eneo

  1. Rashda Zunde

    JamiiForums Tanzania SABABU ZA KUHIFADHI ENEO LA KILOMITA 1500

    Eneo la kilomita 1500 ni muhimu sana kwa ikolojia ya Hifadhi ya Serengeti na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro. Eneo hilo ni mazalia ya wanyamapori, vyanzo vya maji kwa ajili ya ikolojia ya Serengeti, Mapitio ya wanyamapori wahamao kutoka Serengeti na Ngorongoro kwenda na kutoka Masai Mara-...
  2. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Tanzania Yatangaza Operesheni Maalum kuondoa Wahamiaji haramu eneo la Ngorongoro na Loliondo

    Hongera sana Rais wangu mahiri Samia Suluhu Hassan Huu ndo mwendo wa kwenda nao hawa wapuuzi wote wa Kenya. Lazima sasa wajue waliokuwa wanamuona kama The Sleeping Giant, ameamka rasmi Sasa tunawaonyesha kwa jinsi gani tunalinda maslahi mapana ya Tanzania --- Kamishna Jenerali wa Jeshi la...
  3. EINSTEIN112

    JamiiForums Tanzania Maafisa wa Luhansk wamesema kuwa vikosi vya Urusi vimeingia katika eneo la viwanda la Sievierodonetsk baada ya kuanzisha mashambulizi makubwa

    Akizungumza Jumanne, Meya wa Mji wa Luhansk, Serhiy Haidai amesema mapigano yanaendelea katika eneo la mashariki wakati ambapo vikosi vya Urusi vinajipanga upya baada ya kuongeza shinikizo na kusonga mbele kwenye miji miwili. Haidai amesema kiwanda cha kemikali cha Azot ndiyo pekee katika eneo...
  4. EINSTEIN112

    JamiiForums Tanzania Mzozo wa Ukraine: Kaliningrad, eneo la Urusi ndani ya Ulaya ambalo sasa litazungukwa na nchi za NATO

    Kufuatia uvamizi wa kijeshi wa Urusi nchini Ukraine, nchi mbili za nchi za Skandinavia yaani Nordic zisizoegemea upande wowote, Finland na Sweden, zilibadili sera zao na kuomba kujiunga na muungano wa kijeshi wa NATO. Kwa baadhi ya wachambuzi, uamuzi wa Finland na Uswidi ni "janga" kwa Moscow...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Inawezekanaje TANESCO kuweka nguzo kwenye eneo la mtu bila mwenye eneo kushirikishwa?

    Wakuu kwanza poleni na majukumu,ninaomba kujuzwa kitendo kilichofanywa na tanesco magomeni kama Kiko sahihi au si sahihi. Kuna mtu walikuwa wakimuunganishia umeme lakini bila kujari au kumshirikisha mwenye eneo kama mahali waliposimika nguzo ni sahihi au laah wao wakachomeka nguzo ambayo...
  6. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Haiingii akilini Serikali kupendekeza kuanzisha tozo ya ving'amuzi wakati kuna mapato yanapotea eneo la uvuvi wa bahari kuu. Huu ni uonevu usiofaa

    Bila hata aibu waziri mwenye Phd ya uchumi anapendekeza kuwa kuwe na ada ya ving'amuzi. Yaani unawakamua wananchi ambao nao wanalipia kupata matangazo ya TV kwa tabu hii ni akili mbovu na unyama usiofaa. Kwa nini tusidhibiti makampuni ya kigeni yanayoiba mapato ya taifa letu kwa kukwepa kodi...
  7. Suley2019

    JamiiForums Tanzania TEMESA wakubaliana na Azam Marine kuvusha abiria Kigamboni (Ferry)

    Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) unapenda kuujulisha umma kuwa umefikia makubaliano na kampuni ya Azam marine kutoa huduma ya kuvusha abiria baina ya Magogoni na Kigamboni ili kuendelea kuwapa wananchi huduma ya uhakika wakati huu Wakala ukiendelea kufanyia matengenezo vivuko vyake...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Zelensky: Urusi wameshatawala 20% ya eneo la Ukraine

    Rais wa Ukrainee, Volodymyr Zelensky amesema majeshi ya Urusi yanashikilia asilimia 20 ya ardhi ya Ukraine wakati mapigano yakiendelea. Zelensky amesema hayo wakati akihutubia Bunge la Luxembourg kwa njia ya mtandao Juni 2, 2022. Hii ni mara yake ya kwanza kutoa kauli hiyo tangu kuanza kwa...
  9. tovuti website

    JamiiForums Tanzania SOLD: Eneo Lenye Pagale Mbili linauzwa-Boma Ng'ombe

    Eneo lenye Pagale Mbili Linauzwa Eneo Lipo Boma Ng'ombe kwa Wasomali.KM 1 kutoka barabara kuu ya Moshi Arusha. Eneo lina Pagale Mbili Moja Self ya Vyumba 3 na NYingine in ni Double yenye Master Room. Bei ya Eneo ni Milioni 18 ila Maongezi yapo. Kwa mawasiliano Piga Simu nama 0757323060.
  10. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Nimefanikiwa kuwauzia kanisa na msikiti eneo moja

