MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,495
- 20,510
usichojua hiyo ni picha ya kenya piaKwa nini watanzania tunawasakama sana Wakenya na wao hawana time na sisi?. Je hii itatufanya tusahai changamoto zetu na kuwakumbusha zao iliwazofanyie kazi?
Angalia shule zetu
Kwa nini watanzania tunawasakama sana Wakenya na wao hawana time na sisi?. Je hii itatufanya tusahai changamoto zetu na kuwakumbusha zao iliwazofanyie kazi?
Angalia shule zetu
Hio ni picha ya Tanzaniausichojua hiyo ni picha ya kenya pia
sasa watawapata wapi!!.
How can I know all these? All I know is that it's an advert in TanzaniaMiaka ipi hili tangazo.
Are sure that advert is in Dar?
Wamekuwa wakiwapata Kenya ndio maana matangazo wanaendelea kutoasasa watawapata wapi!!.
How can I know all these? All I know is that it's an advert in Tanzania
mpaka bango limewekwa mean hakuna tena wanaotokea kenya kusoma.Wamekuwa wakiwapata Kenya ndio maana matangazo wanaendelea kutoa
😂 😂 😂 is that how much it has hurt you? Ouch! It really pains 😂Next time avoid to use crap in this forum.
If you can not substantiate the its origin, it's better you shut up.
You should have asked yourself why they are giving priority to those who schooled in Kenya 😂mpaka bango limewekwa mean hakuna tena wanaotokea kenya kusoma.
simply huyo katafuta mpaka kachoka.
kwani si huwa tunasema hapa kila siku walikuwa wakifuata kiingereza hukonowadays kinafundishwa shule za hapa hapa.unfortunatlly huwezi mpa kazi ya ualimu mtoto wa watu aliyesoma private hapa bongo.You should have asked yourself why they are giving priority to those who schooled in Kenya
Wacha upuuzi. Hii advert imewahi kupostiwa humu mara nyingi sana na ni advert kutoka lazyland republic. Nadhani Mk254 amewahi kulizungumzia hili jambo. MK254 ona huyu jamaa anapinga kwamba ile advert inayotafuta walimu waliosomea Kenya sio advert kutoka TZNext time avoid to use crap in this forum.
If you can not substantiate the its origin, it's better you shut up.
😂 😂 😂 is that how much it has hurt you? Ouch! It really pains 😂
Kwa hivyo mtu kuhitimu ualimu Bongo Nora to ajue kiingereza basi?! 😂 😂. Stop looking for excuses. That employer is specifically interested in Tanzanians who schooled in Kenya and there's nowhere he/she has mentioned that the applicant must be English-profficient. He just wants those who went to college in Kenya. Periodkwani si huwa tunasema hapa kila siku walikuwa wakifuata kiingereza hukonowadays kinafundishwa shule za hapa hapa.unfortunatlly huwezi mpa kazi ya ualimu mtoto wa watu aliyesoma private hapa bongo.
ila wale wakora wahamiaji haramu ndio ilikuwa kimbilio la wamiliki wa hizo kindergartens
Wacha upuuzi. Hii advert imewahi kupostiwa humu mara nyingi sana na ni advert kutoka lazyland republic. Nadhani Mk254 amewahi kulizungumzia hili jambo. MK254 ona huyu jamaa anapinga kwamba ile advert inayotafuta walimu waliosomea Kenya sio advert kutoka TZ