elimu

  1. JamiiForums Tanzania Usijivune: Kassim Majaliwa, Prof Mark Mwandosya na marehemu Prof Idris Mtulia, Wakiwa ndani ya Mtumbwi

    Picha hii ni ya mwaka 2010, Wa tatu kwa waliokaa kutoka nyuma ni Kassim Majaliwa ambaye wakati huo alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Rufiji. Majaliwa hakuwa hata mbunge wakati huo. Nyuma ya Majaliwa ni Prof Mark Mwandosya ambaye wakati huo alikuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, asiye na Wizara Maalum...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndalichako tunaomba utoe tamko kuhusu mwongozo wa elimu baada ya shule kufunguliwa, kuna shule wamebuni michango yao

    Katika shule moja iliyopo wilaya ya Magu, ambayo ni Sekondari ya kata watoto wanatakiwa kupeleka kilo kumi za mchele kila mmoja, hayo ni maelekezo waliyopewa watoto kutuambia wazazi. Shule ina wanafunzi wastani wa 2000×10 = kg 20,000/= na pesa tsh.2000@ mwanafunzi ambazo ni tsh. 4,000,000/=...
  3. JamiiForums Tanzania Naomba elimu na ushauri kuhusu kalenda yangu, baada ya kunywa emergency pills

    Heshima kwenu doctors, naomba kuelimishwa juu ya hili tafadhali:- Binafsi Nina mzunguko wa siku 27 wa hedhi, ninautumia kujua siku zangu za hatari na salama. Lakini mwezi huu ilitokea nikafanya katika siku ya hatari, na ikanibidi ninywe emergency pills, sikuwa na jinsi. Swali langu ni je...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Elimu haina mwisho; Mikutano ya bunge inahesabiwa vipi?

    Mikutano ya bunge inahesabiwa vipi? Huu unaitwa mkutano wa 11 , kuanzia lini? Mwaka huu? --------- Pia soma Kikao cha 8, mkutano 19, Bunge la 10, maana yake nini? Soma ufafanuzi wake hapa
  5. JamiiForums Tanzania Nahitaji ushauri wenu

    ...
  6. JamiiForums Tanzania Ukiwa Hai hata kama ni Masikini au huna Elimu acha kujidharau, kukata tamaa na usiogope kuchekwa/Kudhihakiwa. Ipo siku maisha yako yatabadilika tu

    Teen who spent 10 hours cleaning up after protest rewarded with car and college scholarship Kwa Kifupi tu ni kwamba Jamaa huyo ( Mwafrika ) Mwenzetu aishie huko Ughaibuni huku akiwa na Maisha yake ya Kubangaiza hapa na pale kama ya Mzukulu Mimi kwa Moyo wake tu na kuonyesha Nidhamu yake ya...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wanawake wengi ni wachawi?

    Habarini za leo wakuu, poleni na mihangaiko ya kila siku. Wakuu nina swali, ni topic ambayo naifanyia utafiti. Topic inasema hivi, "Hivi kwanini wanawake wengi ni wachawi?" Maana hata tukisimuliwa habari za kuloga lazima tutaambiwa mbibi fulani ndio ameroga. Tukisimuliwa habari za kuloga mume...
  8. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu, unakuwaje Rais wa nchi bila kukemea Rushwa, bila kuongelea suala la maji, miundombinu na Elimu?

    Tundu Lissu umetoa hotuba dhaifu sana kuwahi kutolewa na mgombea yeyote kuwahi kutokea nchini mwetu umeongea mambo mepesi ambayo najua mambo hayo ni ya mazingira ya Marekani na nchi zilizoendelea. Tundu Lissu tunaonewa na wala Rushwa wanaoiba Mali zetu na kutufanya tuishi maisha ya kifukara na...
  9. JamiiForums Tanzania Madagascar: Waziri wa Elimu atimuliwa baada ya kununua pipi za Tsh. Trilioni zaidi 4 ili kuwasaidia watoto kunywa mitishamba ya #Corona

    Waziri wa elimu nchini Madagascar amefukuzwa kazi kwa sababu ya mipango yake ya kuagiza peremende au pipi zenye thamani ya zaidi ya dola milioni 2 sawa na (£1.6m) kwa watoto wa shule. Rijasoa Andriamanana amesema wanafunzi watapewa pipi tatu kila mmoja watakazokula baada ya kunywa dawa ya...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hawa hapa ndio wenye elimu Tanzania, hadi aibu, halafu ndio wanalilia na kung'ang'ania kuingia Kenya bila kupimwa

    Jana Rais Magufuli alihutubia kongomano la walimu waliosongamana na kupumuliana full mijasho bila tahadhari yoyote kama wanavyoonekana kwenye hii picha, hamna cha barakoa au kuzingatia umbali wa kila mmoja, hawa hapa ndio utategemea wawe na kauelewa kiaina kuhusu sayansi na masuala ya kirusi...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Elimu kwa Umma juu ya matumizi sahihi ya alama barabarani na uzingatiaji wa sheria

    Hongereni sana Wizara ya Mambo ya Ndani kupitia kitengo chenu cha usalama barabarani kwa kazi mnayofanya kupambana na waharifu wa barabara,pia hongereni wizara ya afya kwa kushirikiana na vyombo vyote vya ahabari nchini, mitandao ya kijamii n.k. katika kutoa elimu juu ya madhara ,namna ya...
  12. JamiiForums Tanzania Fahamu mambo yafuatayo yanayofanyika katika urejeshaji wa mkopo wa elimu ya juu "HESLB".

