eneo

  1. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa bei ya Iliki ya kijan (Green cardamom) na eneo

    Habari ya asubuhi wakuu. Naomba kujuzwa eneo ninayoweza kupata iliki na bei kwa kilo. Iliki hiyo, iwe ni ya kijani, yaani imekaushwa pasipo kupoteza rangi yake. Natanguliza shukrani.
  2. JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata eneo zuri la biashara ya uwakala wa benki Iringa Mjini

    Habari zenu wakuu, msaada wa eneo zuri kwa ajili ya kufanya biashara ya uwakala wa benki kwa hapa Iringa Mjini. Kama wanaoufahamu mji vizuri ni wapi naweza pata eneo na pakavutia hii biashara. Asante. PM iko wazi pia!!
  3. JamiiForums Tanzania Kuna haja gani kuleta nguzo mpya za umeme za zege katika eneo lenye mgogoro wa ardhi?

    Kuna haja gani kuleta nguzo mpya za umeme za zege katika eneo lenya mgogoro wa ardhi takribani miaka 23 baina ya uwanja wa ndege (JNIA) na wakazi wa kipunguni (DSM). Je, Tanesco Hawaoni watapata hasara endapo wataanza kubomoa? Naomba kueleweshwa, na kuelimishwa. Asante.
  4. JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima ashindwa kuzuia bomoa bomoa nyumba zilizojengwa bondeni Bunju, Mbweni eneo la mto Mpiji aishia kulaani tu

    Wana JF Ukisikia mbunge kukosa meno kwa kile kilichoamuliwa na serikali ndio hiki. Tarehe 22 juzi Gwajima Boy alifika kushuhudia nyumba zikivunjwa kwa wale wote waliojenga mabondeni, risasi zililindima kama tupo Kandahar, vilio vilitawala kwa akina mama na baba wakina mabangaloo yakiangishwa...
  5. JamiiForums Tanzania Ni maeneo yapi ambapo wamachinga wamerudi baada kuondolewa?

    Kwanza pongezi kwa serikali kwa kutenga maeneo ya wafanya biashara ndogo ndogo maarufu kama machinga na kuendesha zoezi kuwaondoa maeneo ambayo sio maalum na kuwapeleka maeno maalum kwa biashara zao. Cha kusikikitsha kuna ambao sio waungwana wamerudi tena sasa weka hapa eneo mtaa wilaya na mkoa...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Takribani miti milioni 3.5 ilikatwa kupisha ujenzi wa Umeme JNHP (Stieglers)

    Nimemuona Mhe. Nape akichangia hoja yake kwenye Bunge letu la Jamhuri ya Tanzania kuwa kupisha ujenzi wa mradi wa umeme wa Mwalimu Nyerere kunahitajika kukatwa miti takriban 4.3. Akazidi kuelezea kuwa eneo linalotakiwa kukatwa miti hiyo ni sawa na eneo lote la Dar es Salaam au eneo lote la...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Machinga wavamia eneo la Kanisa Dar es Salaam

    13 November 2021 MACHINGA WAVAMIA ENEO LA KANISA BAADA YA KUHAMISHWA, TAHARUKI KUBWA YAIBUKA Mgogoro mkubwa umeibuka kati ya Kanisa la Orthodox lililopo Mbuyuni, Salasala jijini Dar es Salaam na wafanyabiashara ndogondogo wa eneo hilo maarufu kama wamachinga, ambapo uongozi wa kanisa hilo...
  8. JamiiForums Tanzania USHAURI: NHC kwanini msiboreshe pale Urafiki mkajenga apartments? Ni eneo zuri kibiashara

    Wadau habari zenu ! Kila nikipita pale eneo la Urafiki zile flats pale zimesheni ofisi za makampuni ya mabasi mbalimbali, lile eneo naona ni eneo zuri na endapo NHC kama watajenga apartments (maghorofa) na maeneo ya ofisi hakika NHC watapiga sana pesa, pale ni hot cake sanaa, au yale...
  9. JamiiForums Tanzania RC Mongella, Hongera kwa Kuwajengea Machinga Eneo la Biashara

    Machinga wa Arusha wanajengewa sehemu ya biashara baada ya kuondolewa maeneo yasiyo rasmi. Hata kama hatumpendi Rais Samia kwa hili tumpongeze sana tu. Uongozi siyo maguvu, kelele na matusi bali mipango tu
  10. JamiiForums Tanzania Mapendekezo: Shule ya za Sekondari Benjamin, Msingi Uhuru na Kiwanda cha Bia zihamishwe Kariakoo waachiwe wamachinga hilo eneo

    Kuanzia roundabout ya Uhuru hizo shule zote napendekaza ziondolewe zitafutiwe eneo lingine lipishe wamachinga walioratibiwa. Kiwanda cha bia hakina sababu ya kukaa katikati ya jiji, kiamishwe kipishe wafanyabiashara. Maeneo hayo yajengwe majengo simple ya kisasa yenye vizimba vya kimkakati...
  11. JamiiForums Tanzania Unawezaje kumtoa machinga katikati ya mji halafu akakae nje ya mji?

