Eneo linauzwa au uwekezaji gezaulole Kigamboni lina heka 600

ommytk

JF-Expert Member
Jul 30, 2015
482
1,053
Wadau jf habari za humu ndani kuna eneo kigamboni linauzwa gezaulole lina ukubwa was heka 600 kwa wawekezaji au watu makampuni ya kupima viwanja na kuuza fursa hii au makumpuni makubwa kuweka kiwanda
IMG-20210111-WA0038.jpg
 
Naomba kujua exactly umbali kutoka ferry ni km ngapi ? Barabara kufika hapo ipo umbali gani ?
Kutoka ferry ni km 14 hivi na pia kutoka barabara ya lami mpk kufika eneo husika ni km 1 pia barabara za kawaida zipo mpk kwenye eneo zipo tofauti
 
Wadau jf habari za humu ndani kuna eneo kigamboni linauzwa gezaulole lina ukubwa was heka 600 kwa wawekezaji au watu makampuni ya kupima viwanja na kuuza fursa hii au makumpuni makubwa kuweka kiwanda
View attachment 1675313
Heka 600 ni sawa sawa na 1km, hicho nikijiji kabisa, mtu mwenye uwezo wakumiliki kijiji iko wapi kwa tz ya Meko hi, mtu awekeze, kesho anyang'nywe usalama wa pesa za watu ni mdogò.
 
Unaweza kununua ukakata viwanja na kuunza kufanya biashara kidogo kidogo
 
Wadau jf habari za humu ndani kuna eneo kigamboni linauzwa gezaulole lina ukubwa was heka 600 kwa wawekezaji au watu makampuni ya kupima viwanja na kuuza fursa hii au makumpuni makubwa kuweka kiwanda
Huku kumenoga zaidi:
1610456997894.png
 
Back
Top Bottom