    Sio kwamba nimefanya utapeli wa kuuza eneo moja mara mbili, la hasha. Nilikuwa na eneo dogo nimeligawa mara mbili upande mmoja nimewauzia waislamu upande mwingine wamechukua kanisa, nimefanya hivyo bila mmoja kujua taarifa za mwenzake. Wote wamedai wanajenga nyumba za ibada. Ni wakati sahihi wa...
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Mfamasia wa Wilaya apewe majukumu ya kusimamia pharmacy kwenye eneo lake. Tuache kubandika vyeti vya wafamasia kwenye maduka, siyo cctv camera

    Nataka kujua cheti cha mfamasia kinaruhusiwa kubandikwa kwenye pharmacy ngapi ndani ya wilaya anakoishi? Maana kama kinaweza kubandikwa ndani ya pharmacy zaidi ya moja basi haina maana kabisa. Kama kinaweza kubandikwa ndani ya pharmacy zaidi ya moja kwa maana ya kuzisimamia, kazi hii angepewa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Dkt. Koboko tosheka na majukumu ya Udaktari, mwache Mfamasia kwenye eneo lake la madawa

    Inabidi tuseme wazi bila kupepesa macho!! Tatizo la Dr Koboko ni kuwa anaona kula kwa kadri ya urefu wa kamba ya udaktari tu haitoshi! anataka aunganishe na ile ya ufamasia!! Sababu yake ni kuwa eti kwa sababu anaweza kutoa dawa pharmacy bila mgonjwa kuwa na prescription Hataki mfamasia atoe...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Eneo la Biashara ya chakula linatafutwa Dar es Salaam

    Habari! Linatafutwa eneo katika mkoa wa Dar es salaam kwa ajili ya kuweka biashara ya Restaurant. Eneo liwe na population nzuri,watu wa kipato cha kati na juu na linalofikika kwa urahisi. Sehemu yeyote katika mkoa wa Dar es salaam itafaa ili mradi kuwe na potential ya biashara hiyo. Kama...
  14. Sumasuma

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Eneo Heka mbili - linauzwa Bagamoyo

    Eneo linauzwa Heka mbili zote kwa Tzs. 16,000 ,000 Mahali: Eneo lipo km 4 kutoka Barabara kuu ya Bagamoyo, ukitokea bunju Ni upande wa kushoto kabla hujafika Bagamoyo mjini . Lipo karibu na shule ya msingi MATAYA . Eneo Lina Michungwa na minazi Unaweza Shuka Kitopeni au Kibaoni kabla ya...
  15. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Hili ni soko la eneo gani?

    Wakuu wa JF, hapa ni soko gani kwa uzoefu wenu? Miaka 60 baada ya Uhuru
  16. wadray

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kubadili eneo la biashara

    Habari ndugu zanguni, naombeni msaaada wa kiufahamu hivi ikiwa unataka kuhamisha biashara yako kutoka mtaa mmoja kwenda mtaa mwingine lakini biashara ni ileile na ni ndani ya wilaya na mkoa huohuo, Je kuna haja ya kwenda TRA na HALMASHAURI kwa ajili ya kubadili location ya biashara au unasubiri...
  17. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha vita ya Israel na Palestina na ni nani mmiliki halali wa eneo hilo

    Hakuna mji wowote duniani ambao umekuwa ni mji wenye umuhimu sana kwa watu wengi kama ulivyo mji wa Jerusalem. Mji wa Jerusalem ni mji ambao una umuhimu kwa Wayahudi, Wakristo na Waislamu. Mji wa Jerusalem unajulikana kama mji wa amani lakini Jerusalem ya leo n ahata kihistoria haujawahi kuwa...
  18. MoseKing

    JamiiForums Tanzania Ni nini huwa kinapelekea eneo fulani kujikuta limekuwa na Makazi ya Kishua (wealthy neighbourhoods)?

    Nimejaribu kufikiri lakini sijapata majibu. Je, suala hili Ni coincidence au Kuna kuambizana? Mfano kwa Dar es Salaam, maeneo Kama Masaki, Oysterbay, Mikocheni, Upanga, Mbweni, Msasani, Kijichi. Je, haya maeneo huwa inakuwaje unashangaa watu wenye uwezo kiuchumi KUJENGA sana Mitaa hiyo kwa...
  19. chiembe

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina kudaiwa kudhulumu ardhi ya Kijiji ekari 1000 Morogoro, Wizara ya Ardhi iingilie kati

    Serikali ndio mtetezi wa wanyonge dhidi ya matapeli papa wanaodhulumu wanakijiji ardhi yao, hawa ndio wanazua migogoro mikubwa sana kati ya wananchi, na kati ya serikali na wananchi. Nashauri wizara ya ardhi iunde timu ikachunguze na Kisha ichukue hatua ya kurudisha ardhi hiyo kwa wanakijiji...
  20. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Ukraine: Gavana wa Chernihiv asema Russia haijalegeza mashambulizi licha ya ahadi ya kupunguza mashambulizi

    Gavana, Viacheslav Chaus, alitumia programu ya kutuma ujumbe ya Telegram kukashifu ahadi ya Urusi. "Urusi yaanzisha mashambulizi mapya baada ya ahadi ya amani, Tunaamini ndani yake? Bila shaka sivyo," alisema, akiongeza Urusi ilikuwa imeshambulia Chernihiv "usiku kucha". Siku ya Jumanne, Urusi...
Back
Top Bottom