    Nimekuwa nikifuatilia sakata la kuondolewa wamachinga katikati ya miji ili kuwapeleka maeneo maalum pembezoni ya mji. Ni hadithi inayonifanya kucheka sana kila nikiisikia. Kwanza ni jambo lisilowezekana kwa 90% na pili ni hadithi inayojirudia mara kwa mara. Serikali inaweza kuwaondoa wamachinga...
  12. JamiiForums Tanzania Muonekano wa sehemu ya jiji la Dar es Salaam baada ya machinga kupangwa katika maeneo mapya

  13. S

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Eneo la acre1 linauzwa Kerege.

    Eneo la ekari moja linauzwa Kerege Wilaya ya Bagamoyo Eneo ni tambarare na lipo 2.5 km kutoka barabara kuu ya Bagamoyo Limezunguushiwa fence ya seng'enge Bei 35milion(maongezi yapo)
  14. JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba kufahamu zilipo Ofisi ya Mipango Miji Wilaya ya Ilala

    Wana JF Nataraji mpo salama na familia zenu. Naomba kufahamu zilipo ofisi ya Mipango Miji Wilaya ya Ilala Shukrani
  15. M

    JamiiForums Tanzania Panjishri Valley, eneo linalowatoa jasho Taliban

    Habari wadau, Ni siku yapili Leo Taliban wanajaribu kuingia kwenye eneo ambalo ndio jumbo pekee ambali hawajafanikiwa kulimiliki hili ila wanakutana na kipondo toka kwa hawa jamaa wenye asili ya Tajikistan. Miaka yote wamekuwa wakipata taabu sana eneo hili, hawa wa panjshri wanawasubiri...
  16. JamiiForums Tanzania Serikali kuzuia website za XXX ni kuingilia uhuru wa wananchi wake

    Habari wadau! Binafsi sio muangaliaji wa hizo picha wala video huko nilishapita zamani na nimeoa nina familia ila mara moja moja huwa naingiaga ili kufanya review ya mapigo mapya ya kupractice katika yalee mambo yetu ya mshedede. Nasikia S/kali imezuia hii mitandao ya XXX binafsi nipo na...
  17. JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi kwa mwanamke, eneo Mbezi Mwisho...

    Natafuta mwanamke anaeweza kutumia kompyuta kwa ajili ya kufanya kazi ya kuingiza nyimbo kwa wateja,Mwanamke wa umri wowote anaeweza kutumia kompyuta. najua si rahisi au yawezekana haujawahi kabisa kufanya hiyo kazi ila usijali utafundishwa na mwanamke mwenzako anaefanya kazi hiyo hiyo,kama...
  18. JamiiForums Tanzania Kero: Msongamano wa vibanda vya machinga Mbezi Mwisho unaziba maeneo ya waenda kwa miguu

    Msongamano wa vibanda vya wafanyabiashara wadogo maarufu machinga hadi kuziba eneo la waenda kwa miguu katika eneo la Mbezi Mwisho, Manispaa ya Ubungo, mkoani Dar es Salaam, kitendo kinachosababisha usumbufu kwa wapita njia na vyombo vya moto. PICHA: SABATO KASIKA Chanzo: Nipashe.
  19. S

    JamiiForums Tanzania Eneo kubwa la Pori la Jeshi kuanzia Nzuguni mpaka Mji wa Serikali Dodoma, kunaharibu mandhari ya Jiji la Dodoma

    Kwa wanaoifahamu Dodoma, bila shaka watakuwa wanaelewa eneo hilo la Jeshi ambalo ni pori kubwa na sasa linageuka pori katika ya Jiji la Dodoma baada ya mji huu kuendelezwa kama Makao Makuu ya Nchi. Kwa sasa, eneo hilo la Jeshi, linakuwa pori linalotenganisha makazi ya watu baada ya viwanja...
  20. JamiiForums Tanzania Arusha: Kanisa lashitakiwa kwa tuhuma za utapeli wa eneo

    Kesi ya Mgogoro wa Ardhi baina ya Kanisa la Christ Synagogue Ministries lililopo Sakina jijini Arusha na wasimamizi wa mirathi Bernadette Changuru na Samweli Changuru inatarajia kuanza kusikilizwa Desemba 6, mwaka huu. Shauri hilo namba 57/2021 linasikikizwa na Baraza la Ardhi na Nyumba wilaya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…