Ili mahusiano yawe imara mwanaume lazima awe juu ya mwanamke katika kila nyanja, kiumri, kiuchumi, kielimu nk. Hawa wanawake walikusudiwa na Mungu wawe chini tena chini kabisa ndio wanakua na heshima kwa mume na atomatic mume atampenda mkewe na wataishi kwa furaha na amani TELE.
Hakuna watu...
Mimi Taaluma yangu ni mhandisi ambaye nilipenda sana somo la fizikia enzi nikiwa shuleni.
Nimejaribu kurejea mambo wanayofundishwa watoto wetu nikashangaa kuna upotoshaji mkubwa.
Mfano:
NECTA FORM 2 ya mwaka 2019 kwenye Section A, swali la 1, (i) ameuliza ifuatavyo
(i). Why Physics...
Mtakua mmeshuhudia kwamba kuna shule karibia asilimia 90 wamepata 1.7, means karibia darasa zima kila mtoto ana A masomo yote.
Nimejiuliza maswali kadhaa nimekosa majibu:
1. Je, zamani tulikua vilaza? Kiasi kwamba nchi nzima div. 1 point 7 unakuta hazifiki hata 20, na utazikuta chache Ilboru...
Leo hii siku ya kufungua shule, Shule ya Olympio Upanga, Dar zaidi ya nusu ya wanafunzi wamerudishwa majumbani kwa kutokwenda na ada.
Wameambiwa lazima waende na angalau laki mbili ndiyo wataruhusiwa kusoma.
Je, hii si shule ya Serikali, au?
Kwa miaka kadhaa sasa baraza la mitihani ya taifa linatoa matokeo ya kidato cha pili kwa kutumia mfumo wa division tofauti na ule wa miaka ya nyuma wa wastani.Hii tasfiri yake kuwa mwanafunzi akiwa amepata D mbili na F saba au 9 basi anakuwa amefaulu kuendelea na kidato cha tatu na hatimae kuja...
MBUNGE wa Jimbo la Kisesa, Mhe. Luhaga Joelson Mpina amechukua fomu ya kuwania nafasi ya Spika wa Bunge katika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar huku akibainisha kuwa kwa sasa wananchi wanahitaji Spika imara, jasiri na mwenye weledi asiyeyumba wala kuyumbishwa na mtu yoyote katika kuusimia...
Habari wadau.
Video ya wanafunzi wa shule ya serikali Kenya waki have fun kucheza wimbo wa jerusalem
Binafsi nimeitizama sijavutiwa na style za kucheza. Bali mazingira ya shule yenyewe kuanzia madarasa, church la shule, viwanja vya michezo etc etc. Ni shule ya serikali kama ilivyo mzumbe...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda amesema atatumia wataalam wa elimu walipo ndani na nje ya wizara ili kuwa na maamuzi yenye tija kwa nchi.
Waziri Mkenda amesema hayo leo Januari 13, 2022 jijini Dodoma wakati akikabidhiwa ofisi na aliyekuwa Waziri wa Wizara hiyo...
Hakuna kiongozi wa wizara ya Elimu (hawa wapya) anayefahamu matatizo ya elimu yetu. Elimu yetu inaweza kufa kabisa. Soon, very soon, Presdent Samia atafanya mabadiliko tena. Kule ardhi mama ameshauriwa vibaya. Lukuvi anaweza kutolewa na ardhi isiyumbe. Ila katibu mkuu wake, yule Mary, hakutakiwa...
Prof. Adolf Mkenda Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia amewataka Wafanyakazi wote kufanya kazi kwa ujasiri bila Uoga, Kwa utii Uaminifu na Uadilifu, Wasifanye kazi kwa nidhamu ya Uoga. Ameyasema hayo leo 10 Jan 2022 Jijini dodoma alipofika Ofisini kwake baada ya kuapishwa ma Rais Samia...
hii wizara inaitaji MTU mzoefu na mfuatiliaji kwelikweli..kumpa ndugu Bashungwa ni kama kumtega kwa Bomu dizaini ya lile la Hiroshima na Nagasaki...
MTU aliyekuwa wizara ya burudani umuweke Tamisemi..
anyway ngoja nijiandae kwenda kuuza supu ya makongoro muda umefika.!
Kundi hili limekuwa likisahaulika sana kupewa elimu juu ya maambukizi yanavyoweza kuambukiza kwa njia ya kushirikiana vitu vyenye ncha kali huko mashuleni kama vile viwembe, pini nk.
Watoto hawa wadogo wapo wengine wana maambukizi waliyoyapata kutoka kwa wazazi wao na hawajui lolote kutokana...
Kijana unatumia Miaka 17 kutafuta elimu na kujiongezea maarifa lakini baada ya kumaliza muda huo unasubiri serikali ikupe ajira.
Wewe ambaye unasubiri kuajiriwa nakuuliza je hukuwa na pan B? Kama huna elimu uliyopata imekusaidia nini?
Wale uliotoka nao darasa 1 wakaishia katikati leo wana...
Binafsi nilishangaa kujua mfumo wa zanzibar ni kumaliza shule ya msingi darasa la sita kisha mtu anaenda form 1. Sijui wanakimbilia wapi? Au kwa vile shule zao kuna kina mama na kina baba wanalea japo wao ni watoto?
Mfumo huo pia umekua na matokeo duni ya kidato cha nne. Kila mwaka shule za...
NASA KUWAPELEKEA WANAANGA MAHITAJI MBALIMBALI HUKO ISS
Nasa wameichagua tena kampuni ya space x kuweza kuwapelekea wanaanga mahitaji yao mbalimbali huko kwenye kituo cha uchunguzi wa anga iss kati ya Tarehe 21-24 mwezi huu desemba
Mahitaji hayo ni kama nguo , vyakula na maji pia bila ya...
Wakuu habari!
Tukiwa tunaelekea mwezi Januari ambapo wazazi wengi wenye watoto wanaosoma sekondari watatakiwa kuhakikisha wanawanunulia watoto mahitahi yote muhimu ya shule kabla ya shule kufungua ikiwa ni pamoja na kulipa ada ya masomo.
Sasa Kuna mahitaji mengine wanayoagizwa watoto wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.