elimu

  1. Risk manager

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata shule ya michezo 75% na 25% elimu darasa

    Habari zenu wanajukwaa! Kama kichwa kinavyojielezea.lengo langu ni dogo awe professional tennis player. Yaani nguvu nyingi na muda mwingi azielekeze huko kuliko masomo ya darasani. Mazingira yatamjenga Nina Imani iyo. Yaani wakiamka kila asubuhi saa kumi mpaka saa mbili asubuhi ni mazoezi...
  2. Mwalimu-Mkuu

    JamiiForums Tanzania Mfumo unaotoa tathmini ya Tija ya tution inayofanywa na walimu Nyumbani

    Habarini wana bodi. Thred hii iende kwa wazazi wote ambao wanajituma kwa mali na hali kuhakikisha kuwa watoto wao wanapata elimu yenye ubora na viwango kwa kuzingatia mafunzo muda wa ziada/tution. Kwa muda mrefu nimeshiriki katika kutoa tathmini ya maendeleo ya watoto ya kielimu kama...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Waraka wa elimu namba 2 wa mwaka 2021. Ufafanuzi unatakiwa

    Waraka wa elimu namba 2 wa mwaka 2021 unahusu urejeshwaji shuleni kwa wanafunzi wa primary na sekondari walikatisha masomo kwa sababu mbali mbali ukiwamo utoro, na mimba. Lakini katika waraka huo hakuna aya au kifungu chochote kinachozungumzia mtoto aliyefeli darasa la saba kurudia tena masomo...
  4. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Arusha: Rais Samia ataka mitandao ya kijamii kutoa elimu usalama barabarani

    Rais Samia Suluhu Hassan amelitaka Jeshi la Polisi nchini kutumia mitandao ya kijamii kutoa elimu ya usalama barabarani na kushirikiana na vyuo vya usafirishaji kufanya tafiti ili kusaidia kupata suluhu ya kukomesha ajali barabarani. Arusha. Rais Samia Suluhu Hassan amelitaka Jeshi la Polisi...
  5. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kuna mji wenye usafiri mzuri wa daladala na elimu nzuri kuliko Mbeya?

    Hakika sijaona mji wenye system nzuri ya daladala kama Mbeya. Stendi kubwa zipo tatu kuna ya mjini ambayo ni stendi kuu ya zamani na ni kubwa kiasi kwajili ya mabasi ya mikoani na daladala, kuna stendi kabwe hii ni kwajili ya daladala na bajaji na pia utaikuta stendi kuu ya nane nane...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Tusijisahaulishe; Akili na elimu ni kama Jua na Mwezi

    Kwema Wakuu! Leo sina mengi ya kusema, Mada tajwa hapo yahusika. Akili ni jua Elimu ni mwezi. Jua Kwa 90% ni kitovu cha uhai WA viumbe. Wenye Elimu msijisahau, Elimu sio Akili. Elimu haizai Akili isipokuwa Akili ndio inazaa Elimu. Elimu ni Kama mwezi, unasharabu mwanga kutoka kwenye...
  7. O

    JamiiForums Tanzania Majeshi yote yana askari na majeshi yote yana Wanajeshi

    Kumekuwa na watu wengi tena wasomi na wengine ni viongozi wa serikali wanajua kwamba Ukisema mwanajeshi ni yule wa Jwtz ila ukisema askari ni wale wa mambo ya ndani yaani Magereza,polisi nk,,,,sasa twende pamoja uelimike na wewe uelimishe Mwananajeshi ni muunganiko wa maneno mawili yaani...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya kimfumo mikopo elimu ya juu

    MAOMBI YENYE KUBAHATISHA kawaida kila mtu mwenye uhitaji ni lazima ajitutumue kuhakikisha anafanikiwa kwenye malengo yake alojiwekea kwa namna moja ama nyingne katika mazingira aliyopo na kulingana na hali alonayo. Ni mara nyingi nimesikia, nimejionea na nimejaribu nami pia katika kuhakikisha...
  9. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Dr. Meneja wa Makampuni: Tatizo la elimu ya Tanzania sio kukariri bali ni ugumu wa lugha inayotumika bila kuwekewa msingi mzuri katika lugha hiyo

    Tatizo la elimu ya Tanzania sio kukariri bali ni ugumu wa lugha inayotumika bila kuwekewa msingi mzuri katika lugha hiyo. Kila kitu huja kwa kukariri lol. Bila kukariri huwezi kuelewa. Bila kukariri huwezi kujua kusoma na kuandika, bila kukariri huwezi kushika verbs, bila kukariri huwezi...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Fedha: Nyenzo ya Kufundishia Elimu ya Fedha

    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO Nyenzo ya Kufundishia Elimu ya Fedha Toleo la Kwanza, Agosti 2021 JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO Nyenzo ya Kufundishia Elimu ya Fedha Nyenzo ya Kufundishia Elimu ya Fedha Wizara ya Fedha na Mipango...
  11. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Fahamu zaidi kuhusu manii

    Je, ni Afya Kula Manii? Ndio, kula manii ni afya kabisa kwani ni maji ya mwili. Kwa vile shahawa ni sehemu ya mwili, hukua katika mfumo wa uzazi wa mwanaume. Kama vile chakula cha kawaida, viambajengo vya manii huifanya kuwa salama kumeza na kusaga. Wanawake wanapokula manii, hufyonzwa na mwili...
  12. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wazazi acheni uhuni na visingizio, toeni urithi kwa watoto. Elimu sio urithi!

