Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 3,542
- 3,451
Kumekuwa na wimbi la wakwepaji na kibaya zaidi wengine wanajisifu kwa kuweza kuwa mbali na mikono ya loanboard kwa miaka kadhaa
Nilichokibaini kwa mkakati inayosukwa wakati huu sidhani kama kutakuwa na mwanya mpana wa kukwepa tena na huenda wanufaika wakwepaji wakasababisha hasira zikahamia kwa waliokaa na madeni ya Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu kwa muda mrefu na wao kuonja joto ya jiwe
Mytake
Kama unaona unaweza kulipa deni lako kwa kupeleka hela yote taslimu itakuwa ni njia bora zaidi. Ila IPO njia nyingine ya kuliuza deni kwa kutumia Benki zinazonunua madeni