english

  1. Justdr

    JamiiForums Tanzania Vijana wamechaguliwa tena UDOM kusoma hizi kozi, washaurini kabla hawajaenda kupoteza muda

    Vijana wamechaguliwa tena UDOM kusoma hizi course Bachelor of Arts in English, Bachelor of Arts History, Bachelor of Arts Kiswahili😭😭😭 Ni huzuni kwa kweli. Kuna hizi za sayansi pia Bachelor of science in chemistry Bachelor of science in physics Bachelor of science in biology Mm siyo muandishi...
  2. P

    JamiiForums Tanzania English course Arusha

  3. nguvusimba

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa shule nzuri ya english medium iliyopo karibu na Mbezi Makabe

    Habari wanajamvi, naomba kujuzwa shule nzuri yenye nafasi ya kuhamia ya english medium iliyopo karibu na mbezi makabe. Ninataka kuwahamishia watoto wangu wawili, darasa la nne mwakani na darasa la pili. pia mdogo wao anatarajia kuanza chekechea ya watoto. Iwe na matokeo mazuri na malezi...
  4. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baadhi ya majina kutoka Kenya yameongezwa kwenye Oxford English dictionary

    Baadhi ya majina kutoka Kenya ambayo yameongezwa kwenye Oxford English dictionary ni pamoja na "chapo", "githeri", "mpango wa kando", "chang'aa" na kadhalika. Chapo, Githeri, Mpango Wa Kando Among Kenyan Words Added To Oxford Dictionary By Joseph Muia For Citizen Digital Published on: July 15...
  5. luangalila

    JamiiForums Tanzania Hili la Haji Manara kushangaa Meneja wa mchezaji kutojua English ni UTUMWA wa kifikra

    Wadau wa Sports mwanzoni mwa Juma hili tulishuhudia Yanga Sc kumuongezea mkataba mpya mchezaji wake Farid Mussa, Kuliitishwa Press conference na msemaji wao Bw.Haji Sunday Manara, na katika press hiyo pia ilitamkwa au alitangazwa manager mpya wa mchezaji Farid Mussa, ajabu sasa ikaja ambapo...
  6. adden

    JamiiForums Tanzania Broken english "THREAD"

    huu ni uzi maalum wa kuongea broken english tuu. yesterday i will went to home. delete me people will download😎 jazieni zingine
  7. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania George Clooney and Amal Alamuddin give us a peek into their $13 million English mansion

  8. kyagata

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuwasikia Millard Ayo au Maulid Kitenge wakiongea Kiingereza

    Hawa jamaa naona wana safari sana za kwenda nje, lakini sijawahi kuwasikia walau wakiongea hata sentence moja tu ya lugha ya kiingereza. Mahojiano wanayoyafanya huko nje huwa ni wanawahoji Watanzania wenzetu tu na lugha inayotumika ni kiswahili kama kawaida. Sasa nilitaka kujua huko nje...
  9. STUKA M1

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua tofauti ya English Gold & pure gold

    Wadau, hasa wale wa mambo ya urembo hv vitu viwili nimekuwa nikivisikia sana na mpaka leo sijajua utofauti mkubwa ni upi maana Kuna mama mmoja aliwahi kunionesha Pete zake 2 akanambia moja ni English Gold na nyingine na gold Ila nilizicheck yaaan zinafanana sana ung'aaji wake na vitu kibao...
  10. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Kiswahili and English Teachers at Dar es Salaam Independent School (DIS)

    DAR ES SALAAM INDEPENDENT SCHOOL (DIS) Registration Numbers S. 2544 and DS/02/7/037 English and Kiswahili Teachers We need very experienced ENGLISH and KISWAHILI Teachers to join our well established Middle School Team Immediately. English and Kiswahili Teachers Requirements Experience of...
  11. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wauguzi wa Kenya kupata darasa la "medical English" na kuajiriwa Uingereza

    Hawa ni waliofeli English Language Testing System (IELTS) ======= Kenyan nurses who failed English language tests required for immigration to the UK will be supported by the British government to learn ‘Medical English’, an envoy has said. “We are ready to assist Kenyan nurses learn medical...
  12. t138

    JamiiForums Tanzania Why do you learn English? Kwanini unajifunza Kiingereza?

    Please reply with the reason why you are learning ( or want to learn) English language. Jibu kwa kutoa sababu ya wewe kujifunza Kiingereza.
  13. R

    JamiiForums Tanzania Natoa huduma ya kutafsiri (English to German)

    Habari. Natoa huduma ya kutafsiri kutoka Kiingereza au Kiswahili kwenda Kijerumani.
  14. Mr Q

    JamiiForums Tanzania Squid Game English version?

    Vipi mnao fuatilia hii series je kuna vipande vya kingereza mnipi link nivipakue?
  15. Daktari wa Manchester

    JamiiForums Tanzania Tambua Tim zote katika English premier league nicknames zake

    Habar.. Kila team pale epl Ina nickname yake ..orodha za team zote na nickname zake 1.Liverpool( The reds)(Majogoo) 2.Mancity(The citizens) 3.chelsea(The blues🌐) 4.Manchester United(The red devil's🛑) mashetani wekundu 5.Everton👤(The toffees)blues 6.Brighton and have Albion(The seaguls,the...
  16. F

    JamiiForums Tanzania English - Swahili Idioms with their Meanings

    1. Nomadism in Afro is twofold bigger than local tourism. If nomadism in Afro is levied, the amount collected will be colossal than that of local tourism, Douglas Oriko Majwala, 2021. Afro must reckon, initiate and implement policy change on husbandry so that nomadism be considered as “Nomadic...
  17. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Halmashauri nyingine ziige hili la jiji la Mbeya kujenga English medium za Serikali

    Miaka ya 2000 mwanzoni jiji la Mbeya walijenga Shule ya Mkapa ambayo ni ya msingi lakini inafundisha kwa kiingereza, ada yake ni ndogo sana ukilinganisha na zile za private. Mpaka sasa wana shule 3 za aina hiyo na wana mpango wa kujenga zingine 3. Kwa sababu kuanzia sekondari masomo ni kwa...
  18. Gentleman96

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi english medium school

    Habari wakuu! Mimi ni MWALIMU wa shule za msingi na awali, Natafuta kazi kwenye shule hizo:- 1.nina DIPLOMA IN EARLY CHILDHOOD EDUCATION 2.nina CERTIFICATE IN INFORMATION AND COMMUNICATION TECHNOLOGY. 3.NI MWALIMU WA MZURI :- *GEOGRAPHY *KISWAHILI *ENGLISH *SCIENCE...
  19. A

    JamiiForums Tanzania Msaada: Namna ya kumsikiliza English native speaker wa kizungu

    Wadau wa lugha, Na Mimi bwana nimebahatika kupata kashahada fulani kutoka moja ya vyuo vyetu vikongwe. kwahiyo ka-english ka hapa na pale kakuombea maji huwa ninako. Masomo ya english secondary nilipa daraja B. Tatizo kuu langu ni moja; Ukiongea wewe kiingereza (mswahili mwenzangu) huniteti...
  20. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Maswali PART 1: Jipime uelewa kwa kujibu maswali haya (In English) ; kuwa mkweli usigoogle

    Chagua swali kisha jibu, nitapitia jibu lako kwa kuweka reaction ("thanks👍" ikiwa umepatia na " Wow😲" ikiwa umekosa). 1/ Which grows faster? A. Hair B. Finger C. Nails 2/ I have a dream A. Nelson Mandela B. Barrack Obama C. Martin Luther King Jr. 3/ In which...
Back
Top Bottom