Kupitia Jukwaa Tukufu,
Nawasilisha ushauri na maoni yangu kupendekeza kwa serikali ya Jamhuri wa Tanzania kujenga bwawa/lambo kubwa linalotokana na uvunaji wa maji ya mvua (rainfall water catchment dam).
katika eneo lolote litakalobainishwa na wataalamu kati ya wilaya za Kongwa, Chamwino na...
Ukiacha JWTZ taasisi inayomiliki ardhi kubwa katika mkoa wa DSM ni Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam, na kutokana na kuwa chuo hiki kimetoa wahadhiri mahiri wenye kuheshimika duniani ambao walikuwa busy kufundisha mpaka kusahau kujenga makwao ni muda sasa chuo kuwatengea sehemu ya malalo ya kudumu...
Wadau jf habari za humu ndani kuna eneo kigamboni linauzwa gezaulole lina ukubwa was heka 600 kwa wawekezaji au watu makampuni ya kupima viwanja na kuuza fursa hii au makumpuni makubwa kuweka kiwanda
Wadau wawekezaji tuna eneo geza ulole kigamboni linauzwa kwa heka kwa atayehitaji awe mwekezaji au mwananchi tu wa kawaida kuna heka zaidi ya 600/karibuni sana.
Nimeona hii nyumba na kutafakari. Kwa wale wapenzi wa ghorofahii ni plan ni ya bei nafuu. Juu Ina vyumba vitatu vya kulala a family bathroom.
Chini ina jiko, choo, sebule na dining. Katika kiwanja cha kawaida cha 1/4 eka unaweza kujenga hii nyumba na nyuma ukapata nafasi ya banda la kuku...
Habari wana JF.Nina hekari 2,000 za shamba maeneo ya mazinde wilaya ya korogwe mkoani Tanga.
Ninatumia heka 1,000 tu.Zimebakia heka 1,000 kwa mwekezaji yoyote wa kilimo aje.
Pembeni limepakana n mto ambao haujawahi kukauka maji.
Nauza 1,000,000 Kwa Heka 1.
DIRECTION YA SHAMBA LILIPO
Ukiwa...
bagamoyo
beach
bei
eneo
hasara
hoteli
inauzwa
karibu
kigamboni
kinauzwa
kiwanja
kubwa
kununua
mafuta
makazi
miti
mji
nauza
nyumba
pesa
plot
shamba
ujenzi
umri
uwekezaji
viwanja
wekeza
Nchi za Afrika zilizosaini mkataba wa African Continental Free Trade Area (AfCFTA) leo 1/1/2021 zinaanza kufanya Biashara bila vikwazo. Katika eneo la Afrika Mashariki ni Tanzania na Burundi pekee ambao hawamo katika Eneo Huru la Biashara, ina maana bidhaa za Kenya kwenda Rwanda au DRC...
Tsh. 180 MILLION NEG, KIFURU HALI YA HEWA, NJIA YA KUELEKEA MBEZI LOUS SUITABLE FOR, school, hospital, yard 🎁2 Acre SIZE🗞️Surveyed Area with beacon☎️0767264754/0739441351
Hello Jf
Binti wa kazi anatafutwa.
Sifa
1. Ajue kupika chapati
2. Awe na Lugha nzuri kwa wateja na mchangamfu
3. Ajue hesabu
4. Awe anajua kuhudumia vizuri
Kazi ni ya mama ntilie, kuuza supu na chapati
Mshahara ni 3000 kwa siku, nyongeza utajadiliana na boss wako.
Chakula utapata hapo hapo...
Hilo ndio swali langu kwani ninachokiona ni kupunguza kwa foleni katika eneo la mataa pale Ubungo ila mita chache kutoka hapo unakuta na foleni.
Kwa mfano, ukitoka Ubungo Interchange mida ya jioni hasa kuanzia saa moja kasoro usiku mpaka saa mbili, ukifika maeneo ya Mlimani City basi ni mwendo...
Niaje wadau, ni wapi Dar panafaa kwa biashara ya ufundi tajwa hapo juu kwa mtu anaenza na hana mtaji wa kukodi frem sehemu zilizochangamka kama Kariakoo na zinginezo?
Yaani namaanisha sehemu yenye idadi kubwa ya watu na bei ya frem iwe chini sana angalau isizidi elfu 50 kwa mwezi, msaada mimi...
NYUMBA NA ENEO LAKE LAUZWA...
TSh25,000,000
Dar es Salaam
Nyumba inapatikana TEGETA WAZO ENEO LA UWANJA WA PANGA...
Zipo nyumba mbili katika eneo moja...
Kubwa ni ya familia vyumba 3 na sebule,
Ndogo ni vyumba viwili.
Eneo ni takriban 20 kwa 20.
Eneo kama linavyoonekana kwenye picha halipo...
Wakuu,
Nina hoja fupi hapa, hivi mbona wakazi wengi wa Dar es salaam na miji mingine wanapenda kuhama usiku usiku tu? Mtu anatoka Keko anahamia Mbagala lazima atahamisha vitu usiku tu. Hivi kunani hapa? Wanaficha nini? Kwanini wasihame mchana au asubuhi?
Wakuu karibuni hapa mtujuze
Wasalaam wana jamvi.
Bila shaka kila Mtanzania aliyepata wasaha wa kupita jangwani atakubaliana nami na Watanzania wengine kuwa Jangwani kunahitaji suluhu nyingine na si kila leo kutoa mchanga na kuchimba mitaro kwa sababu hivyo vyote havijawahi kuwa suluhu kabisa pale Jangwani kwani kila leo...
Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu jamiiforums.
Ndugu zangu watanzania;
Dini ya Uislam iliwezaje kuenea kwa wingi "Sub Saharan Africa" ilhali waarabu hawakuwa na makoloni huku? Ni kupitia biashara pekee ama kuna njia nyingine za ziada zilitumika?
Orodha ifuatayo ni baadhi tu...
Katika hali ya mstuko, wadudu jamii ya nzige wamevamia mazao eneo la Sukita huko Tabata. Wameleta uharibifu kama wa kutafuna miti, mahindi na mboga za majani.
Wakazi wa eneo hilo wamesema kwamba nzige hao wamevamia eneo lenye kijani kibichi usiku wa kuamkia leo na muda unavyozidi kusogea eneo...
Wakuu,
Yapata takribani miaka 36 tangu waziri mkuu Edward Moringe Sokoine afariki kwa ajali ya gari huko Wami-Dakawa akitokea Dodoma baada ya kuahirisha bunge tarehe 12/4/1984 akielekea Jijini Dar Es Salaam. Eneo linalodaidaiwa ndipo ajali ilitokea baada ya gari alilokuwa akisafiria kugongana...
Msaada Jamvini natafuta frame ama eneo naloeza weka pub na restaurant...Dar es salaam Sinza mwenge Survey itapendeza....au hata mawasiliano 300k bajeti
Wakuu,
Hili ni bandiko la Pendekezo,
1. Inapendekezwa kwamba mtu yeyote atakayejitathimini kuwa na nafasi ya kugombea uongozi wa kisiasa itamkwe kwenye katiba na sheria husika ni sharti apimwe afya ya akili na cheti cha uthibitisho kitolewe na kuambatanishwa kwenye fomu ya maombi ya nafasi ya...
Eneo lipo vigwanza njia ya kwenda bandari kavu kwala,zipo eka mbili,Kila eka moja milioni tatu,mita chache kutoka barabara ya kwenda bandarini,linafaa kwa makazi,kuweka godown kwa ajili ya mizigo inayotoka bandarini,kiwanda n.k
Mawasiliano: 0693786080
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.