Kanuni: Ili kukabiliana na upungufu wa fedha za kigeni lazima Shilingi ishuke thamani

Pascal Ndege

JF-Expert Member
Nov 24, 2012
2,977
1,897
Katika kanuni za uchumi kawaida nyumbani ni lazima kuongeza mapato na uzalishaji.

Kwa level ya nchi katika kukabiliana hali mbaya ya uchumi nchi hufanya mambo kadhaa kuhakikisha uchumi unakuwa imara.

1. Kuongeza export
2. kununua dhahabu
3. kupunguza matumizi ya serikali.
4. Mikopo ya hela za kigeni.
5. Kuongeza vivutio vya utalii na Mikutano ya kimataifa.

Lakini world bank na IMF wamekuwa wakizipa nchi maskini husani za Africa mashart ya ajabu ambayo kimsingi husaidia kwa muda mfupi tu. Tuangali baadhi ya mashart ya world bank na IMF yafuatayo.

1. Kupandisha bei ya mafuta kwa kigezo watu wachache watashindwa kununua mafuta ni kwa kiasi hupunguza matumizi ya fedha za kigeni kununua mafuta nje ya nchi.

2. Kuongeza Tozo na kodi ghafla ambapo wafanyabiashara wakata mitaji nakuachana na biashara ya kuagiza malighafi au bidhaa kutoka nje.

3. Mgao wa umeme. Mgao wa umeme katika hali mbaya ya uchumu. Utapunguza uzalishaji wa bidhaa na huduma hivyo spear na malighafi kutoka nje itapunguza matumizi ya dollar.

4. Mago wa maji
Mgao wa maji humpelekea viwanda ya steam, vinywaji, vyakula na vitu mbalimbali kupunguza mahitaji uzalishaji hivyo material kama sukari na prevasation. Dollar kutumika kidogo.

5. Hushinikiza la ubia.
World bank hushinikiza kukopesha kampuni binafsi badala ya serikali. Hulzimisha serikali kuingia ubia ambapo mapato mengi hupotea na kuongeza ugumu wa Maisha na kupunguza matumizi ya dollar.

Matokeo ya mkakati wa IMF na Worlbank

Matokeo ya shinikizo ni mateso kwa wananchi na kupelekea vita za wenyewe kwa wenyewe. Kupitia wa shirika wake yaani Marekani. Huuza Silaha nzito kwa waasi na serikali. Kwa mgongo wa UN huleta mwanajeshi wao na kuchota mali asili ya nchi husika.
 
Back
Top Bottom