Ujenzi wa misikiti ni kichaka cha upigaji wa fedha za wafadhili

Mwizukulu mgikuru

JF-Expert Member
Oct 21, 2021
4,735
11,090
Ndugu zangu waislamu, nimekuwa nikitembea maeneo mengi sana, misikiti inajengwa hata sehemu kusipokuwa na waumini wa kuswali ndani ya misikiti hiyo.

Muda wote inakaa imefungwa tu, misikiti imekuwa ni nyumba za popo. Misikiti hii mingi inajengwa kwa fedha zinazotolewa na wafadhili.

Vipo vitu vingi vya kujenga na M/Mungu akatulipa kama sadaka inayoendelea endapo tutaondoka katika dunia hii, mfano visima, mashule, na hospitali, lakini kuna waislamu wenzangu wanapopewa pesa na wafadhiri ili kuimarisha miradi ya waislamu, lakini kinachofanyika ni upigaji wa fedha za wafadhiri inatolewa milioni 50 unajengwa msikiti wa milioni 15 pesa yote inayobaki inaishia kwenye mifuko ya kanzu.

IMG_20240127_103550.jpg
 
Hao wafadhili nao ni wapuuzi, bora hata wangejenga visima vya maji Mungu angewarehemu kuliko kujenga majengo yasiyo na maana zaidi ya kupumbaza watu na imani za ajabu. Hao wafadhili wapigwe sana tu mpaka akili ziwakae sawa
 
jana nilikuwa natoka tabora naelekea dodoma nilipofika mpakani mwa manyoni na singida nilishangaa sana yaani kila hatua 100 kuna msikiti mpya, misikiti yenyewe imefungwa haina watu..nilisikitika sana ....
 
rafiki yangu james alikuwa hafahamu kuwa na mimi ni muislamu, siku moja tulikuwa tunapiga story akaniambia hivi " Mwizukulu mgikuru unafahamu kuwa waislamu huwa hawana akili za darasani, akawa ananipa mifano ya watu wa zanzibar na pwani wanavyopata zero darasani.....jana nilivyokuwa napita pale singida nikitizama na ujenzi wa misikiti kila hatua 100 , nilisikitika sana nilipoyakumbuka maneno ya james.....
 
Hao wafadhili nao ni wapuuzi, bora hata wangejenga visima vya maji Mungu angewarehemu kuliko kujenga majengo yasiyo na maana zaidi ya kupumbaza watu na imani za ajabu. Hao wafadhili wapigwe sana tu mpaka akili ziwakae sawa
Umeongea kwa hasira mno kwani wewe ni shoga?
 
Hao wak
rafiki yangu james alikuwa hafahamu kuwa na mimi ni muislamu, siku moja tulikuwa tunapiga story akaniambia hivi " Mwizukulu mgikuru unafahamu kuwa waislamu huwa hawana akili za darasani, akawa ananipa mifano ya watu wa zanzibar na pwani wanavyopata zero darasani.....jana nilivyokuwa napita pale singida nikitizama na ujenzi wa misikiti kila hatua 100 , nilisikitika sana nilipoyakumbuka maneno ya james.....
Kristo wanavyojitapa kuwa na akili as if wamefanya jambo la mama katika Tanzania zaidi ya ufisadi tu
 
rafiki yangu james alikuwa hafahamu kuwa na mimi ni muislamu, siku moja tulikuwa tunapiga story akaniambia hivi " Mwizukulu mgikuru unafahamu kuwa waislamu huwa hawana akili za darasani, akawa ananipa mifano ya watu wa zanzibar na pwani wanavyopata zero darasani.....jana nilivyokuwa napita pale singida nikitizama na ujenzi wa misikiti kila hatua 100 , nilisikitika sana nilipoyakumbuka maneno ya james.....
Wewe na james wote wapumbavu, kwahiyo hakuna Prof Dr. nk waislam?
 
Hao wafadhili nao ni wapuuzi, bora hata wangejenga visima vya maji Mungu angewarehemu kuliko kujenga majengo yasiyo na maana zaidi ya kupumbaza watu na imani za ajabu. Hao wafadhili wapigwe sana tu mpaka akili ziwakae sawa

usimpangie mtu na hela yake
 
Back
Top Bottom