Msaada kwa Wanaotaka Kusoma vyuo vikuu Bora nje ya nchi.

Kibenje KK

JF-Expert Member
May 28, 2016
267
380
Habari!

Kwa wale wanaotaka kusoma vyuo vikuu nje ya nchi naweza kuwasaidia hatua zote, iwe Ulaya, Asia au Marekani. Pia tunatoa ushauri wa vyuo bora, gharama na tunakusaidia kila hatua.

Tunakuwa pamoja na wewe mpaka utakapomaliza chuo, Pia tunakuunhanisha na wenyeji. Tumesajiliwa kisheria.

Wasiliana nami
Simu /WhatsApp 0762815104
 
mmesajiriwa kisheria bila jina la kampuni?toa maelezo yanayonyooka.Hadi happ tayari kunawengine wameshakuhisi wewe tapeli
 
Back
Top Bottom