fedha

  1. Roving Journalist

    Mwalimu Mkuu aliyepewa fedha za TAKUKURU Afariki Dunia, yadaiwa amekunywa kimiminika chenye sumu

    Mnamo tarehe 14.09.2023 majira ya saa 1:30 asubuhi huko katika nyumba za Walimu wa Shule ya Sekondari Mtanila iliyopo Kijiji cha Igangwe Wilaya ya Chunya, Mkuu wa Shule hiyo aliyefahamika kwa jina la MAGWIRA NKUTA [41] alifariki dunia baada ya kunywa kimiminika kinachodhaniwa ni sumu. Chanzo...
  2. DR Mambo Jambo

    Nani yuko Nyuma ya hizi taasisi za kumsemea Rais. Je, zinaendeshwa kwa ufadhili wa fedha za nani? Na Nini hasa makusudio Yake?

    Nawasalimia kwa Jina la JMT, Naomba kudeclare interest kwamba Mimi ni Mzalendo halisi na sijawahi hata kufikiria kupoteza hati yangu ya uzalendo. Ila sasa nimeanza kupata mashaka juu ya uibukaji Wa Taasisi Nyingi zinazojinasibu kuwa Asasi ya kizalendo zinazomtetea Mama. Kifupi ni kwamba...
  3. Roving Journalist

    Dkt. Massaga: Uzalishaji Maji tiba Hospitali ya Bugando kuokoa fedha ambazo zingetumika kununua maji tiba kutoka sehemu nyingine

    Idara ya famasi imefanya maboresho makubwa kupitia kitengo cha uzalishaji maji tiba, (Infusion Unit). Akizungumza katika makabidhiano Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando, Dkt. Fabian Massaga amewapongeza Idara ya Famasi kwa jitahida kubwa wanazofanya ili kuongeza uzalishaji...
  4. A

    DOKEZO Responded TAMISEMI tufahamisheni, lazima Mtumishi alipie fedha ili apate uhamisho?

    Naandika andiko hili nikiwa ni mmoja wa watumishi wa Serikalini, na nimelazimika kuleta andiko hapa kwa kuwa nguvu kubwa inayotumiwa na wanaofanya mambo kwa mlango wa nyuma wana nguvu kuliko Watumishi wengi ambao ndio wanaokamuliwa hela bila kupenda. Inajulikana wazi kuwa Mtumishi anapokuwa na...
  5. K

    Dkt. Charles Kimei apewe Uwaziri wa Fedha haraka

    Ndugu yetu Mwigulu anajifunza kazini na hii wizara inahitaji mtu ambaye anaweza na kujua jinsi ya kutatua matatizo na sio kila siku kubishana na wanasiasa. Matatizo makubwa ni haya ambayo Dr Kimei ndiye anaweza kurekebisha kwa haraka 1. Tatizo la dollar 2. Tatizo la riba kuwa juu 3. Kuanzisha...
  6. Mzalendo Uchwara

    Serikali ichukue hatua hizi haraka ili kuinusuru nchi na tatizo la upungufu wa fedha za kigeni

    1. Serikali isitishe kwa muda matumizi yasiyo ya lazima (anasa) yanayohitaji fedha za kigeni kama vile kununua magari ya kutembelea viongozi na safari za nje ya nchi (zote mpaka za SSH hazina tija). 2. Kampuni za ndani zitakazolipwa kwa shilingi zipewe kipaumbele kwenye miradi ya ujenzi na...
  7. anti-Glazer

    Usithubitu kutoa fedha benk kwenda halopesa Kwa NMB Mobile inakula kwako

    Wakuu this is the second time yananikuta. Nilifanya transaction kweny 🏧 pesa niipokee Kwa wakala ikakwama ilikuwa miez kadhaa myuma. Wakati mwingine nikajitoa ufaham nikaweka fedha ndefu kutoka mwenye ATM kwenda Kwa halopesa kuepuka kutembea na banch of money. Yakanikuta tena jaman huu...
  8. Mwizukulu mgikuru

    Ni kweli kuwa Serikali haina fedha ya kuwajengea stendi ya mabasi ndugu zetu nshomile?

    Kuna msemo husema mkaidi hafaidi mpaka siku ya Idd, lakini pia nimekuwa nikisikia kuwa ndugu zetu nshomile hujifanya wajuaji wa kila kitu, lakini pia ni wabinafsi kupindukia..je? ujuaji wao ndio umefanya serikali iwaache wapambane na hali yao! lakini pia hawa ndugu zetu huko nyuma walikumbwa na...
  9. R

    Mbatia: Tusiwekeze fedha zetu 125 bilioni kwenye uovu

    Mbatia ametoa rai kwa Rais samia /serikali kuwa isiwekeze shiling 125 billioni kuimarisha uovu, badala yake iziweke kwenye kuendeleza maisha ya watanzania. Ametoa mfano, zikiwekezwa Muhimbili, zitatoa huduma bora kwa watu wake! Serikali imetenga fedha hizo kununua silaha kudhibiti lolote...
  10. B

    Ridhiwani Kikwete: Watakaoshindwa kusimamia fedha za TASAF kuondolewa, Rais Samia atoa Bilioni 51

    Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete amesema katika mwaka huu wa fedha 2023/24, Rais Samia Suluhu Hassan ameelekeza Jumla ya Bilioni 51 kwa ajili ya kwenda kunufaisha Watanzania waishio katika mazingira magumu kupitia Mpango wa kuokoa...
  11. Roving Journalist

    Walimu washauriwa kuepuka mikopo ya 'Kausha Damu' kwa kuwekeza fedha zao benki

    Ushauri umetolewa kwa Walimu nchini kuondokana na mikopo ya kausha damu na badala yake waitumie Benki ya Biashara ya Mwalimu (MCB) kwa ajili ya kuikuza na kujinufaisha wao wenyewe. Wito huo umetolewa na Wanahisa wa MCB wakati wa mkutano wa saba wa wanahisa mwaka 2023 uliofanyika Jijini Dodoma...
  12. BARD AI

    Mbeya: 40 Mbaroni tuhuma za wizi kwa kuingilia Mfumo wa TEHAMA

    Siku moja baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kutaja ubadhilifu wa fedha mkoani Mbeya, watu 40 wanashikiliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kwa tuhuma za kuhusika kwenye wizi huo wa Sh450 milioni wa fedha za umma. Akizungumza leo Jumatatu Agosti 28, 2023 Mkuu wa Wilaya ya...
  13. Analogia Malenga

    Tume ya Uchaguzi iwe na mfuko wake na fedha zake

    Katika mkutano wa wadau wa demokrasia nchini ulioandaliwa na TCD. Joseph Selasini amesema Tume ya Uchaguzi iwe na fedha zake, iwe na watu wake na namna yake ya kuajiri badala ya kutegemea fedha kutoka hazina. Aidha amesema suala la uchaguzi wa serikali za mtaa na uchaguzi mkuu ufanyike kwa siku...
  14. Benjamini Netanyahu

    Mbinu zinazotumika kutafuna fedha za umma na vigogo serikalini

    Dar/Arusha. Rais Samia Suluhu Hassan amewataka Watanzania kuwa na imani na Serikali katika mageuzi ndani ya mashirika na taasisi za umma, akiwaonya mawaziri wanaoyatumia kujinufaisha. Amesema inasikitisha kuona mashirika ya umma katika mataifa mengine duniani yakiongeza tija na mchango kwenye...
  15. BARD AI

    Kuling'ang'ania suala DP World kuchukua Bandari ni dhahiri kuna Viongozi wamelipwa Fedha

    Licha ya makelele yote haya kwa Wananchi, Mashinikizo ya Wanasiasa na sasa Matamko ya Viongozi wa Dini kupinga suala la Dubai kuwekeza kwenye Bandari zetu inaonesha kabisa Kuna watu wamelipwa fedha nyingi wameahidiwa mgawo mkubwa sana endapo jambo hili litaanza utekelezaji nchini including namba...
  16. R

    Rais akiri yapo mashirika yalikuwa yanakopa fedha ili watoe gawio kwa serikali

    Nchi hii in maajabu sana; tunadanganywa sana. Kama wapo wakurugenzi walikuwa wanakopa kudeclare gawio kwa serikali tena wakiwasilisha hizo taarifa kwa Mhe. Rais unajiuliza hadi udanganyifu huu ubarikiwe nani na kufanyika mbele ya camera wahusika walikuwa wananufaikaje? Je, hayo madeni nani...
  17. freelancer2302

    Kuadimika kwa fedha za kigeni

    Jamani hii ishu ya dollar kutonunulika na wananchi popote kwenye taasisi zenye fedha imekaaje? Wapi tunaweza nunua?
  18. Jidu La Mabambasi

    Serikali haina fedha? Wakandarasi wadaiwa kuanza tena kulalamikia malipo!

    Lile tatizo la miaka 5-10 iliyopita limrudi tena. Serikali inadaiwa imeanza tena kutoa Tender za ujenzi bila kuwepo fedha za kuwalipa Makandarasi. TANROADS kama idara ya serikali, pamoja na TARURA ndio watekelezaji wakuu wa miradi ya ujenzi, hasa ya barabara. Lakini invyoelekea Taasisi hizi...
  19. Sozo_

    Kukosea Kununua LUKU hadi Uandike barua ndio urejeshewe fedha yako?

    Tusipotezeane muda niingie moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu, nilikuwa nanunua LUKU nikawa nimekosea namba moja nikawa nimenunua kwa mita namba nyingine. Nimepiga simu nirejeshewe fedha yangu naambiwa hadi niandike barua. Hivi TANESCO hawawezi kuwa na mfumo kama wa mitandao ya simu ya...
  20. comte

    Hizi hapa sababu wanawake kukimbilia mikopo ‘kausha damu’

    Serikali imetaja sababu za wanawake kukimbilia mikopo yenye masharti magumu, ikiwamo wengi kuwa na elimu ndogo ya fedha. Tatizo hilo lilielezwa ni chanzo cha wanawake kujiingiza katika mikopo hiyo maarufu kwa majina kama vile ‘ kausha damu’ na ‘mikopo umiza’. Katibu Mtendaji wa Baraza la...
Back
Top Bottom