Waziri wa Fedha kipindi hicho ni Dkt. Mpango na kwa sasa ni Makamu wa Rais hivyo noti za fedha zilikuwa na saini yake akiwa kama Waziri, kwa sasa Waziri Ni mwingine je! Kwanini saini ya Waziri husika isiwekwe kwenye noti?
Mpaka sasa akija mgeni asiyejua au mtoto anaenza...
NCHI INAYOENDELEA LAZIMA IKOPE
"Duniani kote nchi zinazotekelea miradi mikubwa ya maendeleo na zenye uchumi mkubwa, zina madeni makubwa, ipo hivyo nendeni mkaangalie
Huwezi linganisha uchumi wa Tanzania na Marekani,” - Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba
Kuna nchi masikini hazina madeni na...
“Madeni mengi yanayozikabili nchi za Afrika yanasababishwa na mashirika binafsi ya nchi za Magharibi, na hawa wakopeshaji kutoka New York, London, Frankfurt n.k wanataka madeni hayo yalipwe ili mali za nchi za Afrika ziendelee kumiminika Amerika Kaskazini na Ulaya, na wala sio China.” Hivi...
Katika hali isiyo ya kawaida serikali ya Tanzania imeshindwa kugharamia elimu bure kama ccm ilivyohaidi wananchi.
Inasikitisha fedha za kuendesha shule za sekondari na msingi nchi nzims tangu mwezi May 2022 hadi sasa hazijapokelewa fedha za uendeshaji na mitihani ya ndani imefutwa kwa...
Pesa za Yanga SC Mambwiga ( Washamba ) wa Kudumu FC....
Tsh Milioni 500 za Azam
Tsh Milioni 100 za NBC
Jumla Tsh Milioni 600 ( na hapa bado Mama Samia hajakomba Kodi yake na akiikomba watabakiwa na Tsh Milioni 74 tu na sijui watagawanaje ) vinginevyo watapigana mno Bakora kama Kawaida yao...
Kila nikikumbuka mwaka 2015 alivyochora mawe na madaraja kwamba yeye ndie Rais ajaye naanza kuamini jamaa anapenda siku moja awe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Juzi kaenda kusoma bajeti ya mwaka mpya wa fedha bungeni, msafara wake sio mdogo yaani hadi mapikipiki ubavuni mwa gari lakr...
Chama cha ACT Wazalendo kimekutana na Waandishi wa habari na kuichambua Bajeti ya Serikali.
ACT Wazalendo wamtaka CAG akague matumizi ya Tozo na Fedha za Covid 19
Pia ACT Wazalendo wamtaka serikali ipunguze kukopa
Pia ACT wazalendo wataka Zanzibar ipate mgawo wake wa mapato ya Muungano...
Nimefuatilia hotuba ya Bajeti ya mwaka 2022/2023 na kwenye kipengele kinachosema kuwa kama mtumishi wadhifa wake umetenguliwa basi arudi kupokea ule mshahara aliokuwa anapokea kabla ya uteuzi. Hili ni pendekezo.
Binafsi sikubaliani kabisa na pendekezo hili. Mhe. Waziri usije ukaleta vurugu...
Kiswahili ndio lugha yetu inatambulika SADC na Umoja wa Afrika. Wazri wa fedha ahoji sababu ya kufanya usaili wa watumishi wa serikali kwa lugha ya kiingereza na kushindwa kukipa nguvu Kiswahili.
Ameshauri kishwahili kitumike katika usaili
Mtumishi wa Umma atakeyeteuliwa kwenye nafasi za kuteuliwa baadaye akatenguliwa nafasi aliyoteuliwa basi arejee kwenye mshahara ule wa awali kabla hajateuliwa.
Amesema kuwa kumlipa mtu mshahara wa nafasi ambayo hayupo tena (aliyokuwa ameteuliwa) ni kuwabebesha mzigo mkubwa Watanzania. Mtu...
Kwako Mheshimiwa:-
Lengo kubwa la ujumbe huu ni kukufahamisha juu ya HESLB kuondoa allocations za field kwa wanafunzi wa mwaka wa pili ambao hawakuwa na field mwaka wa kwanza. PASIPO KUTOA TAMKO LOLOTE HADI SASA.
Mheshimiwa,
Nikupe historia juu ya upangaji wa mkopo kwa wanafunzi wa chuo kikuu...
Wakuu naomba kujuzwa hii imekaaje kisheria , endapo nimempangisha mtu chumba akakitumia kwa muda mrefu bila kunilipa kodi na hakuna mkataba wa maandishi tuliofanya, Je, nguvu ya kudai malipo yangu ya kodi ikoje kisheria ?
Ni ukweli usiopingika, fedha zimepungua mikononi mwa wananchi. Mfano hai ni pale hapa Mwanza bei ya nyama imepungua kutoka Tshs. 8000 kwa kilo mpaka Tshs.7000.
Hii inaonesha dhana ya supply and demand. Tunaiomba Serikali iachie fedha ili ziingie kwenye mzunguko.
Watu wengi hawana fedha.
Kitengo cha kudhibiti fedha haramu Nchini Tanzania kimeelemewa na miamala iliyotiliwa
mashaka ambayo inatakiwa kufanyiwa uchunguzi.
Hayo yamebainishwa na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti, Omary Kigua, Juni 7, 2022 Bungeni Jijini Dodoma akiwasilisha taarifa ya kamati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.