    WAZAZI ACHENI UHUNI NA VISINGIZIO VYA KIPUUZI. TOENI URITHI KWA WATOTO. ELIMU SIO URITHI Anaandika Robert Heriel. Yule shahidi kutoka Nyota ya Tibeli. Andiko hili laweza waumiza wengi. Ikiwa unajihisi unamoyo dhaifu nakusihi usisome. Na ikiwa utasoma basi nisihusike na maumivu na madhara...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya Elimu ya Juu: Je, watumishi wa Umma wana ruzuku ya kusomesha watoto wao tofauti na wengine?

    Nimefuatilia matokeo ya walioomba mikopo ya kugharamia masomo ya elimu ya juu tangu walipotoa awamu ya kwanza hadi ya mwisho juzi tarehe 4/11/2021. Kwanza idadi kubwa ya waombaji wa mikopo hiyo hawakupata. Pili, moja ya kundi kubwa la waombaji ambao hawakupangiwa mikopo kwa sababu mbalimbali...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Mh. Rais ingilia kati suala la mikopo ya wanafunzi elimu ya juu

    Mh. Rais ninakusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Pia hongera kwa safari ya Glasgow ambapo uliiwakilisha nchi yetu na kutusemea, pole kwa majukumu ya kulipigania taifa letu. Nikienda moja kwa moja kwenye mada ni kwamba baadhi ya wanachuo ambao wanakila sababu ya kupatiwa mkopo...
  15. beth

    JamiiForums Tanzania Ndugai: Watanzania wanalalamikia mfumo wa elimu, wanataka majadiliano

    Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema ipo haja ya kufungua Mjadala wa Elimu, na ndiyo maana Wabunge wamekuwa wakisema washirikishwe. Akiwa Bungeni Dodoma amemwambia Waziri wa Elimu, Prof. Joyce Ndalichako, "Sisi tunataka Elimu ya Tanzania tuitazame. Hayo sijui ipo Wizara gani, sisi...
  16. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Wanapotupita wazungu hata kwa wenye Elimu ya Chini kuliko sisi

    Baada ya kuwachunguza sana hawa watu, niligundua yafuatayo; Huthamini sana kazi (Kazi kwanza) Wana amini kwenye matokeo (result oriented) Hutimiza malengo ya kila siku/wiki/mwezi na yasipofikiwa hutathimini kujua walipo kwama Hufanya kazi kwa weledi na kujituma sana (huingia kazini mapema na...
  17. beth

    JamiiForums Tanzania TAMWA: Elimu itolewe kupunguza ukatili wa kijinsia

    Je wajua kuwa, kiwango cha kufanyiwa ukatili wa kijinsia kwa mwanamke kinaweza kuongezeka kutokana na kiwango cha elimu, dini, kabila, umri, utaifa na hata hata ulemavu? Elimu itolewe kwa makundi yote ili kufikia malengo ya kupunguza ukatili huu katika Nyanja zote. TAMWA
  18. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Elimu yetu inajengwa kwa msingi wa lugha ya Kiswahili baadaye inachanganywa na lugha ya Kiingereza

    Elimu yetu inajengwa kwa msingi wa lugha ya Kiswahili baadaye inachanganywa na lugha ya Kiingereza. Wakuu naomba tusaidiane, hii sentensi inamaana gani? Yaani nikiwa naama kwamba wewe umeilewaje? Kama tunapenda maendeleo ya kiuchumi kupitia elimu yetu tunapaswa kufanya jambo katika elimu yetu...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Elimu ya Tanzania haiishi changamoto, NBAA sasa wameamua kuuza mitihani ya CPA

    Jana nilikuwa naongea na bwana mdogo anafanya mitihani ya wahasibu ya CPA mbayo inaanza jumanne. Bwana mdogo amefanya hii mitihani muda mrefu sasa jana namuuliza unamaliza lini mbona kila mara unarudia rudia, dogo akajitetea kwamba kutokana na shughuli zake huwa anakosa muda wa maandalizi vizuri...
  20. Ahmed Saidi

    JamiiForums Tanzania Elimu yetu inahitaji tiba, iko hoi katika kitanda cha mauti

    Najaribu kutafakari ni vipi tunaweza kujikwamua ili tuwe na elimu bora, lakini nakosa majibu. Huenda shida si mtaala au content ya kinachofundishwa. Inawezekana tuna mtaala mzuri lakini tumeshindwa kudhibiti ubora wa elimu katika Mambo mengine. Kwangu shida kubwa katika mfumo wetu wa elimu ni...
Back
Top Bottom