    Kwanza kabisa ni ukweli usiopingika yapo maboresho makubwa yaliyofanywa na Bodi ya mikopo miaka ya karibuni kwa lengo la kuwa mfuko endelevu na kunufaisha Wanafunzi wengi zaidi. Mabadiliko hayo kwa kiasi kikubwa yamewaumiza walipaji wengi hususani walioanza kulipa kabla ya mwaka 2017. Kuna...
  13. JamiiForums Tanzania Elimu kwa njia ya mtandao kwa wanafunzi wa Awali, Msingi na Sekondari. Je, Wizara ya Elimu inaitambua hiyo elimu?

    Niliwahi kuandika jamii forum kuhusu ili swala la kulipa ada na online education hili swala lipo hivi Tanzania kupitia wizara ya elimu haitambui elimu ya kujisomea nyumbani isipokuwa katika ngaz ya degree tuu hizo zingine chini haiwezekani hivyo mwanao akipata hyo elimu n kama tuition tuu mana...
  14. JamiiForums Tanzania Mwenye kufahamu CV ya Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Mikopo kwa Wanafunzi wa Elimu ya Juu

    Wakuu Kama Kuna member yeyote anafahamu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi Elimu ya Juu wasifu wake anisaidie nipate kumfahamu vizuri maana jamaa naona kama ni kichwa kwelikweli na akiongea anaongea kwa msisitizo kabisa.
  15. JamiiForums Tanzania HakiElimu: Uzinduzi wa ripoti za makuzi, ulinzi na elimu bora ya awali inayowaandaa vyema watoto kujiunga na elimu ya msingi

    Ripoti hizo mbili zinazozinduliwa ni: Intergration of Child Protection into Early Childhood Development (Namna Bora ya Kujumuisha Dhana ya Ulinzi wa Mtoto Katika Elimu ya Awali) Assessment of Learning and Teaching Environment for Pre-primary Education in Tanzania, 2019 (Mazingira ya Kujifunza...
  16. JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kutoa elimu zaidi juu ya ushonaji wa Barakoa

    Leo nimejaribu kupita katika kituo kimoja cha Afya na nilichokiona ni msisitizo mkubwa wa uvaaji wa Barakoa huku zikiuzwa mlangoni kiholela lakini shida yake kubwa ni mikanda yake ya masikio kuwa mifupi kiasi cha kupata masikio ya watu na kuyabinua kama ya punda.
  17. JamiiForums Tanzania Elimu/Shule ya mahaba matata uliipata wapi?

    Habari za jioni. Kizuri kula na wenzio. Ukiguswa tafadhali elezea ulijifunzia wapi mambo ya Mahaba yaani utundu na ufundi wa 6*6. Acha kujua kuchomoa na kuchomeka laah hasha ujuzi na ufundi yaani umaridadi bin ubunifu bin sanaa ya mapenzi. Ulizaliwa nayo? Ulirithishwa? Au mpaka leo hujui kitu...
  18. JamiiForums Tanzania Huenda Tanzania ya sasa chini ya Rais Magufuli ikawa imepata Waziri bora wa Elimu Ndalichako tokea Uhuru wake

    Yaani Watoto wamekaa karibia Miezi Mitatu bila Masomo, huku wengi Wao wakiwa tayari wameshaathirika Kisaikolojia kulingana na Hofu iliyokuwepo na bila shaka wengine hata Topiki zao hawakumaliza anatokea Mtanzania Mmoja anasema watafanya Mtihani yao Wiki chache zijazo. Hivi hawa Watoto...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Godlisten Malisa: Namuunga mkono Rais Magufuli kufungua vyuo vya elimu

    Na GODLISTEN MALISA Kwa maoni yangu nadhani hatua ya kufungua vyuo na taasisi nyingine ni muhimu japo ni muhimu zaidi kuendelea kuchukua tahadhari kama alivyosema Rais JPM. Ukweli ni kwamba janga la Covid19 sio jambo la muda mfupi kama ilivyotarajiwa kwamba litakuja na kupita. WHO wamesema it...
  20. JamiiForums Tanzania Namna nilivyoanza biashara kwa uoga mpaka kufikia hapa nilipo, nilichogundua biashara haihitaji elimu nyingi ya darasani

    Wakuu naomba kufupisha historia yangu ya kuanzisha biashara nilipokuwa kwenye kibarua fulani nina imani hata wewe itakusaidia sana pengine kama sio wewe ni mwingine. Miaka kadhaa nyuma nilipokuwa nimepata kibarua fulani nilikuwa nimekaa mda mrefu nikiwaza biashara kichwani ila nilikuwa naogopa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…