elimu

  1. Superman

    JamiiForums Tanzania Ogende ogaruke na Shuntama

    Nimewahi kusikia miaka ya nyuma kuwa kuna dawa za mapenzi za kihaya moja inaitwa UGENDE UGARUKE nyingine SHUNTAMA ambazo akina dada huwa wanatumia kuwapumbaza Wanaume kimapenzi ili wawapende sana. Kwa wale walio na uelewa wowote wa mambo haya, je kuna ukweli wowote au ushuhuda? Au ni hadithi...
  2. F

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI na Wizara ya Elimu, michango mashuleni imerudi?

    Nimeona nilete hii hoja hapa jukwaani ili wahusika waweze kuipata na ikiwezekana kuitolea ufafanuzi. Huko mashuleni sasa hivi kuna Michango ya hapa na pale. Je, bila malipo imeisha?
  3. card78

    JamiiForums Tanzania Tuzo katika elimu

    Napongeza sana utoaji wa tuzo katika elimu haswa kwa wale wanaofanya vizuri pamoja na walimu wao👍 Ila sijaelewa vigezo katika tuzo ya msimamizi bora wa mtihani🤔 Nn kinazingatiwa katika utoaji wa hizo tuzo?
  4. luangalila

    JamiiForums Tanzania Profesa Adolf Mkenda mulika vyuo vikuu vyenye utitiri wa programmes ambazo ni irrelevant, unmarketable

    Mhe.waziri wa elimu ukiwa kama mwanazuoni, saidia kumulika vyuo vikuu vimekuwa hodari kubuni programs ambazo ni sawa na chuma ulete ... Yaan wanakwapua pesa za wananchi / wasaka elimu ya juu (degree level) programs wanazo anzisha unakuta hazina soko ktk soko la ajira kabisaa yaan ni aibu ata...
  5. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Serikali yasogeza mbele sheria ya ukomo wa elimu kwa waandishi wa habari

    Serikali imetangaza kuongeza mwaka mmoja mbele kabla ya kuanza kutumika sheria ya elimu kuanzia ngazi ya Stashahada kwa waandishi wa habari kwa mujibu wa Sheria ya Huduma ya Habari ya Mwaka 2016. Hayo yamesemwa na Waziri wa Habari na Mawasiliano ya Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye alipokuwa...
  6. mfuga kuku

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua elimu hii kuhusu kulipa kodi za TRA

    Habari za asbh Wana bodi wenzangu! Naomba nijulishwe kwa mwenye uzoefu juu ya Jambo hili. Nina miliki kasteshenari huku mikoani, Mwaka Jana wakati nakaanzusha nikalazimika kutafuta leseni ya biashara, huko nikalazimika lazima nianze kwanza TRA ili kupata Tax clearance, nikafanyiwa makadirio ya...
  7. DustBin

    JamiiForums Tanzania Elimu: Changamoto za utekelezaji wa kalenda ya mtaala

    Nawasalimu kwa jina la JMT Kazi iendelee..... Nikiwa kama mdau wa Elimu nimebaini haya yafuatayo hasa baada ya kupitia maoni ya baadhi ya watu ambao wengi wao ni walimu juu ya utekelezaji wa kalenda mpya ya mtaala inayowataka walimu wote Tanzania kuwa sawa ktk ufundishaji. Kwa maana kama leo...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Serikali chunguzeni unyanyasaji, dhuluma na udhalilishaji unaofanywa na Mkuu wa Shule ya St. Margaret Maria Alokok, Igunga, Tabora

    Kimsingi sisi wazazi ndio waendeshaji wakuu wa shule hii kutokana na ada pamoja na michango mingine tunayolipa, pamoja na mambo mengine wazazi hatufurahishwi na vitendo vya udhalilishaji na dhulma anazofanya mkuu wa taasisi hii ambaye ni mtawa wa kanisa katoliki, kanisa lenye reputation ya...
  9. luangalila

    JamiiForums Tanzania Kero: Wakurugenzi wa Elimu Wilaya kujifanya wana shida zaidi na walimu wa Sayansi

    Ipo kasumba kwa baadhi ya Afisa elimu wilaya sekondari kujifanya wana shida zaidi na walimu wa sayansi kuliko wa mchepuo wa sanaa. Hii tabia ni ku-discourage walimu wa mchepuo wa sanaa +biashara, na ikumbukwe kila mchepuo una umuhimu wake. Sasa endapo kama hao walimu wa sanaa wapo wa kutosha...
  10. Khadija Mtalame

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI rasmi yaamua kuua elimu yetu Darasa 1 mpaka kidato cha 6? Nini kazi ya Wizara ya Elimu,OR na Necta?

