Bado kuna wananchi hawajiamini kama watapiga kura ya Rais kwa maeneo walipo. Hii nikwasababu elimu hi bado haijatolewa vyema.
Juzi tulikuwa kwenye usaili wa usimamizi wa uchaguzi mkuu huu, likaulizwa Hilo swali, mkurugenzi akasema inaruhusiwa kabisa kwa mwananchi kupiga kura ya Rais popote...
NITATUMIA ELIMU YANGU KUKUZA UCHUMI NA KUFUTA UMASIKINI KATIKA NYANJA ZOTE"PROF. LIPUMBA"
KYELA- MBEYA
Ukuaji wa uchumi wa Tanzania haujaambatana na kasi kubwa ya kupungua kwa watu masikini. Idadi ya watu masikini kwa kutumia kipimo cha taifa cha umasikini (mtu mzima kutumia shilingi 50,000/...
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums.
Ndugu zangu Watanzania eti;
Kwanini academic certificates zinafanyiwa verification kwa wataalam wa sheria badala ya taasisi husika ya elimu kama RITA wafanyavyo kwa vyeti vyao?
Nilipokuwa ninamsaidia mdogo wangu kuomba mkopo wa elimu ya juu...
Kifupi kabisa ni sera iliyolenga kila Mtanzania anapomaliza elimu awe na ujuzi mahususi utakaosaidia kujiajiri na kujenga Taifa.
Sera hiyo ilikusudia kila mwanafunzi amalize kidato cha nne na kisha ajiunge ama na chuo cha ufundi au ustadi kitakachokuwepo kila Kata ili apate mafunzo ya...
Mh. Lissu naamini kuna haja ya kupitia mfumo wa elimu yetu hapa Tanzania.
Nimetumia mfano wa lugha ya Kiingereza kama kipimo kwasababu tunawasikia watu wakijaribu wakikiongea. Inawezekana yako masomo mengine pia yanayotakiwa yakuzwe lakini kwa sasa hatujui.
Wapo watakaosema mbona Urusi na...
Hapa ni kitongoji Cha Mtakuja (Mwambiki) kilichopo kijiji cha Ihowanja, kata ya Kilosa Mpepo, Jimbo la Malinyi. Shule hii haijasajiliwa, kuna wanafunzi 482, ilijengwa na wazazi kupunguza adha ya elimu kwa watoto wao, walimu wa kujitolea kwa ujira kidogo unaotoka kwa wazazi.
Ubalozi wa Marekani umeungana na Watanzania wote katika kumkumbuka ya kumuenzi Baba wa Taifa.
Kwenye statement waliyoitoa hivi leo tarehe 14/10/2020 ubalozi huo umesisitiza kuwa Kwa karibu miaka 60 Mwalimu alituelezea imani yake kuwa maendeleo endelevu yanamaanisha kuwekeza katika watu...
Wakuu Salaam:
Siku za karibuni kumekuwa na usambaaji wa video chafu kwenye mitandao ya kijamii na jambo hili linaendelea kukua miongoni mwa wanafunzi wa Elimu ya juu.
Na waliohusika katika video wapo pamoja na kwamba kumekuwa na matamko toka uongozi wa vyuo lakini bado hakuna fundisho.
Hawa...
Waziri Mkuu wa Uingereza na Boris Johnson na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta wanatarajiwa kuzindua mpango utakaosaidia kukusanyadola bilioni tano sawa na (£3.8bn) kwa ajili ya kuwasomesha watoto kutoka jamii masikini duniani.
Idadi ya wanafunzi walioacha shule imeongezeka zaidi wakati wa janga la...
MKINIPA KURA ZA KUTOSHA OKTOBA 28, NA NIKAWA RAIS NITASIMAMIA ELIMU BORA NA MATUMIZI YA TEKNOLOJIA YA HABARI NA MAWASILIANO "PROF.LIPUMBA"
HANDENI VIJIJINI
Serikali ya umoja wa kitaifa chini ya CUF itahakikisha kuwa watoto wote wa
Tanzania wanakuwa na haki ya kupata elimu bora ya msingi...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amefungua Skuli ya Sekondari Mwanakwereke, ambayo hivi sasa inatambulika kwa jina la Skuli ya Sekondari ya Dkt. John Pombe Magufuli.
