english

  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu aongea na Wahariri wa Vyombo vya Habari - Sept 9, 2020, ataenda Mahakamani kwenye kesi zake Kampeni zikiisha

    Leo, Septemba 9, 2020 - mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Ndg. Tundu A. Lissu anaongea na Wahariri wa Vyombo vya Habari. Haya ni baadhi ya aliyoyasema: ====== Waandishi mmekuwa mnogopa kuni-cover, nikizungumza mna switch off. Hofu! > Nazungumza na Vyombo vya Habari vya nje ya nchi kila...
  2. Sabryna

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi kwenye supermarket, duka la nguo, vipodozi, usafi wa maofisini

    Naitwa Sabrina Nina miaka 22, Naishi Dar, Ukonga. Elimu yangu kidato cha 4 Naongea English na Kiswahili, Natafuta kazi ya duka la nguo, vipodozi, supermarket au usafi wa maofisini.
  3. F

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu izibadilishe shule za msingi za Serikali ziwe English Medium. Soko kubwa sana, Serikali ipate hela ya ada yanayovunwa na watu binafsi

    Habari wadau Naona kuna soko kubwa sana la wazazi wanaopenda watoto wao wasome English Medium. Nawashauri Serikali, kila wilaya nchii hii wawe na shule za msingi za Serikali za English Medium kama Olimpio na Diamond. Wazazi watashukuru sana na sana. Hizo pesa ambazo shule binafsi wanazivuna ni...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Naomba jinsi ya kupata series with English subtittle

    Natumia smartphone naombeni namna ya kudownload series yangu with English subtitle anayejua atoe maelezo yakutosheleza please
  5. E

    JamiiForums Tanzania Ask me anything about English/Swahili

    Ask me anything about English or Swahili. I am a holder of a Bachelor Degree of Education i Languages & Management fro Mzumbe. Karibuni tujifunze Kiswahili Au English
  6. LIKUD

    JamiiForums Tanzania COVID-19 na anguko la Shule za English Medium

    Naliona anguko la shule za English Medium Tanzania. Naona wazazi wengi wakiwatoa watoto wao kwenye shule za English Medium na kuwapeleka kwenye shule za kayumba. Sababu? Sababu ni zile zile 1. Uhaba wa fedha: Wazazi wengi wataishiwa fedha na hivyo kushindwa kumudu gharama za kuwasomesha...
  7. RoadLofa

    JamiiForums Tanzania Wajinga huchanganya english na IQ

    Huwa na shangaa sana napokutana na watu wakimsifia mtu anayeongea kiingereza na kumheshimu kisha kumdharau asiyejua kuongea hiyo lugha. Wanashindwa kuelewa kwamba kiingereza ni lugha tu kama lugha nyingine japo ni international language kama kiswahili tu africa mashariki. Kwa utafiti wangu...
  8. Kulupango

    JamiiForums Tanzania I need someone to talk to through the phone in English, then I will pay him/her

    Hello, am a English Lerner (both wirting and speaking), I need a teacher who will guide me and talking to me through the phone at least one hour per day, then I pay in according to how will make the contract. Correct me and help me please, am in Dar es Salaam, but am very busy and I have no...
  9. Martin Kemosabe

    JamiiForums Tanzania Natoa 50,000 Kwa mwenye Movie za korean Drama au English Season,1TB kwenda mbele

    Habari zenu wana jamvi,nimekuja kwenu kwa wale wapenzi wa series za kikorea na zile za English nahitaji movie ONLY SERIES nina external ya ukubwa wa 1TB = 931GB nahitaji ijazwe Series,najua tabu na shda ya ku download movie hasa series hiivyo basi nimekuja kwenu na ombi ambalo limeambatana na...
  10. goldcall

    JamiiForums Tanzania Women are the ones spreading HIV/AIDS

    The title mentioned above, here, we will discuss and argue an issue confronting our society about who are the main source of HIV/AIDS spreads between men and women, for my side, women are the source because of the following reasons. 1. Women do not care about condoms, during sex, otherwise, a...
  11. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Shule za English medium kufanya vizuri somo la kiswahili kwenye mitihani ya darasa la saba kuliko shule za swahili medium nini maana yake?

    Ukiangalia matokeo ya darasa la saba 2019 kwa mfano shule za english medium ndizo zimeongoza kwa ufaulu kwenye somo la kiswahili kuliko shule zinazotumia lugha ya kiswahili kwenye masomo yote Hii inamaananisha nini? ==== Pia raia wa China Congcong Wang aliongoza somo la Kiswahili ambalo...
  12. Kirumbi boy

    JamiiForums Tanzania Competent teacher in English anatafuta kazi

    Kwa majina anaitwa Ombeni Elinihaki White, mhitimu kutoka Chuo Kikuu cha Dar- es-Salaam (BAED). Anaomba ukiwa kama ndugu jamaa na rafiki popote ulipo ukiona nafasi ya kufundisha kati ya somo la English and Literature umkumbuke. Ni Mwalimu anayejiamini na mwenye bidii katika ufundishaji. Special...
  13. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa vyama vya siasa, Serikali na Bunge acheni unafiki shule zote za Serikali ziwe English medium watoto wenu mbona wanasoma English Medium?

    Kuna maana gani viongozi wa Serikali, bunge na vyama vya siasa kusomesha watoto wao English medium schools halafu wanaacha watoto wa wengine wasome Swahili medium? Huu ni unafiki mkubwa. Badilisheni shule zote za Serikali ziwe English medium. Wanafiki wakubwa nyie msio na haya Hizi ndizo...
  14. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania How do you say it in English "Wako katika ujenzi wa taifa"?

    Msaada tafadhali wanabodi kama mjuavyo hiki kizungu kilikuja na meli, sie zetu mashua.
  15. Freightliner

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU pitieni Mkapa English Medium ya Mbeya imetawala rushwa

    Shule ya jiji la Mbeya iliyoko Mwanjelwa imetawaliwa na rushwa sana kipindi hiki ambacho watoto wanajindaa na kufanya usaili. Yaani mwalimu anakuambia kabisa ili mwanao apate nafasi nipe laki tano (500,000) bila hata kupepesa macho anasema hayo. Na anakwambia tuko wengi pale so tunahitaji pesa...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta English Proofreader haraka kwa ajili ya Dissertation yangu

    Naitwa Kapena. Nipo Dar es Salaam. Ni mwanafunzi wa Masters ambaye week ijayo natakiwa ku-submit Masters Thesis/Dissertation yangu for examination purposes. Hivyo, natafuta mtu anifanyie English proofreading ya document yangu. Nimejaribu kutumia Grammarly naona haitoshi. Nahitaji human...
  17. sungura23

    JamiiForums Tanzania Kazi/Ajira masaa ya ziada

    Habari Wana JF! Poleni kwa shughuli za kila siku za ujenzi wa taifa letu pendwa. Leo npo jukwaa hili nipate mawazo/maoni/ushauri wenu. Kwa sasa ninafanya kazi za sales kwenye kampuni moja ndogo hapa jijini Dar es Salaam. Ajira hii naitumikia kuanzia asubuhi saa 1 na hadi kufikia mchana saa 6...
Back
Top Bottom