Maelfu ya nzige yavamia mazao Tabata Sukita

mwanamwana

JF-Expert Member
Aug 1, 2011
1,076
4,113
Katika hali ya mstuko, wadudu jamii ya nzige wamevamia mazao eneo la Sukita huko Tabata. Wameleta uharibifu kama wa kutafuna miti, mahindi na mboga za majani.

Wakazi wa eneo hilo wamesema kwamba nzige hao wamevamia eneo lenye kijani kibichi usiku wa kuamkia leo na muda unavyozidi kusogea eneo hilo linazidi kubadilika kutokana na uharibifu wa nzige hao.

Pia wameiomba Wizara husika kuangalia namna ya kuangamiza wadudu hao hatari kabla hawajaleta dhahama kubwa zaidi.

Kuna Watu wanatutegea kwenye swala zima la Uzalendo,hao Wadudu wamepitia wapi hadi wakaibukia hapo Tabata!? Mamlaka husika ziingie kazini haraka sana,ili tuwajuwe wasaliti!!
 
Katika hali ya mstuko, wadudu jamii ya nzige wamevamia mazao eneo la Sukita huko Tabata. Wameleta uharibifu kama wa kutafuna miti, mahindi na mboga za majani.

Wakazi wa eneo hilo wamesema kwamba nzige hao wamevamia eneo lenye kijani kibichi usiku wa kuamkia leo na muda unavyozidi kusogea eneo hilo linazidi kubadilika kutokana na uharibifu wa nzige hao.

Pia wameiomba Wizara husika kuangalia namna ya kuangamiza wadudu hao hatari kabla hawajaleta dhahama kubwa zaidi.

Kuna haki za wadudu, dunia siyo yetu peke yetu hii. Wangetenga maeneo ya kucheza na kuishi wadudu.
 
Mkuu mimi mwenyewe wewe ndo umenifumbua macho sikujua kuwa nzige ndo panzi hawa hawa ninaowajua.
Nzige ni panzi waliochangamka, ni kama wamevuta bangi wanakula chochote kilichoko mbele yao
1-s2.0-S0022191013001881-fx1.jpg
 
Back
Top Bottom