Katika ufunguzi huo, Dkt. Shein amesema katika kipindi cha miaka 10 ya uongozi wa...
Habari wadau,
Leo nimekaa na kutafakari sana juu ya uwezekano wa laini za simu tunazotumia katika simu zetu kutumika kukusanya fedha zinazoweza kugharamia matibabu ya karibu kila mtanzania na pia kukusanya fedha zinazoweza kutumika kugharamia Elimu ya juu.
Kwanini simu ya mkononi kupitia laini...
MKINIPA KURA ZA KUTOSHA OKTOBA 28, NA NIKAWA RAIS NITASIMAMIA ELIMU BORA NA MATUMIZI YA TEKNOLOJIA YA HABARI NA MAWASILIANO "PROF.LIPUMBA"
MUSOMA- MARA
Serikali ya umoja wa kitaifa chini ya CUF itahakikisha kuwa watoto wote wa Tanzania wanakuwa na haki ya kupata elimu bora ya msingi, elimu ya...
WIZARA YA ELIMU IMEPWAYA KUFUTA MAFUNZO NGAZI YA CHETI NA KUIMARISHA DIPLOMA kwa MASLAHI YA KISIASA.
Ni Tanzania Pekee tu ndio isio jua umhimu wa NGAZI za Cheti na kukimbilia Diploma.
UMHIMU WA NGAZI YA CHETI.
Tulipofika elimu zote za NGAZI ya vyeti zitafutwa na kubaki na NGAZI ya Diploma...
Mwalimu mama mmoja anamacho makubwa aliitwa Iganas.
Alikuwa Mwalimu wa hesabu darasa la sita.
Alikuwa anafundisha kisha anauliza kuna mtu hajaelewa kinafiki na kwa hofu wote tunasema hapana.
Anatoa swali kupima uelewa, kila anayekosa anararuliwa fimbo sio chini ya Tatu za mgongo.
Nilikuwa...
Serikali kupitia wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi;
Naomba ifikilie kurasimisha vituo vya watoto chekechea viwe (basic schools).
Ambapo Watoto watafundishwa kwa miaka mitatu katika vituo hivyo vya chekechea kwa maana ya baby class mwaka mmoja, middle class mwaka wa pili na top class mwaka...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 05 Oktoba, 2020 ametengua uteuzi wa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt. Ave Maria Semakafu.
Nafasi hiyo itajazwa baadaye.
PIA SOMA
= > Siku ya Mwalimu Duniani: Wizara ya Elimu yafuta...
TUMCHAGUE PROF.LIPUMBA AWE RAIS WA NCHI HII NA MIMI NIWE MAKAMU WA RAIS WA NCHI HII TUWEZESHE WATU WENYE ULEMAVU KUPATA ELIMU NA AJIRA"
BI.HAMIDA ABDALLAH HUWEISHI
MGOMBEA MAKAMU WA RAIS CUF."
MWANZA
Serikali itakayoongozwa na CUF itatenga fungu maalum la kuwawezesha watu wenye ulemavu wapate...
Leo tarehe 5 Oktoba, katika Kongamano la Kuadhimisha Siku ya Walimu Duniani lililoandaliwa na CWT, Dodoma, Rais John Pombe Magufuli alipiga simu 'live' na kuongea na washiriki wa kongamano na pia kukanusha kufutwa kwa ualimu wa ngazi ya cheti.
Rais Magufuli amewataka walimu kupuuza taarifa hiyo...
Wakuu Salaam;
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imefuta mtaala wa ualimu wa ngazi ya cheti kwa elimu ya awali na msingi ikiwa ni hatua ya kuboresha elimu nchini.
Akizungumza jijini Dar es Salaam leo, Naibu Katibu Mkuu wizara hiyo, Dk Ave Maria Semakafu amesema hatua hiyo inakwenda...