Wana JF
Ukisikia mbunge kukosa meno kwa kile kilichoamuliwa na serikali ndio hiki. Tarehe 22 juzi Gwajima Boy alifika kushuhudia nyumba zikivunjwa kwa wale wote waliojenga mabondeni, risasi zililindima kama tupo Kandahar, vilio vilitawala kwa akina mama na baba wakina mabangaloo yakiangishwa...
Kwanza pongezi kwa serikali kwa kutenga maeneo ya wafanya biashara ndogo ndogo maarufu kama machinga na kuendesha zoezi kuwaondoa maeneo ambayo sio maalum na kuwapeleka maeno maalum kwa biashara zao.
Cha kusikikitsha kuna ambao sio waungwana wamerudi tena sasa weka hapa eneo mtaa wilaya na mkoa...
Nimemuona Mhe. Nape akichangia hoja yake kwenye Bunge letu la Jamhuri ya Tanzania kuwa kupisha ujenzi wa mradi wa umeme wa Mwalimu Nyerere kunahitajika kukatwa miti takriban 4.3.
Akazidi kuelezea kuwa eneo linalotakiwa kukatwa miti hiyo ni sawa na eneo lote la Dar es Salaam au eneo lote la...
13 November 2021
MACHINGA WAVAMIA ENEO LA KANISA BAADA YA KUHAMISHWA, TAHARUKI KUBWA YAIBUKA
Mgogoro mkubwa umeibuka kati ya Kanisa la Orthodox lililopo Mbuyuni, Salasala jijini Dar es Salaam na wafanyabiashara ndogondogo wa eneo hilo maarufu kama wamachinga, ambapo uongozi wa kanisa hilo...
Wadau habari zenu !
Kila nikipita pale eneo la Urafiki zile flats pale zimesheni ofisi za makampuni ya mabasi mbalimbali, lile eneo naona ni eneo zuri na endapo NHC kama watajenga apartments (maghorofa) na maeneo ya ofisi hakika NHC watapiga sana pesa, pale ni hot cake sanaa, au yale...
Machinga wa Arusha wanajengewa sehemu ya biashara baada ya kuondolewa maeneo yasiyo rasmi. Hata kama hatumpendi Rais Samia kwa hili tumpongeze sana tu. Uongozi siyo maguvu, kelele na matusi bali mipango tu
Kuanzia roundabout ya Uhuru hizo shule zote napendekaza ziondolewe zitafutiwe eneo lingine lipishe wamachinga walioratibiwa.
Kiwanda cha bia hakina sababu ya kukaa katikati ya jiji, kiamishwe kipishe wafanyabiashara.
Maeneo hayo yajengwe majengo simple ya kisasa yenye vizimba vya kimkakati...
Nimekuwa nikifuatilia sakata la kuondolewa wamachinga katikati ya miji ili kuwapeleka maeneo maalum pembezoni ya mji. Ni hadithi inayonifanya kucheka sana kila nikiisikia. Kwanza ni jambo lisilowezekana kwa 90% na pili ni hadithi inayojirudia mara kwa mara. Serikali inaweza kuwaondoa wamachinga...
Eneo la ekari moja linauzwa Kerege Wilaya ya Bagamoyo
Eneo ni tambarare na lipo 2.5 km kutoka barabara kuu ya Bagamoyo
Limezunguushiwa fence ya seng'enge
Bei 35milion(maongezi yapo)
Habari wadau,
Ni siku yapili Leo Taliban wanajaribu kuingia kwenye eneo ambalo ndio jumbo pekee ambali hawajafanikiwa kulimiliki hili ila wanakutana na kipondo toka kwa hawa jamaa wenye asili ya Tajikistan.
Miaka yote wamekuwa wakipata taabu sana eneo hili, hawa wa panjshri wanawasubiri...
Habari wadau!
Binafsi sio muangaliaji wa hizo picha wala video huko nilishapita zamani na nimeoa nina familia ila mara moja moja huwa naingiaga ili kufanya review ya mapigo mapya ya kupractice katika yalee mambo yetu ya mshedede.
Nasikia S/kali imezuia hii mitandao ya XXX binafsi nipo na...
Natafuta mwanamke anaeweza kutumia kompyuta kwa ajili ya kufanya kazi ya kuingiza nyimbo kwa wateja,Mwanamke wa umri wowote anaeweza kutumia kompyuta.
najua si rahisi au yawezekana haujawahi kabisa kufanya hiyo kazi ila usijali utafundishwa na mwanamke mwenzako anaefanya kazi hiyo hiyo,kama...
Msongamano wa vibanda vya wafanyabiashara wadogo maarufu machinga hadi kuziba eneo la waenda kwa miguu katika eneo la Mbezi Mwisho, Manispaa ya Ubungo, mkoani Dar es Salaam, kitendo kinachosababisha usumbufu kwa wapita njia na vyombo vya moto.
PICHA: SABATO KASIKA
Chanzo: Nipashe.
Kwa wanaoifahamu Dodoma, bila shaka watakuwa wanaelewa eneo hilo la Jeshi ambalo ni pori kubwa na sasa linageuka pori katika ya Jiji la Dodoma baada ya mji huu kuendelezwa kama Makao Makuu ya Nchi.
Kwa sasa, eneo hilo la Jeshi, linakuwa pori linalotenganisha makazi ya watu baada ya viwanja...
Kesi ya Mgogoro wa Ardhi baina ya Kanisa la Christ Synagogue Ministries lililopo Sakina jijini Arusha na wasimamizi wa mirathi Bernadette Changuru na Samweli Changuru inatarajia kuanza kusikilizwa Desemba 6, mwaka huu.
Shauri hilo namba 57/2021 linasikikizwa na Baraza la Ardhi na Nyumba wilaya...
Wakuu habar zenu
natafuta mtu wa ku-share anaye eneo la kufanyia biashara
mm binafsi sina uwezo wa kukod fremu ya biashara na nikalipia pekeyangu
sasa naomba kama kuna mtu ana fremu ya biashara na yuko tayali ku-share basi itakuwa vizur
biashara nayotaka kufanya ni ya TIGO PESA, MPESA kwa...
Mh Waziri wa Ardhi tupia jicho lako katika Wilaya ya Simanjiro kwani kuna dalili zote kuwa kuna siasa imeingizwa kwenye utengaji wa eneo la kilimo na ufugaji.
Suala la kutenga eneo la ufugaji na kilimo ili kuondoa migogoro baina ya wakulima na wafugaji lakini kuna watendaji wasio na maadili...
Itakuwa kazi bure kuwekeza sana kwenye timu za ligi luu bila kuangalia pia eneo la waamuzi ubora wa ligi.
Maamuzi mabaya viwanjani yanatia karaha watizamaji wa mpira. Kuna watu wasiopenda karaha wanaoamua wasiangalie kabisa mechi za ligi kuu zenye makosa makubwa ya wazi na makusudi ya waamuzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.