Natoa 50,000 Kwa mwenye Movie za korean Drama au English Season,1TB kwenda mbele

Martin Kemosabe

Senior Member
Jan 28, 2020
168
78
Habari zenu wana jamvi,nimekuja kwenu kwa wale wapenzi wa series za kikorea na zile za English nahitaji movie ONLY SERIES nina external ya ukubwa wa 1TB = 931GB nahitaji ijazwe Series,najua tabu na shda ya ku download movie hasa series hiivyo basi nimekuja kwenu na ombi ambalo limeambatana na kiasi cha sh.50,000 kwa ataefanikisha kunipatia SERIES.

Nahitaji series aina moja,kama ukinitafuta uwe na Korean drama za 1TB or English 1TB sitaki kuchanganya,kwa hivyo kama una external umeijaza SERIES tu za English zilizofika 1TB karibu PM. AU kama una series DRAMA zilizofika 1TB karibu PM.

sio lazima uwe na drama + na english HAPANA wewe uwe na moja kati ya DRAMA na ENGLISH muhimu tu ziwe zimefika ujazo wa 1TB kwenda mbele.

OFA yangu kwa atakaenipa hizo movie ni 50,000.

suitskoreaduo.jpg


OR

shows.jpg


kwa walo serious KARIBU pm tubadilishane namba na tujue tunakutanaje,Location yangu mimi ni DAR-ES-SALAAM.

Kwa wale wanaohitaji single movie NINAZO zilizojaaa HARD DISK ya 6TB karibuni,wale wateja wa wholesale TU.

1TB naweka kwa 50,000
2TB naweka kwa 100,000

Na kuendelea lakini pa i do MOVIE EXCHANGING tunabadilishana,unanipa hii nakupa hiii i also do that kwa mlio interested,Exchanging is Free japo itakupasa uje OFISINI.
 
Kwa mwenye anashida ya Single Movies Latest From 2015 to Date karibu hizo ninazo za kutosha
 
ey kemosabe naona una changia mwenyewe uzi wako kama upo dar waone bob movies wapo sinza ama ingia instagram tafuta fahamu movies wapo magomeni pia ilala wape proposal iyo uka jichukulie ma series yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ey kemosabe naona una changia mwenyewe uzi wako kama upo dar waone bob movies wapo sinza ama ingia instagram tafuta fahamu movies wapo magomeni pia ilala wape proposal iyo uka jichukulie ma series yako

Sent using Jamii Forums mobile app
BOB MOVIES wana movie nyingi sina pa kuziweka,wale jamaa movie zao zipo zimejaa hard disk za 50TB kwenda mbele.
 
Nataka niwe napakua mwenyewe Korean series,je ni site gani ambayo inaweka hizo series nipakue for free charge?
 
Nataka niwe napakua mwenyewe Korean series,je ni site gani ambayo inaweka hizo series nipakue for free charge?
movie kupakua ni free,except kwa zile latest ambazo hazijaachiwa rasmi ila hizi zingine zingine ingia torrent sites utazikuta mfano wa moja wapo ni yts.mx
 
Back
Top Bottom