Trump atunga Sheria inayotaka kuajiri watumishi wa Umma kwa kigezo cha ujuzi na ufahamu na sio elimu

The Assassin

JF-Expert Member
Oct 30, 2018
4,355
17,321
Trump ametunga sheria au maarufu kama Executive Order inayoagiza watumishi wa umma kuajiriwa kwa kigezo cha ujuzi na ufahamu na sio elimu.

Hili jambo mimi binafsi natamani lingekuja Tanzania. Kwa sababu huko serikalini watu ni hovyo kabisa ila wana degree na vyeti vizuri sana ila hawajui chochote

Sekta binafsi wanafanya vizuri sio kwa sababu wameajiri wenye division one pekee, bali wanajali ujuzi na ufahamu, wanasema possessing the skills and knowledge to make the job done, this is not necessarily related to having a college degree

Google walianza huu utaratibu na sasa naona serikali ya Marekani inafuata mkondo

Utaratibu wa kuajiri tu watu kwa sababu ya vyeti ni utaratibu mbovu na wa hovyo, serikalini kumejaa mavyeti ila ndio hivyo productivity sifuri.

Hapa Tanzania utakuta watumishi wa umma wao wanachoangalia ni kupata cheti tu hata kwa kununua ili wapande madaraja na wapate vyeo.

Utaratibu wa upandishaji madaraja unaangalia vyeti na umri wa utumishi, vitu vya ajabu sana.

Hii inafanya watu kutokua na tija, mtumishi anajua akipata cheti anapanda daraja, akimaliza miaka 3 anapanda daraja, afanye kazi asifanye.

Kuna fani nyingine hata hazihitaji mtu awe na degree, kama IT, siku hizi mtu kua mzuri kwenye IT sio lazima awe amesoma degree.

Ukienda kwenye idara za serikali kitengo cha IT nadhani ni cha mwisho kua na watu wabovu ila wana vyeti vya degree. Websites za serikali ni za hovyo kwenye muonekano, skin, texture na kila kitu ila nenda za binafsi unafurahi kutembelea website.

====

A college degree will no longer give Americans a leg up when seeking some jobs with the federal government.

President Donald Trump signed an executive order on Friday that will overhaul the government’s hiring practices so that a job applicant’s skills will be given priority over a college degree.

Administration officials say the shift will allow the government to hire a more inclusive workforce based on skill instead of a person’s education level.

“This will ensure that we’re able to hire based on talent and expand our universe to qualified candidates and ensure a more equitable hiring process,” Ivanka Trump, the president’s daughter and senior advisor, told reporters on Friday.

Ivanka Trump is co-chair of the American Workforce Policy Advisory Board, which was created in 2018 and tasked with recommending ways to improve job training. The president signed the order during the board’s meeting on Friday.

“The federal government will no longer be narrowly focused on where you went to school, but the skills and talents that you bring to the job," Trump said.

The federal government is the nation’s largest employer with 2.1 million civilian workers.

Ivanka Trump said the new hiring practice will show that the government is leading by example as it tries to recruit and retain the best and brightest workers. She and other administration officials have pushed to increase opportunities for apprenticeships and have promoted such training and vocational education as alternatives to traditional two-year or four-year college degree programs.

The shift in hiring protocols will recognize the value of learning regardless of whether it occurs on the job or in the classroom, said Brooke Rollins, acting director of the White House Domestic Policy Council, which oversees the president’s domestic agenda.

The government is not eliminating the college requirement entirely but instead will stress skills in jobs where having a degree is less important. Two-thirds of Americans do not have a college degree.

A college or graduate degree is necessary to work in many occupations, but the need for educational credentials is less certain for many other fields, said Michael Rigas, acting director of the Office of Personnel Management.

Trump’s executive order directs federal agencies to shift from vetting job candidates based largely on their educational credentials and written questionnaires and move toward using assessment methods that will more directly determine whether they possess the knowledge and skills to do the job, Rigas said.

The government also will overhaul job qualification standards in cases where they are limiting opportunity for those with diverse backgrounds, Rigas said

“The federal government should welcome job seekers with needed skills, regardless of how they acquired them,” he said.

Commerce Secretary Wilbur Ross, the workforce advisory board’s other co-chair, said the need for skills training and apprenticeships is as great as it was before the coronavirus pandemic forced millions of people out of work, pushing the national unemployment rate above 13% in May.

“Americans are eager to get to work but they need our help,” Ross said.
 
Kuna mzee nilimwona kwenye tbc anahojiwa, mzee anatengeneza chaki (chalks) za kuandikia darasani na kasoma google na anaziuza.

Sasa mzee kama huyo hajaenda chuo ila anafanya kazi nzuri, sasa mfano akishindwa kuendelea na biashara yake ina maana kuajiriwa kwenye kiwanda cha chaki haiwezekani kisa tu hana certificates.

Kwenye biashara unaweza kukuta wanaofanya vizuri ni wale ambao hawajasomea biashara na wanatoa huduma nzuri na kuishi kwenye ile ile misingi ya biashara inayofundishwa bila wao kupitia vyuo
 
I agree with you.
Kuna mzee nilimwona kwenye tbc anahojiwa,mzee anatengeneza chaki (chalks) za kuandikia darasani na kasoma google na anaziuza.

Sasa mzee kama huyo hajaenda chuo ila anafanya kazi nzuri,sasa mfano akishindwa kuendelea na biashara yake ina maana kuajiriwa kwenye kiwanda cha chaki haiwezekani kisa tu hana certificates.


Kwenye biashara unaweza kukuta wanaofanya vizuri ni wale ambao hawajasomea biashara na wanatoa huduma nzuri na kuishi kwenye ile ile misingi ya biashara inayofundishwa bila wao kupitia vyuo
 
Back
Top Bottom