    Habari wanajukwaa, Mimi nimekuwa mhanga kwelikweli wa elimu yetu hii ya tanzania hasa huku chini. Juzi TAMISEMI wametoa mwongozo mpya ambao unatakiwa kutumia kufundishia kuanzia darasa la kwanza mpakakidato cha 6, ambapo kila mwalimu anatakiwa kuandaa kalenda la kufundisha na kwamba wanatak...
  11. cokusoma

    JamiiForums Tanzania Malalamiko ya wanafunzi kozi za Afya; Barua ya wazi kwa Waziri Afya na Elimu

    BARUA YA WAZI KWA WAZIRI WA ELIMU NA WAZIRI WA AFYA. NAKALA: OFISI YA WAZIRI MKUU...
  12. Jimmy George Sanga

    JamiiForums Tanzania Elimu ya sekondari na msingi ifutwe, madarasa yageuzwe vyuo vya ufundi

    Habarini za wakati huu wana jamvi, Natumaini ni wazima na mnazidi kusongesha gurudumu la maisha katika nchi ya mama. Sasa katika pita pita zangu kwenye social media nimeokota hili la mwanafunzi wa bulchelor (according to yeye) anaomba kazi. Nikawa najiuliza kwanini serikali isiamue tu kufuta...
  13. Hovering

    JamiiForums Tanzania Hutakiwi kukubali ValentineDay inakukuta single. Trick hii hapa

    Nimechukua stanza yangu moja tu no.2.... naona mkeka unaelekea kutiki hapaa. Shairi ni moja beti sita na kila moja na hadhi ya pisi unayotaka. Sasa kazi kwako.
  14. Zero Competition

    JamiiForums Tanzania Bado kwako elimu ni bora kuliko pesa ?

    Kwa hali ya maisha jinsi tunavyoiona ambapo kila kitu kwasasa bei juu je bado unaamini kwamba elimu ni bora kuliko pesa au ushabadiri mawazo yako ?
  15. blogger

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan amebaki na mitihani mikubwa mitatu tu katika elimu

    Ngugu zangu kwanza mimi kama watanzania wengi wazalendo naomba ni ' dikleee' interest. Mimi ni mtu ambaye sina chama, so huwa niko huru kusema au kuusapoti upande wowote ninaohisi kwa siku hiyo una maslahi kwangu. Rais ana nafasi ya kujenga ambayo haitasahaulika maisha akifanya haya.. 1...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Waziri wa Elimu na Rais wa Chama cha Skauti Tanzania: Mgogoro wa Kikatiba unaoendelea kwenye chama

    BARUA YA WAZI KWA WAZIRI WA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA AMBAYE NI RAIS WA CHAMA CHA SKAUTI TANZANIA MANTIKI YA MGOGORO WA KIKATIBA SKAUTI Salaam kwako Mheshimiwa Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, rais wa chama cha Skauti Tanzania. Napenda kuchukua nafasi hii kuelezea yangu machache...
  17. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Matajiri halali wa dunia wanaotumia elimu za darasani kujitajirisha

    Matajiri halali wadunia wanaotumia elimu za darasani kujitajirisha. 1. ELON MUSK Bachelor of Physics Bachelor of Economics. Utajiri wake aliupata baada ya kuuza program aliyobuni wakati anasoma 2. 3. 4. 5. Tuendelee kuwataja.
  18. G.Man

    JamiiForums Tanzania Sera ya Elimu Bure ni mtaji wa kisiasa unaopunguza uwajibikaji kwa wananchi

    Mambo vipi, Moja kwa moja kwenye mada. Juzi nikiwa kwenye daladala nikasikia watu wakilaumu Serikali kwamba ''Heri Magufuli alivyo kuwepo, saivi watoto wametakiwa kulipa michango ya kama 22k shuleni'', sikuweza kuchangia neno lakin niliwaza sana, Seriously! mchango kama huo kwa mwaka kwaajili...
  19. blogger

    JamiiForums Tanzania Mjadala wa Elimu umeishia wapi?

    Nafikiri sote tunakumbuka vyema kuna mjadala wa Elimu uliibuka mwaka jana na ulianza kabla ya hapo ila nafikiri uliimarika mwaka jana. Hoja kuu ilikuwa ni Elimu yetu ya sasa haimnufaishi mwanafunzi na hata mzazi au jamii ilomsomesha. Kulikuwa na makongamano kadhaa. Lile la Mlimani City na...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Wiki ya sheria Tanzania: Je, Ibara hii ya Katiba inahitaji Elimu kubwa kiasi gani kuielewa?

    IBARA YA 149 (1) c YA KATIBA YA TANZANIA; Mtu yeyote mwenye dhamana ya kazi yoyote iliyoanzishwa na katiba hii. " ... Ataweza kujiuzulu kwa kutoa taarifa iliyoandikwa na kutiliwa sahihi kwa mkono wake, kwa kufuata masharti yafuatayo:- C) Iwapo mtu huyo Ni SPIKA au NAIBU SPIKA wa Bunge, basi...
Back
Top Bottom